Ugiligili
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 3,023
- 4,071
Hapa sasa unatudanganya..au unabisha kisiasa..Basi hata Diego Jota, Raul Jeminez na Ruben Neves hawapati namba Huddlesfield.
Hapa sasa unatudanganya..au unabisha kisiasa..Basi hata Diego Jota, Raul Jeminez na Ruben Neves hawapati namba Huddlesfield.
Wakuu naomba niwaite kwny mjadala huu;
1.Leicester wamegoma wanataka record fee(£80mill) ili kumuachia Maguire(miaka 26)..na bado wanamuhitaji sana.
2.Barcelona wataka kumuuza Umtiti(miaka 25)..kwa about £50mill na ukiangalia Umtiti ameachive sana ukilinganisha na Maguire.
Maoni yangu;Kwanini tusinunue Umtiti kwa mill 50 then zinazobaki tukazitumia kuimarisha sehemu ingine..!? Kuliko kuhangaika na mtu mmoja ambaye timu yake haiko tayari kumuuza na wameweka bei kubwa!?
Karibuni
Hizo stats hata Ruben Nerves anazo lakini una uhakika na Woodward anasajili kwa kuzingatia hizo stats ?Angali hizo starts za jessey sio mm angalia pia hizo goli 17 za toka 2016 kishapitwa na rashford ujueView attachment 1167910
Angalia dyballa akicheza center foward na second striker
View attachment 1167912
Hizo stats hata Ruben Nerves anazo lakini una uhakika na Woodward anasajili kwa kuzingatia hizo stats ?
Woodward anaangalia idadi yao tu kama ni wengi hawezi kusajili mwingine.
Tatizo linaweza kuwa kwa kocha.Timu sio mbaya,tunahitaji hao akina Bruno,Maguire na Dybala zaidi.
Naumia Lukaku kuondoka.Breaking news View attachment 1167739
Hapa napo kuna Matic,Pogba,Fred,McTominay na James Garner huoni kuwa Woodward hawezi kufanya huu ujinga wa kuongeza mtu mwingine?Mkuu Bruno sio no 10, ni central midfield, katika career yake aliwahi kidogo tu kucheza 10 na hakufit, majority ya mechi zake anacheza Kati, sometime pia anacheza kiungo mkabaji.
Kwahiyo hatuna striker mzuri ?Timu mbovu haiwezi kutengeneza nafasi 25 hilo utambue mkuu ndio nimekupa mfano unapokuwa na striker mzur walau hapo kuna goli hata mbili zinakuwa zishafungwa
Huwezi kuwa comfortable na hawa wachezaji.Mkuu hatukatai hilo ila kuna nafasi za muhimu zaidi ilibidi tuimprove..maana kinachoisumbua hii timu ni kuwa na wachezaji wengi wasiokuwa na consistency..
Tuna beki wa kati wa kuaminika wa kumpair na Lindelof??
Tuna straiker wakueleweka,maana lukaku anasepa??..Rashford anaweza kutupa goli 25+??
We all know kuwa tunaweza hata kumaliza top four kwa kikosi hiki lakini tunaitaji improvement kwenye kikosi chetu..We are United and not Fvcking Stoke City
Too shortWakuu naomba niwaite kwny mjadala huu;
1.Leicester wamegoma wanataka record fee(£80mill) ili kumuachia Maguire(miaka 26)..na bado wanamuhitaji sana.
2.Barcelona wataka kumuuza Umtiti(miaka 25)..kwa about £50mill na ukiangalia Umtiti ameachive sana ukilinganisha na Maguire.
Maoni yangu;Kwanini tusinunue Umtiti kwa mill 50 then zinazobaki tukazitumia kuimarisha sehemu ingine..!? Kuliko kuhangaika na mtu mmoja ambaye timu yake haiko tayari kumuuza na wameweka bei kubwa!?
Karibuni
Kwahiyo hatuna striker mzuri ?
Umtiti spana mkononi kama Baily.Wakuu naomba niwaite kwny mjadala huu;
1.Leicester wamegoma wanataka record fee(£80mill) ili kumuachia Maguire(miaka 26)..na bado wanamuhitaji sana.
2.Barcelona wataka kumuuza Umtiti(miaka 25)..kwa about £50mill na ukiangalia Umtiti ameachive sana ukilinganisha na Maguire.
Maoni yangu;Kwanini tusinunue Umtiti kwa mill 50 then zinazobaki tukazitumia kuimarisha sehemu ingine..!? Kuliko kuhangaika na mtu mmoja ambaye timu yake haiko tayari kumuuza na wameweka bei kubwa!?
Karibuni
Kuongezea chengine Maguire ni beki wa Kati wa kushoto, man U tuna beki Kama huyu mmoja tu ambae ni Rojo, Kuna mifumo Kama ule wa beki 3 nyuma na wingback au Hata wa beki 2 wawili nyuma ambao unawagawanya Hawa mabeki kwa nafasi, Maguire ni muhimu Sana.Wakuu naomba niwaite kwny mjadala huu;
1.Leicester wamegoma wanataka record fee(£80mill) ili kumuachia Maguire(miaka 26)..na bado wanamuhitaji sana.
2.Barcelona wataka kumuuza Umtiti(miaka 25)..kwa about £50mill na ukiangalia Umtiti ameachive sana ukilinganisha na Maguire.
Maoni yangu;Kwanini tusinunue Umtiti kwa mill 50 then zinazobaki tukazitumia kuimarisha sehemu ingine..!? Kuliko kuhangaika na mtu mmoja ambaye timu yake haiko tayari kumuuza na wameweka bei kubwa!?
Karibuni
Walikuwepo lakini kumbuka kusajiliwa kwa pogba kulimfaa sana Woodward kibiashara kuliko kulivyomfaa Mourinho ndani ya uwanja.Et hata ruben neves anazo sasa pogba aliponunuliwa hao hawakuwepo?
Walikuwepo lakini kumbuka kusajiliwa kwa pogba kulimfaa sana Woodward kibiashara kuliko kulivyomfaa Mourinho ndani ya uwanja.
Mkuu unaweza kuwa sahihi tunaweza tukasajili mmoja Baina ya BF na Dybala Ila viungo watano kwenye mfumo wa 4-3-3 hawatoshi, tunahitaji angalau viungo 6 minimum.Hapa napo kuna Matic,Pogba,Fred,McTominay na James Garner huoni kuwa Woodward hawezi kufanya huu ujinga wa kuongeza mtu mwingine?
Ole kashasema "they are working on one or two signings"
Mmoja hapo atakuwa ni center back hiyo nafasi nyingine ndiyo unaweza kubeti sasa Dyabala au Fernandez
Maguire ana urefu wa 1.94m,Umtiti 1.82..difference ni 9cm tu mkuu..Too short
Too plumpy
Injury prone