BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,341
In da house
This is united ..OFFICIAL: Man Utd have signed Harry Maguire from Leicester, making him the most expensive defender ever!
Maajabu uingereza hayataishaView attachment 1172990
Kama ni kweli mshahara wake Ni huu unaotajwa tajwa wa 5M kwa mwaka (100K kwa wiki) sio mbaya mkuu, maana mkataba wake Ni miaka 6 na nyongeza ya mwaka. Ina maana mpaka 2026 una beki wa maana na mshahara mdogo, hizo Hela walizosave kwenye mshahara zitafidia fee yake.OFFICIAL: Man Utd have signed Harry Maguire from Leicester, making him the most expensive defender ever!
Maajabu uingereza hayataishaView attachment 1172990
Bruno kama akitua atasaidia sana apo kati maana Pogba akibak hatacheza kwa kujitoa sana ..kimbembe ni kumtoa Bruno na kumshusha apo OT ..kwa upande wa bek kweli mumekamilika labda Ole azingue kupanga tu..
Nimependa hapo aliposema "huge noise come out of lisboa this afternoon.." Fans wa huo mji walikua wanafatlia sana...Ndo mana nlisema simon wa bbc mzushiView attachment 1173005
dybala kama mwanamke mzuriiii wanaume wanataka yeye hataki Yaani inakuwa kama bikira yake ni Mali ya Juve isitoshe kibibi kile tulikojolea mbele ya Ronald cr7...Basi hana akili we una uwezo halaf timu haikutaki unasubiri nini ?
Wamalize hili dili tupate usingizi tafadhali. Ukifuatilia majukwaa mengi hayajaitikia vizuri ujio wa Maguire wakati hawajui hatima ya Bruno.Ndo mana nlisema simon wa bbc mzushiView attachment 1173005
Hakuna kitu kinaniuma roho msimu huu kama kuona pep anachukua treble epl .....rekodi yetu inaenda vunjwa huku naishuhudia waziwazi maana sioni timu yA kuizuia city wasibebe tena ubingwa


dydybala kama mwanamke mzuriiii wanaume wanataka yeye hataki Yaani inakuwa kama bikira yake ni Mali ya Juve isitoshe kibibi kile tulikojolea mbele ya Ronald cr7...
Kuna wanawake wana bahati duniani..Man Utd mwenyewe anataka wazazi wa mtoto wanakubali, mtoto hataki.
Mkuu kihistoria huwa hatusajili wachezaji sporting tunasajili malegend, mifano mizuri Ni Christiano Ronaldo na Peter schmeichel,Nimependa hapo aliposema "huge noise come out of lisboa this afternoon.." Fans wa huo mji walikua wanafatlia sana...
Inaonekana Bruno kashakua kipenzi cha united tayar!
Sky sport wameripoti ama sky sport understand? Habari imeanzaje? Ukieka link tutaelewa zaidi.Sky sports pia wameripoti swap ya james na pogba
Hata Mimi natamani Simon akosee Bruno aje ila in reality jamaa Ni tier 1, almost Kila anachosema kipo on point,Ndo mana nlisema simon wa bbc mzushiView attachment 1173005
Huyu mkongoman kafanyaje tena??Lukaku amechafua hali ya hewa huko.
Huyu mkongoman kafanyaje tena??
Lakini kimsingi mimi sioni shida ya LukakuAnafanya mazoezi na Anderlecht, sijui kama karuhusiwa.