kacnia
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 4,024
- 15,804
Lengo ni moja tuuTuko pamoja mkuu, niliwahi kushabikia Man U iliyokuwa ikimtegemea Striker Chadwick sembuse hii ya Rashford na Martial?
Ushindi
Lengo ni moja tuuTuko pamoja mkuu, niliwahi kushabikia Man U iliyokuwa ikimtegemea Striker Chadwick sembuse hii ya Rashford na Martial?
Game 5 zilizopita kati ya city na westhamMajirani wamefungua pazia kwa kishindo 5-0
mkuu sidhani kama kuna sehemu nimeandika maneno ya kutaka klabu inunue nusu ya timu nzima ya galacticos kama ulivyoandika hapo juu, bali nilichokihitaji mimi kwa nguvu yetu ya ushawishi wa kifedha na scouting waliojaa kila pembe ya dunia kama anavyojisifia ed woodward basi tuzibe nyufa zetu zinazotuandama kwenye jengo letu kama walivyofanya matajiri wengine mfano real madrid.Lakini hii ya kutaka kununua timu nzima huwezi saidia vijana wanaokuja. Ndio maana hujawahi kuona Barca wananunua karibu galactico nusu timu
Game 5 zilizopita kati ya city na westham
City kashinda 4+ ko sishangai jirani akivuna magoli kiasi hicho
Sio rahisi kama inavyoonekanaNa hutoshangaa mwisho wa msimu pep akichukua treble ya epl
Kikosi hiki umekipatia pale central. Akifanya Ole ni mwake kabisa. Ila kwenye flangs aanze Dany badala ya MasonMy tommorow starting lineup
De Gea
Bissaka Lindelof Maguire Shaw
Perreira McTominay Pogba
Greenwood Martial Rashford
huyo luke chadwick unayemzungumzia wewe kutoka mwaka 1999 hadi mwaka 2004 alicheza mechi 25 tu za kikosi cha kwanza na alifunga magoli mawili.Tuko pamoja mkuu, niliwahi kushabikia Man U iliyokuwa ikimtegemea Striker Chadwick sembuse hii ya Rashford na Martial?
Biera boy chelsea hamjasajili. Mmeuza bek.. mmeuza mshambuliaj ambae icon . Halaf mnawaita man u wana hali mbaya...?Aman iwe nanyi wapendwa
Man u ndo inaenda kuwa pombe ya ngoman musimu
Kila mtu atakuwa anajichotea tu
Saiz wamejificha kwenye mgongo wa Chelsea
LONDON BOY
Biera boy chelsea hamjasajili. Mmeuza bek.. mmeuza mshambuliaj ambae icon . Halaf mnawaita man u wana hali mbaya...?
Wale watoto wenu watawaaibisha
Ngoja tuone kesho masho ata fanya niniKwa lingard labda. Maana ni wa hovyo sana..
Ndio maana hata kikos cha kwanza hana number.
Ila martial sidhani. Kipind amekuja alikuwa akicheza kama striker.. na alikuwa effective akiwa CF.. kiwango kilishuka aliporudihwa winga ya kushoto.
Martial bado ana kitu na umri unaruhusu. Ambao siwaamini ni lingard na rushford. Hawa hamna kitu
Msimu huu kombe linaenda LondonNa hutoshangaa mwisho wa msimu pep akichukua treble ya epl
Utajuta kuzaliwa kwa mpira utaopigiwa kesho na watoto wa darajan
Msimu huu kombe linaenda London
Kwa kikosi hiki kesho mnashinda ila hazitazid 3My tommorow starting lineup
De Gea
Bissaka Lindelof Maguire Shaw
Perreira McTominay Pogba
Greenwood Martial Rashford