Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
Nimeisikia hii.. ngoja tuoneET WANASEMA DYABALA ANAENDA TOTTENHAM KWA PAUND MILLION 70.....
Nimeisikia hii.. ngoja tuoneET WANASEMA DYABALA ANAENDA TOTTENHAM KWA PAUND MILLION 70.....
Ericksen ni EPL proven.Ericksen tutamtumia muda mfupi na kumtupa wao bruno watamtumia muda mrefu sana mi naita ni longterm plan....sosha kum,a
Ericksen ni EPL proven.
Yani upewe Ericksen na bruno, uchague bruno. Kisa bruno ana miaka 24.?
Spurs wamechukua rasmi nafasi yenu..
Duu hawa jamaa wamejipanga
Hakuna mtu anapenda njaa mkuu Dyabala kanusa akaona man u sio team ni genge la wabakaji tuHuyu dogo Dybala ni muoga sana,ameogopa ile hali ya kuwa mchezaji wa MUFC.
Ujio wa Eriksen ni muhimu sana kwetu, timu haina mpigaji mzuri wa mipira iliyokufa.
Duu hawa jamaa wamejipanga
Kwangu mm eriksen namuweka baada ya KDB tu anafata yeye.Wakimpata na Coutinho kwa yule kocha wao watakuwa hatari sana.
Tatizo ni kuondoka kwa Eriksen. Huyu jamaa hanaga mambo mengi, ni kusambaza mipira tu.
hapana Erikes wakawaida mno Sura yake ya upole inafanya ahurumiwe kapitwa Hadi na horjberg wa SUTONKwangu mm eriksen namuweka baada ya KDB tu anafata yeye.
Jamaa ni fundi sana sijui kwa nn hana kismati
Kwangu mm eriksen namuweka baada ya KDB tu anafata yeye.
Jamaa ni fundi sana sijui kwa nn hana kismati
kelele kapiga Mourinho kilitokea nini?Kama kweli man utd inasajili kwa malengo,dybala hakuwa kwenye mipango yetu,imetokea bahati tu. Lakini Bruno alistahili kuja,tatizo la ole hapigi kelele asikike pamoja na sapoti kubwa ya mashabiki wanayompa kuhusu kumpata Bruno.
Ila akishakuja ndio anajisemesha,mwoga sana huyu jamaa. Lakini kuna ile kauli yake moja maarufu tangu julai anaisema 1 or 2 more signings,will be good to go.
Hakuna mtu anapenda njaa mkuu Dyabala kanusa akaona man u sio team ni genge la wabakaji tu
Yes..hata mimi nitamchagua bruno cuz hes talented na anaumri mdogo so tutamtumia kwa muda mrefu kuliko kutoa pesa nyingi kumchukua mtu ambaye atatumika kwa misimu miwili tu..Ericksen ni EPL proven.
Yani upewe Ericksen na bruno, uchague bruno. Kisa bruno ana miaka 24.?
Yes..hata mimi nitamchagua bruno cuz hes talented na anaumri mdogo so tutamtumia kwa muda mrefu kuliko kutoa pesa nyingi kumchukua mtu ambaye atatumika kwa misimu miwili tu..
Sure
Lukaku needs some respect..
Wanamtreat hovyo sana..
Ila labda kuna kitu amekosea
Huyu ole ngoja tumwone na Rashford wake..maybe anaweza kutuprove wrong,tofauti na hapo watu hawatamuelewa
RVP alikuja akiwa na miaka 29 akatupa kombe na alicheza miaka 3 tu.Ericksen tutamtumia muda mfupi na kumtupa wao bruno watamtumia muda mrefu sana mi naita ni longterm plan....sosha kum,a
Ole karudisha utamaduni wa zamani, mchezaji aipende timu kwnza na sio ushawishi wa fedha, kina Mou na magenge yake ndio yalituvuruga wametuletea kina Sanchez .......Sio kweli..let me correct you..!!
1.dybala ALIKUBALI kuja UTD lakini Alitaka mshahara mkubwa..thats y Kocha wetu akaaamua avunje mazungumzo ya kumchukua.
Dybala ameshaambiwa hana nafasi kwny kikosi cha Sarri..ila kwa 7bu aliona man utd tunamtaka Akaamua kutumia hiyo opportunity kupiga pesa ndefu..(kama Sanchez) lkn hilo limefeli cuz UTD tunataka watu wenye dhamira ya kuchezea utd na sio kuja kupiga pesa kiboya..beside..Dyabala amepunguza dau analotaka(Amepiga U-turn) anataka kuja tena UTD but its too late cuz sisi tumehamisha majeshi sehemu nyingine..meanwhile Spurs wamekubaliana na juve kumnunua kilichobaki ni yeye kukubali kwenda spurs au la.