Hii game ni ya kushinda mkuu..Hatuwezi tukafungwa OT game ya kwanza ya ligi na tukakubali tu matokeo kirahisiGame ya leo ni kubwa. Matojea yoyo're tuyapokee bila mzuka.
Man u kesho piga mbwehaa paka zichakae
Mnaleta Nazi kwa mkunaji!
Tukishindwa kuwafunga chelsea leo hatutakua serious....
Hii game ni ya kushinda mkuu..Hatuwezi tukafungwa OT game ya kwanza ya ligi na tukakubali tu matokeo kirahisi
Vijana wapambane watupe ushindi by any means
Afterall chelsea sio hatari kama tunavyowafikiria in my opinion
Ukweli mchungu ambao mashabiki wengi wa United hawapendi kuusikia.Ole akifukuzwa United atakuja kocha mpya mwenye falsafa nyingine kabisa.
Hapo itabidi auze wachezaji wa Ole wa Pressing style atataka wachezaji wapya watakaofit kwenye style yake ya uchezaji.
Moyes alikuja na wachezaji wake.
LVG akaja na wake na mfumo wake.
Alivyokuja Mou akaja na aina yake na akataka alete wachezaji wake ndo wakashindwana na boss Ed akatimuliwa akaja Ole na akaanza kuuza wachezaji wa Mou akianza na Lukaku kisa hawafiti kwenye style yake ya uchezaji.
Kutokuwa na Technical Director ni tatizo kubwa sana pale United.
Tatizo kwa sasa ni ngumu sana kutambua falsafa ya United. Nionavyo timu inaenda tu kwa maarifa binafsi ya kocha husika. Muhimu kwa wamiliki ni kuwa kinachoendelea uwanjani hakina athari yoyote kwenye maendeleo ya biashara.Ningekuwa niko kwenye nafasi ya ED.
Ninapomfukuza kocha, kocha anaefuata lazima awe anatumia falsafa kama ya kocha aliyepita.
In short, unaajiri kocha anaendana na falsafa ya timu. Ndio maana si rahisi barca kumuajiri Mou kama kocha.
Van gaal aliwahi kusema ,wakati anajadiliana na uongozi wa Man u, kuhusu kupewa kibarua. Football matters hazikupewa kipaumbele.
Hili ni tatizo kubwa,
hata Mane hakuna msimu aliyowahi kufikisha magoli 22 ukiondoa msimu uliyopitaKama rashford,+lingard ndio fowad mnazozitegemea. Lakini hakuna msimu waliowahi kufikisha hata goli13 kwenye ligi. HAKUNA! sasa kama hamna fowadi hapo mnategemea nini
Nitawashangaa sanaTukishindwa kuwafunga chelsea leo hatutakua serious....
Januzaj anaitwa pia several timesKwani academy ya United imeanzishwa Fergie alipoondoka?
Haya embu niambie kuna senior players wangapi wanaowika Ulaya pale Man City tangu timu iundwe (achilia mbali, tangu 2013 Fergie alipoondoka, maana hicho si ndio kipimo chako)
Vipi kuhusu Barcelona wapo wangapi wanaowika tangu 2013?
Nirudi kwenye swali lako, kwa uchache hao ndio wanaowika Ulaya tangu SAF aondoke United kutoka United Academy
Rashford Three Lions
Scot Tominay Scotland
Tuanzebe Three Lions
Henderson Goalkeeper - Shefield Wednesday - Three Lions
Pereira - kaitwa Selecao mara moja
Chelsea ina kikosi kizuri sana. Mafanikio yake yatategemeana na uwezo wa Lampard.Sasa Chelsea kwa tuna kikosi bora sana japo tuko underrated kwa sababu ya ban na kuondoka kwa msaliti Luiz na legendary Hazard kumefanya mujiamin Chelsea itakuwa ya kupigwa pigwa tu kama Arsenal au ninyi manure. Sisi tuna vijana wenye kiu ya kupambana na kufunga magoli mengi. Hatuna vijana mabisho kama Masho au Rashid wao wakifikisha goli kumi kwenye ligi imeisha iyooowana relax wanasubiri msimu uishe. Nina uahakika Tammy anamaliza juu ya Auba wa arsenal kwa idadi ya magoli...
Man united 1-3 Chelsea..
Lukaku hata angebaki still angeendelea kuwa back up ya Rashford so kimpira hili ni tusi ila kiuhalisia hakuna kinachoshindikanaSipingani na wewe mkuu shida inakuja unaachaje wachezaj wazur wakat huna replacement mfano lukaku na harrrera?
Tunajenga timu watu muhimu tunaacha wasepe binafsi naona hapo kidogo pana upungufu
Acha mahabaChelsea ina kikosi kizuri sana. Mafanikio yake yatategemeana na uwezo wa Lampard.
nobody in nobody out.The transfer window may have closed in the Premier League but it remains open across Europe.
Juventus are not giving up on Paul Pogba.
Gossiphttps://t.co/t1IqS9rMGn https://t.co/U8SHqWYPW5
United ni zile brand ziko AAA rated. Yaani zimejengwa kwenye msingi imara kiasi kwamba hata ikiwa zitapata misukosuko (kutofanya vizuri uwanjani) mingi kiasi gani haziwezi kuanguka kwa miaka mingi sana ijayo.Hii manure inakufa taratibu kama Ac Milan..
United ni zile brand ziko AAA rated. Yaani zimejengwa kwenye msingi imara kiasi kwamba hata ikiwa zitapata misukosuko (kutofanya vizuri uwanjani) mingi kiasi gani haziwezi kuanguka kwa miaka mingi sana ijayo.
United inaweza enda misimu 10-20 bila kombe na bado ikaingiza pesa kuliko wanaoshinda! Ikishuka daraja usishangae umaarufu wa premiership ukapaa na ikaanza kutazamwa kuliko epl!
Sasa hapo ndipo wamiliki Glazers na kibaraka wao Ed wanapocheza. Hawataki kuumiza akili kufanya rebuild & restructuring ili timu ipate mafanikio uwanjani. Ya nini uwekeze sana ilhali pesa zitakuja hata usipowekeza?
Hivyo unaweza ona kuna mgogoro wa kimalengo baina ya mashabiki na wamiliki & management. Shabiki anataka matokeo ilhali mmiliki anataka vitabu vikae sawa.
Washindi hapo ni wamiliki ambao wamefanikiwa "kuwahadaa" mashabiki na kuwaaminisha kuwa forward line ya akina Martial-Rashy-Greenwood-Gomez-Lingard-Mata-James-Sanchez inaweza shindania ubingwa na ile ya City, Liverpool au Totenham!
Kwamba midfield ya United ya akina Andreas inaweza shindana na ile ya City na Liverpool!
Ngoja tusubiri tuone.
Wasiwasi wangu ni kwamba hata mid ya Chelsea itatupoteza sana leo. |
Haya maneno utayafuta, tunaanza leo kuonyesha cheche