Manchester United (Red Devils) | Special Thread

‪Fabio Paratici (Juventus sporting director) is back at Manchester United’s offices in London. Federico Pastorello (Lukaku's agent) is also in London
 
Naona tunahusishwa na Eriksen, kwamba wao wakimpata Bruno sisi tunachukua Eriksen.
 
Wakuu habari zenu..nina machache leo..

1.Tuchukue dkk moja kumpongeza Woodward kwa kumsajili Maguire(ingawa ni sababu ya pressure kutoka nje...especially ile #GrazerOut movement) lakini amejitahidi this time.

2.Jamani jamani..Napenda sana sana sana BRUNO FERNANDEZ aje..Huyo Eriksen wa Spurs abaki hukohuko(age imeenda na atatucost pesa nyingi)

3.Rw akija hata january ni sawa tu..mm sitamind..

4.Nimefurahi/Pia kuumia kuona deal ya dybala imekwama..

Nimefurahi;Kwasababu ilitutoa kwenye track yetu ya usajili(ilifunika stor za bruno fernandez kabisa) wakati Bruno ni muhimu sana kwny team kuliko dybala.

Nimeumia;(sababu tutaendelea kuwa na lukaku abaye hayupo kqenye mipango ya kocha{namimi simkubali kabisa} so atakuwa kama dead weigh kwenye timu

Pia nimeumia kwa demands za huyo dogo na ajent wake..ni kama wameivunjia heshima club..yani wanaona ni sehemu ya kwenda kujitajirisha tu(Ma-mae)..ndo maana Ole Gunnar akachomoa deal cuz hataki mchezaji asiyekuwa na mapenzi na club....Hongera OGS

..........GGMU GGMU GGMU.........
 
ume

Hongera kwa maneno mazuri umeifanya jioni yangu nione timu yetu twaipenda wengi. Ni giant Club watakewasitake.

Namtamani sana mrithi wa scholes na viungo wengine..tunakosa viungo moto pale katikati Nyuma kumefunga vizur Nashukuru kwa usajili wa bisaka na magwaya sasa tupate mtu wa kuwachezesha wings

Nina matumaini makubwa na perreira kocha amuamini tu.

Gomes bana apate mechi nyingiiii atatisha sana
 
PSG have offered Neymar to Manchester United. One year Loan deal, no obligation to buy. Loan fee €25m. United would've to pay 100% of his wages (€560,000). No response from United yet.
 
560000 hell no. Wanatafuta mahali pa kupumulia maana wages za neymar si mchezo.
Wapambane na hali yao
 
ume
Hongera kwa maneno mazuri umeifanya jioni yangu nione timu yetu twaipenda wengi. Ni giant Club watakewasitake.

Namtamani sana mrithi wa scholes na viungo wengine..tunakosa viungo moto pale katikati Nyuma kumefunga vizur Nashukuru kwa usajili wa bisaka na magwaya sasa tupate mtu wa kuwachezesha wings

Nina matumaini makubwa na perreira kocha amuamini tu.

Gomes bana apate mechi nyingiiii atatisha sana
Wewe kwa kuona potentials za Perreira, nimekukubali. Perreira kuaminiwa yupo vizuri muno
 
OGS ndio hamtaki Lukaku jamaa alireport pre-season mapema kocha hajamchezesha mechi hata moja akiulizwa anasema ni majeruhi ,
Anderlecht ni timu yake ya Kwanza kucheza professional football
Anafanya mazoezi na Anderlecht, sijui kama karuhusiwa.
 
Back
Top Bottom