Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,060
- 43,477
Mshahara alioutaka Ni 20m kwa mwaka na Agent kataka 13m (leaks), hizo Hela man utd kwake sio tatizo, for comparison Sanchez deal lake Ni 26M.Sio kwamba dybala haitaki man u?kila akipandisha mishahara ,man u wanakuwa tayari kumlipa? Akaleta janja kuwa hutaki kukatwa 25% man u isipofuzu UCL ,
Inaonekana Ole ana say kuvunja hili deal, ama Kuna kitu chengine tusichokijua maana Woodward ninayemjua Mimi angeshakubali zamani tu huo mshahara.
Katupia 2 huko. Ni mechi ya Siri mkuu haijaonyeshwa kwenye tv Wala Mashabiki. Wamecheza tu Carrington, nimeangalia Kidogo ngao ya Hisani.