Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

PSG have offered Neymar to Manchester United. One year Loan deal, no obligation to buy. Loan fee €25m. United would've to pay 100% of his wages (€560,000). No response from United yet.
Utd imekataa biashara kichaa hiyo.
 
Hata mimi simuelewi huyu Lukaku wa Man u...namuelewa Lukaku wa Belgium na Everton..
OGS ndio hamtaki Lukaku jamaa alireport pre-season mapema kocha hajamchezesha mechi hata moja akiulizwa anasema ni majeruhi ,
Anderlecht ni timu yake ya Kwanza kucheza professional football
 
Huyu chalii ya R Kama mchawi vile angetufaa huyu ...hiyo naitwa disrespectful football skills and use NA haina hasira
 
hivi tatizo la Manchester United ni wachezaji wabovu au hakuna spirit fighting inakosekana wachezaji wapo so relax kwa sana. Mie naona kama watabadilika na kuja na spirit ya wakati Ole20 anaichukua team tunaweza kuwa miongoni mwa team zinazowania U champion lakini wachezaji wakicheza kwa kuwa wapo tu katika team ata aje nani ndio itakuwa hivyo hivyo
 
Mimi kwa mtazamo wangu pia kinachofanya timu yetu iboronge mda mwingine ni ile hali ya kuwapa "class" yaani upekee kwa baadhi ya wachezaji ambao mda mwingine hawastahili...

Na hii sababu hatuna depth ya kikosi ndo maana unaona baadhi ya wachezaji kama Akina Pogba na Co. wakishindwa ku perform unabaki na akina Perreira na Mctomiany ambao ni still developing players bado hawajafikia level kubwa ya viwango vyao...

Pia sitaki kabisa kuzungumzia wachezaji ambao waemeshindwa ku deliver kabisa katika timu... Sanchez na Fred!!

Suluhisho tunahitaji kuwa na timu ambayo kila mchezaji ana challenge Katika nafasi yake sio kwasababu Kocha ana mkubali Rashford na martial basi wanakuwa na guarantee ya kucheza.. Hilo sio zuri!!

Kwa sasa naamini uwepo wa MASON GREENWOOD na Co. yake akina Chong na Gomes kama hawatatolewa kwa mkopo basi wataleta changamoto... Hata pia Daniel James pia.

Ni mda sasa wa Kocha kukubali wachezaji ambao wana aminiwa ila wanaleta madoido mengi wapewe challenge na kusajili wachezaji wazuri kuongeza ushindani katika kikosi.

GGMU!!!
 
  • Wayne Rooney's imminent switch to a player-coach role at Derby County could be announced today.
 
Hata Rashford Ali debut hivyo hivyo, sisemi kwamba Rashford Ni Bora kuliko Ronaldo, ila At least akiwa kijana wa miaka 18 mechi ya ligi tunawafunga Arsenal 3-2 Rashford akatupia mbili, mechi ijayo na Man City tukashinda 1 akatupia Tena, na Europa tulishinda 5 akatupia Tena mbili.
Wachezaji wa kiingereza wanapewa airtime sana lakini ni wakawaida sana, mbaya zaidi Man united ndo ina idadi kubwa ya wachezaji hao. Hata Magwaya anaeza kuja zingua apo mbeleni ila kwa sababu ni English man akapewa shavu na media. Bissaka kwa mbali anaeza leta matumain kweli back line yenu..
 
Haha wa hovyo. Ww na wenzio mliwacheka sana liverpool wkt wanamsajili vvd for 75m$. Leo kawa beki bora.
Miaka ya hiv karibuni mumekuwa mukifanya usajili wa hovyo sana, hata huu unaweza kuwa usajili wa hovyo. Ila hongereni ngja tuone mchango wake utaleta nini mwisho wa msimu.
 
Haha adui muombee njaa sio. Mtu hajaanza hata kucheza mechi ya kwanza. Tayari umeshaanza kusema atazingua. Duh
Acheni ligi ianze ndio mjudge kuwa kavurunda
Wachezaji wa kiingereza wanapewa airtime sana lakini ni wakawaida sana, mbaya zaidi Man united ndo ina idadi kubwa ya wachezaji hao. Hata Magwaya anaeza kuja zingua apo mbeleni ila kwa sababu ni English man akapewa shavu na media. Bissaka kwa mbali anaeza leta matumain kweli back line yenu..
 
Bruno vipi jamani,muda unakwenda huo!

Mpaka sasa katika usajili mumeshatumia ≥ £140m au ≤ 140m but not < 120m.

Na sasahivi bado kuna interest 3

1) Dybala
2) Eriksen
3) Bruno

Hao kwa pamoja wancost £200m+.
Sasa Owner hapo wanaweza kuchungulia mara mbili mbili kwenye accounts zao.

Kwahiyo kusajili big signing kwasasa ni kama bahati tu! Lakini inawezekana.
 
Kama kweli man utd inasajili kwa malengo,dybala hakuwa kwenye mipango yetu,imetokea bahati tu. Lakini Bruno alistahili kuja,tatizo la ole hapigi kelele asikike pamoja na sapoti kubwa ya mashabiki wanayompa kuhusu kumpata Bruno.

Ila akishakuja ndio anajisemesha,mwoga sana huyu jamaa. Lakini kuna ile kauli yake moja maarufu tangu julai anaisema 1 or 2 more signings,will be good to go.
 
Dybala mtoe hapo. Ameshaweka wazi.. na uongozi umetamka wazi hauna mipango nae

Back
Top Bottom