Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Here we're UNITED
IMG_20190811_204726.jpeg
 
Dah man utd tuna maneno,sioni watu wakiongelea mapungufu yetu eneo la kati. Hii chelshit sio kikosi cha kwanza kwa nijuavyo mimi.
Bado tulihitaji kuwa na Bruno. Daemusin kama niaminivyo mimi,kipimo chetu kamili ni mbweha.
GGMU
mkuu tofauti kubwa iliojitokeza kati yetu na chelsea kwenye mechi ya leo ukiachana na ishu nyenginezo zisizoepukika ni kwamba chelsea wamemuondoa mchezaji wao muhimu sana ambaye ni eden hazard wakati manchester united wamembakisha mchezaji wao muhimu ambaye ni paul pogba
 
Back
Top Bottom