Mwanzo mzuri!Watapata tabu sanaaaaView attachment 1178548
Mnaweza kunitafutia huyu mdau 🔦Baada ya ya mechi ya leo Ollachuga Oc hatoonekana JF.
Kapoteza mipira mingi sanaPaul pogba kafanya shuguli kubwa
Ndio maana hawataki kumuuza. Huyu jamaa ni hatari sanaPaul pogba kafanya shuguli kubwa