Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,198
NILIWAONAWatu walikuzushia vibaya sana mkuu
NILIWAONAWatu walikuzushia vibaya sana mkuu
Je ni kweli Joseverest ulipoteza kazi siku za hivi karibuni mpaka ukapotea JFNILIWAONA
HIYO HABARI NANI KAKUPA, KWANZA SINA KAZI YA MAANAJe ni kweli Joseverest ulipoteza kazi siku za hivi karibuni mpaka ukapotea JF
Wakipigwa hiyo mech wajitafakari Mara mbili, beki Andres na Zuma, dah nitawashangaa hata wakitoa sareMufungwe na Chelshit hii ya Striker Giroud na Abraham?
Acha kututania bhana!




bolingoPole sana mkuu achana nao tu mkuuNILIWAONA
NIMESHAWAPOTEZEAPole sana mkuu achana nao tu mkuu
Fundi Ujenzi Greenwood atamsaidia Masho pqle mbele... Mwenzake kaondoka
Everton’s front three of Iwobi Kean Richarlison low-key better than Chelsea’s and United’s onesTaratibu tutapata vijana watakao leta ushindani maana tulishajiribu kuleta majina makubwa kama wengi humu wanavyotaka lakini kilichofwata mkaaza kulaumu kocha hajui kuwachezesha.View attachment 1175783
Mimi nilisema toka wiki mbili zilizopita kuwa man u haitasajili mtu mwingine zaidi ya Maguire.
Katika kipindi cha Woodward ni msimu mmoja tu man u iliweza kusajili wachezaji zaidi ya watatu msimu mmoja
Dirisha la July 2014, tulimsajili. Daley Blind, Morgan Shenerndalin, Dimaria, Memphis Depay, Marcos Rojo,,Ander Herera Victor Valdez.
Ole mwenyewe bado yuko kwenye pilot phase hajui anachokipigania nini pale Man u.
Katika media anaongea as if timu inaperform magically lakini kwenye vision yake anaichukulia Manchester ina ndoto sawa na Burnley.
Labda Fred atafufuka..
Bro, dunia ya leo unaishi kwa labda?
It's either aoneshe kiwango au aoneshwe mlango wa kutokea.
Ndio maana tunajaza deadwoods kwenye timu.