Kama liva kumtoa barca kisa kuchukua kombeUkikaa kimya na kusubiri itakuwa heri kwako, mengine haya utakuja kuaibika siku moja ukose pa kushika. Mpira uache uitwe kwa jina lake maana haukosi maajabu kila siku.
Hakuna lolote. Unaongea kama vile umemsajili messi
HHahhaaa kesho nakunyosha kaka yangu tutarud hapa mapema sana nikiwa nishakuchabanga
Kazi ipoDon't be negative. We have Scot, Fred, Matic
Kwa sasa ni mara mia ukawa na scott kwenye first eleven kuliko matic.Kazi ipo
Scott atamfikia lini Matic uwezo wa kukaba? Fred bado sana
Kwa sasa ni mara mia ukawa na scott kwenye first eleven kuliko matic.
Matic sikuhizi yuko kwenye slow motion mode.
Kwa sasa ni mara mia ukawa na scott kwenye first eleven kuliko matic.
Matic sikuhizi yuko kwenye slow motion mode.
Bora Chelsea mara mia; kuna jamaa anasema kesho hii ndo timu ambayo inaweza kuchaguliwa kushindana na timu ya Man City
Chelsea hawajaathirika sana na transfer ban.Bora chelsea mara mia hahah? Kwa mtazamo wangu mna overrate chelsea sana. Wkt bado ni timu ya kawaida tu. Iaitoshe hawajasajili zaid wameuza tu means wanarudisha kikos kilekile cha mwaka jana.
Chelsea hawajaathirika sana na transfer ban.
Kuna timu Epl ina ukiwa kama chelsea? Chelsea now wametengwa na wana ukiwa sana!Chelsea hawajaathirika sana na transfer ban.
Mnaleta Nazi kwa mkunaji!Wakuu kwema humu..? Game ya leo mnasemaje!!