Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,049
- 51,612
Hilo hata uongoz wa man u unalifaham. Itakuwa ni bonge la kosa wakifanya hivyo
Man haiwezi kumwachia Pogba muda huu
Man haiwezi kumwachia Pogba muda huu
Umeandika as if united ndio timu pekee ambayo ina weakness. Kuna wengine tena hao wakubwa tena wamekuwa wakiwapa washabiki wao presha hata kabla ya man u kushuka chiniKwa sasa shabiki anayepata taabu ni yule aliyeishabikia timu iliyokuwa na "responsibility" ya ushindi. Kama ulivyosema, ni vema ku-lower expectations vinginevyo United kwa sasa ni miongoni mwa vile vitu vinaweza mpa mtumiaji maradhi kama vile ya moyo.
Tena sana
Acha tusubiri muda useme,pengine vijana wamelishwa sumu watajituma. |
Hahaha mapema sana kusema hivyoKwa niliyo yaona kuanzia juzi kwenye EPL Man city ni Bingwa na sisi Top 4 ni kwa mbinde
Tutamtafuta kwa touch 🔦Baada ya ya mechi ya leo Ollachuga Oc hatoonekana JF.
sio lazima youngsters watolewe kwa mkopo ndo wakafanye vizuri.....Messi alitolewa kwa mkopo?Mkuu soka limebadilika sasa. Sahau enzi za Fergie ambapo ushindani ulikuwa mdogo hivyo hao kinda wangepata play time ya kutosha. Unajua ni kwa nini City walimpoteza Sancho. Tazama sakata la dogo Odoi wa Chelsea.
Tatizo jingine United inaendeshwa kwa hisia na sio utaalamu. January iliyopita ilikuwa Gomez, Greenwood, Garner na Chong watafutiwe timu ndogo ambako watapata playtime ya kutosha kama ilivyokuwa kwa Tuanzebe.
That way baada ya misimu miwili unakuwa na Gomez anayeweza kuvaa jezi namba 10 na kupewa mikoba. JM alisema kuwa hao madogo hawawezi develop kwa kuingia uwanjani dk ya 85 au 88. Wanahitaji dk nyingi ambazo pale hawawezi pata. Unacheza na Wolves au Everton na unaongoza 1-0 ni dk ya 70 ila bado hujaua mchezo. Unawaingizaje hao kinda?
Enzi za Fergie ilikuwa rahisi. Nakumbuka ujio wa Ronaldo. Kuna mechi ya City tuko dk ya 72 (3-1) na tumekwisha ua mchezo. Dk 20 kila mchezo zilitosha kumkomaza kwa kipindi kifupi akaivaa vyema no 7.
Sasa alipoingia OGS kaja na mihemuko kuwa kuwapeleka hao kinda kwa mkopo ni kuwatenga na utamaduni wetu wa academy! Kila mmoja kacheza dk ngapi kwa nusu ya msimu iliyofuatia baada ya kufuta zile loan program?
Kwa kifupi United ina safari ndefu sana na hawa Glazers.
Mm.naomben mshinde 3-0Baada ya ya mechi ya leo Ollachuga Oc hatoonekana JF.
Mambo ya nje ya uwanja hayana faida yeyote kwa nini fans. Furaha yenu ni timu kubeba makombe ..sasa ngoja ipite iyo miaka 20/30 empty uone timu itakavyopoteza mvuto.United ni zile brand ziko AAA rated. Yaani zimejengwa kwenye msingi imara kiasi kwamba hata ikiwa zitapata misukosuko (kutofanya vizuri uwanjani) mingi kiasi gani haziwezi kuanguka kwa miaka mingi sana ijayo.
United inaweza enda misimu 10-20 bila kombe na bado ikaingiza pesa kuliko wanaoshinda! Ikishuka daraja usishangae umaarufu wa premiership ukapaa na ikaanza kutazamwa kuliko epl!
Sasa hapo ndipo wamiliki Glazers na kibaraka wao Ed wanapocheza. Hawataki kuumiza akili kufanya rebuild & restructuring ili timu ipate mafanikio uwanjani. Ya nini uwekeze sana ilhali pesa zitakuja hata usipowekeza?
Hivyo unaweza ona kuna mgogoro wa kimalengo baina ya mashabiki na wamiliki & management. Shabiki anataka matokeo ilhali mmiliki anataka vitabu vikae sawa.
Washindi hapo ni wamiliki ambao wamefanikiwa "kuwahadaa" mashabiki na kuwaaminisha kuwa forward line ya akina Martial-Rashy-Greenwood-Gomez-Lingard-Mata-James-Sanchez inaweza shindania ubingwa na ile ya City, Liverpool au Totenham!
Kwamba midfield ya United ya akina Andreas inaweza shindana na ile ya City na Liverpool!
Ngoja tusubiri tuone.
Kikosi chetu kipo underrated lakini hii Manure kushinda leo wajipange sana.Chelsea ina kikosi kizuri sana. Mafanikio yake yatategemeana na uwezo wa Lampard.
Ni mawazo yako mkuu lazima tuyaheshimu. Ngoja tuone matokeo uwanjani..Hii game ni ya kushinda mkuu..Hatuwezi tukafungwa OT game ya kwanza ya ligi na tukakubali tu matokeo kirahisi
Vijana wapambane watupe ushindi by any means
Afterall chelsea sio hatari kama tunavyowafikiria in my opinion
Sasa inakuaje unakubali mapema kupokea matokeo bila mzukaGame ya leo ni kubwa. Matojea yoyo're tuyapokee bila mzuka.




Wewe tulia kama ulivyo, Pulisic na Tammy wana goli zao kama mbili.Kuna timu Epl ina ukiwa kama chelsea? Chelsea now wametengwa na wana ukiwa sana!
Magwaya na Bissaka watafanya nini leo mbele ya Barkley, Pulisic na Tammy?? Hahaha achilia mbali Geroud, Pedero, na Willian ..hii manure naona kabisa itaoga goli nying sana.Bora chelsea mara mia hahah? Kwa mtazamo wangu mna overrate chelsea sana. Wkt bado ni timu ya kawaida tu. Iaitoshe hawajasajili zaid wameuza tu means wanarudisha kikos kilekile cha mwaka jana.
Magwaya na Bissaka watafanya nini leo mbele ya Barkley, Pulisic na Tammy?? Hahaha achilia mbali Geroud, Pedero, na Willian ..hii manure naona kabisa itaoga goli nying sana.
Mkuu,nikutakie sikukuu njema pamoja na wiki njema inayoanza jumatatu. Na hakika baada ya mechi utapoteana kabisa humu. |
Mkuu saa tatu kamili nitakuwa hapa kupokea pongezi za ushindi na kutoa pole nyingi sana kwa wafiwa..Baada ya ya mechi ya leo Ollachuga Oc hatoonekana JF.
Magwaya na Bissaka watafanya nini leo mbele ya Barkley, Pulisic na Tammy?? Hahaha achilia mbali Geroud, Pedero, na Willian ..hii manure naona kabisa itaoga goli nying sana.
Mkuu saa tatu kamili nitakuwa hapa kupokea pongezi za ushindi na kutoa pole nyingi sana kwa wafiwa..
Kwanza nitangulize kutoa pole mapema maana mgonjwa ndo anapelekwa ICU na uwezekano kupona ni mdogo sana. Ivyo tunatarajia ifikapo saa mbili kamili uyu mgonjwa atakuwa hayupo tena duniani.
Poleni sana kwa wafiwa!!!