Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
They offered Dybala 450k a week and he still said no. I would delete my life.Huyu Dybala hataki kuondoka, Juve wanamlazimisha tu.
They offered Dybala 450k a week and he still said no. I would delete my life.Huyu Dybala hataki kuondoka, Juve wanamlazimisha tu.
Basi hana akili we una uwezo halaf timu haikutaki unasubiri nini ?Huyu Dybala hataki kuondoka, Juve wanamlazimisha tu.
Na huyu simon safari hii hayuko vzuri kabla james na awb kusaini masaa 12 kabla yeye alikuwa anasema dili lipo mbali sana kukamilikaHawa nao waongo cku zote walikuwa wapi kukanusha ? Labda man washindwe bei ila mchezaji wanamtaka hata ole mara zote kabla ya maguire alikuwa akisema bado wawili
Nyepesi nyepesi Ni kwamba deal la Dybala limekufa, Man Utd wamekataa kumpa mshahara anaoutaka.Huyu Dybala kama hataki kuja ni bora waachane nae, Lukaku auzwe inter, tumchukue Mario na Bruno kazi iishe.
Seems jamaa ana complicated imaging rights alizoingia mkataba, someone has to pay, ndio maana Hawa madogo wanashindwa kufikia potential zao,Dyabala anataka pesa kubwa. No offense man u inaweza kumlipa hiyo pesa lakin mshkaji haonekani akiondoka kwa moyo mmoja. Pesa ndio inampeleka kule
Sio kwamba dybala haitaki man u?kila akipandisha mishahara ,man u wanakuwa tayari kumlipa? Akaleta janja kuwa hutaki kukatwa 25% man u isipofuzu UCL ,Nyepesi nyepesi Ni kwamba deal la Dybala limekufa, Man Utd wamekataa kumpa mshahara anaoutaka.
Yaani anakoseshwa namba na mchezaji wa miaka 35 bado anajiona wa kulipwa mihela mingi, ovyo kabisaBasi hana akili we una uwezo halaf timu haikutaki unasubiri nini ?
Kuna Liver chiefHakuna kitu kinaniuma roho msimu huu kama kuona pep anachukua treble epl .....rekodi yetu inaenda vunjwa huku naishuhudia waziwazi maana sioni timu yA kuizuia city wasibebe tena ubingwa
Safi sanaNyepesi nyepesi Ni kwamba deal la Dybala limekufa, Man Utd wamekataa kumpa mshahara anaoutaka.
Mkuu umeongea point kubwa sana.. Huwa nasema kila siku Lukaku akipata timu inayotengeneza nafasi kama zile Manchester City na timu yenye tempo kama ile lazima apige 20+ goals .. Tatizo ni kwamba team haitengenez nafasi za kutosha ..Kwazile nafasi zaidi wazi alizokosa sterling, angekosa rashford au martial humu ndani ungekuwa shida sana.... Nilichojifunza sio kwamba foward za Wenzetu nzuri saaaaana no, ila ni kutengeneza nafasi nyingi zaidi na timu kucheza vizuri........
Wapunguzwe hawa waingereza wawiliRojo ni kiraka lakini anacheza nafasi Kama 3 pale nyuma, backup nzuri kwa Shaw na Maguire. Akiondoka Rojo inabidi tununue Tena.
Wanaotakiwa kupunguzwa ni Hawa wa kulia ambao wapo wengine, Jones, Smalling, lindelof, Baily, tuanzebe wote wanategemea nafasi moja.
Woodward atakuwa alikataaMpango ulikuwepo kumbe tokea zamaniView attachment 1172666
Lukaku hawezi kucheza Manchester city hata kwa imagination hata Kwenye playstation haweziMkuu umeongea point kubwa sana.. Huwa nasema kila siku Lukaku akipata timu inayotengeneza nafasi kama zile Manchester City na timu yenye tempo kama ile lazima apige 20+ goals .. Tatizo ni kwamba team haitengenez nafasi za kutosha ..
Hali kadhalika kwa Liverpool wanatengeneza nafasi nyingi sana .. Siku wakipata natural namba 9 kama striker , haki ya mungu Liverpool itakuwa timu tishio sana ulaya ..
Mo salah ni mchezaji mzuri sana ila sio natural namba 9, mipira mingi anaichukulia katikati ya kiwanja na kuanza kukimbia Kitu ambacho kama wangekuwa wana namba Tisa mzuri mabeki wangekuwa wanagawanywa vizuri .. Sana ... United tunakosa hicho .. Nafasi hazitengenezwi na hata hizo chache kina zote n gene wa haziwi zamoto...
Kama anacheza Gabriel Jesus lukaku hawez shindwa .. Kama unabisha weka takwimu za lukaku na Jesus hapa tuone.Lukaku hawezi kucheza Manchester city hata kwa imagination hata Kwenye playstation hawezi
Kwani Pogba alivyotoka Juventus ilikuwaje?Msijidanganye yani mtu aache kucheza juve aje kucheza man timu inayomaliza nafasi ya 6 kama sio ya 7 halafu mutake kumlipa mshahara mbuzi
Alikosa msimu uliopita iyo ndio nitoleeeeeeeeeeKuna Liver chief