Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,874
- 32,792
Ole bado anajifunza kama ambavyo benchi lake zima la ufundi linavyojifunza.Mi namshangaa sana anaona soka la leo ni kama lile la miaka ya fergie....kwa sababu tu kule molde alisajili vitoto vikampa ubingwa

