Tutakuwa wapuuzi sana kufanya usajili eti kwasababu timu nyingine zimesajili....tutasajili kutokana na mahitaji yetuMzaha mzaha tu,dirisha limefungwa,Bruno amebaki alipo. Imeniuma si kidogo.
Kwa macho kikosi chetu kinaonekana kizuri lakini kilinganishe na city. Hata wolves hatutawaweza nje ndani
Lets wait n seeBolingo alizidi uzito,aliongezeka uzito sana. Binafsi nitafurahi sana kama Martial akirudishiwa No.9 yake na akacheza kati.
Pia hata Sanchez anaweza kucheza hapo. Mtu nisiyemuamini hapo ni Rashford, ana utoto mwingi sana na Ole amemjaza ujinga, anavimba hata akiwa na kipa.
Balaa lipo hapo kwenye viungo. Fred bado hajaonyesha kama anafaa kutegemewa, Matic ndio huyo anakaba kwa macho. Hapo ninao uhakika sana na Scott.
Mimi naamini msimu huu Spurs na Arsenal ndo wamepiga usajili mkali sana. Hii Man u isiyo na Lukaku wala Herrera nitaibamiza nyingi sana.
Magwaya na Bissaka watacheza kwa presha kubwa ivyo ligi itawashinda mapema.
Wakuu wengi Sana tunamkosoa Ed peke yake juu ya kukosa usajili wa midfielder 1 na striker mbadala wa lukaku....
ila uhalisia ninaoona mimi Ole amechangia kwa hili suala.... issue inakuja solskjaer anaamini sana katika tabia ya kutumia makinda na kuwapa nafasi na kuwa na kikosi kidogo anachoweza kukimanage..... Katika press kadhaa alizungumzia hawa madogo na ameonesha anatamani Sana kuwatumia kwenye first team swali linalokuja hapa je wataderiver?, Nikweli wanatalent ila je wataweza kuishi na pressure ya kusemwa na media pindi wanapocheza chini ya kiwango?....
Greenwood, Angel gomez, Chong na Garner wote wananafasi msimu huu... hapo Greenwood na Gomez wakiwa wamepewa namba ndogo mgongoni ambazo huwa zinatumiwa na wachezaji wale key 23 wa timu..... Kitu kisichopingika kabisa Licha ya talent kubwa waliyonayo Greenwood, Gomez, chong hawana nguvu za kuweza kusema wataweza pambana kuwin baadhi ya mipira...kidogo Garner yupo vizuri ila sio kihivo.......
Msimu huu unaweza kuwa na matokeo mawili tu....either tufanye vizuri sana or tufanye vibaya sana... maana wachezaji wanaweza kuderiver vizuri au wakaharibu kabisa na mbinu ya solskjaer inaweza leta positive impact au ndo inaweza fanya kocha mwingine ake aanze upya hii project inayowapendelea #classof2019.....
Hii thread imekuwa Negative sana.
Hivi hakuna kitu positive hata kimoja?
Mbaya zaidi kuna watu wameamua kuponda kila kitu.
Imefikia wakati hadi OLE kusmile ni nongwa.
Manchester United haina winga wa kulia inakaribia miaka 10,one of the strength za United huko nyuma ni kuwa na winga wazuri (Beckham,Giggs,CR7,Best) goal contribution upande wa kulia imekuwa ni ndogo sana kwa sasa.Option zilizopo ni Mata(ambaye ni no 10) na mchango wake kwa sasa ni mdogo na Lingard.We have only one creative midfielder (Pogba) akikabwa/akiumia hatuna timu .Our competitors wamesajili kuimarisha matatizo waliyokuwa nayoTutakuwa wapuuzi sana kufanya usajili eti kwasababu timu nyingine zimesajili....tutasajili kutokana na mahitaji yetu
Yani mnaweweseka balaa, ni Luiz tuMan u anashinda safi kabisa,wazee wa kubet Man u apewe handicap hiyo game

tuwape na Ngolo Kante nini

yani tumepigwa ban lakini bado munatuandama, je tungesajili ingekuwajeMufungwe na Chelshit hii ya Striker Giroud na Abraham?
Acha kututania bhana!



Wewe tulia kwanza nimyoe kaka ako manure wewe sina haraka sana maana kinyozi ndo mimi nitakunyoa tu..Wewe mwenyewe Striker wako ABRAHAMAN KINANA ,Jiandae kisaikolojia tu
Wapiga ramli mumeshaanza mambo yenu. Karibuni sanaHuu msimu kimeo kuliko uliopita... Majanga chelsea na utd



Si kupiga ramli kiongozi hii ipo waziWapiga ramli mumeshaanza mambo yenu. Karibuni sana![]()
TrueManchester United haina winga wa kulia inakaribia miaka 10,one of the strength za United huko nyuma ni kuwa na winga wazuri (Beckham,Giggs,CR7,Best) goal contribution upande wa kulia imekuwa ni ndogo sana kwa sasa.Option zilizopo ni Mata(ambaye ni no 10) na mchango wake kwa sasa ni mdogo na Lingard.We have only one creative midfielder (Pogba) akikabwa/akiumia hatuna timu .Our competitors wamesajili kuimarisha matatizo waliyokuwa nayo