Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwamba mkuu unaangalia mpira hata hilo linakushinda kutambua? Jamaa amekwambia timu inatengeneza nafas 25 zinafungwa goli ngapi?
Timu kama inaweza kutengeneza 25 chances per game na isitumie hata Moja huwezi kuita ni timu bora.

Timu ya namna hii inaweza kutoka sare na timu yoyote hata ya daraja la nne na yawezekana ilizipata nafasi hizo siyo kwa ubora wake Bali kutokana na udhaifu wa timu iliyokutana nayo.

Kama nafasi hizi zote angekosa mchezaji mmoja ningesema mchezaji huyo ndiyo mwenye mapungufu ila timu ni nzuri.

Kuna timu chache sana epl zitakuruhusu utengeneze hata Five scoring chances sasa katika 25 umeconvert Moja tena mbele ya kristiansund bado utajiita ni timu nzuri ?

Kwa maana hiyo tutegemee kufungwa na timu yoyote yenye conversion rate nzuri na sisi tukaendelea kujisifia utengenezaji wa scoring chances tu bila kuzitumia.

Midtable team za epl hutengeneza nafasi chanche sana zinapocheza lakini katika nafasi tatu wanaweza kufunga hata mbili sasa ukikutana nao hao unayeshindwa kutumia 25 chances watakubakiza salama ?

Timu bado sana hii tuache kujificha kwenye kivuli cha mchicha kama alivyosema Daemusin
 
Mkuu unaweza kuwa sahihi tunaweza tukasajili mmoja Baina ya BF na Dybala Ila viungo watano kwenye mfumo wa 4-3-3 hawatoshi, tunahitaji angalau viungo 6 minimum.

Na Kati ya hao 5 mmoja tu Pogba ndio creative waliobaki wote ni midfield za kawaida tu ambao Hata assist 5 kwa msimu ni tabu. Ni aibu kusema Ila Hata Pogba Akicheza chini ya kiwango still ndio best midfield wetu kwenye utengenezaji.

Na usisahau tuna Europa league, tunahitaji kila namba kuwe na watu wawili wawili kuweza kusurvive futuhi.
Mimi siyapingi haya mahitaji yenu ila yatabaki kuwa yenu siyo ya Woodward.
Ole kila akihojiwa anasema atafanya addition ya one or two players hao mnaowahitaji nyinyi Woodward hawezi kuwasajili wote sana sana atasajili beki labda na Dyabala ambaye kama ni taarifa za kweli atakuwa kapatikana bure tu.

Kwangu mimi hawa watu watatu BF,PD na HM kuja Man u ndani ya msimu mmoja itakuwa habari ya kushangaza.
 
Dybala ni namba 10. Si winger mana speed si kubwa sana. Ila akitokea katikati ni effective sana. Ndio maana juve kipind chote anacheza 10
mkuu hilo nalifahamu lakini tokea ateuliwe OGS kuwa meneja mkuu wa timu tumekuwa na utamaduni wa kutumia viungo watatu wa asili kwa mechi nyingi tulizocheza (herrera + matic + pogba).

baada ya kutokea sintofahamu juu ya mustakabali wa ander herreara pamoja na majeruhi ya nemanja matic mabwana wawili hao nafasi zao zilikuwa zinazibwa na scott mctominay , andreas perreira pamoja na fred ambao walikuwa wanabadilishana kutokana na mechi husika.

sijafuatilia mechi zetu za kirafiki msimu huu hivyo basi sifahamu chochote juu ya style yetu ya uchezaji lakini nikitumia reference za msimu uliopita sioni dalili yoyote ya kumtumia paul dyabala eneo la namba 10 kama tutafanikiwa kumsajili.

  • ili paul dyabala atumike kiungo wa juu italazimika paul pogba acheze namba 8 huku tukirudisha mfumo wa kutumia viungo wawili jambo ambalo sidhani kama litawezekana.
  • ili paul dyabala acheze eneo la ushambuliaji italazimika marcus rashford atokee upande wa kulia na hilo jambo haliwezekani kwa sababu anayemuondoa romelu lukaku ni bwana rashford na si first touch zake mbovu.
  • wakati huo huo usisahau kuna basha wa mjukuu wa malikia anaitwa jesse lingard naye pia ni kivutio cha utalii kwenye eneo la namba 10, mzee wa mechi 100 assist 5
 
Siobi sababu ya maana ya Ole kushindwa kum-accomodate Dybala kama itakuja..

Akishindwa atakuwa ni mpuuzi wa kutupwa..yaani lingard mbele ya dybala??..no way
 
Kimsingi hizi habari za dyabla zimekuja kuharibu mambo yote MAN U...tumestack..tunamtaka ila tutashindwa kutumia vizuri(huo ndo ukweli)

Me nashauri(kama wananisikia) wampotezee dyabala..
Lukaku tumuuze kwa cash..pesa zipelekwe kwa dembele wa lyon(ni stiker mzuri) au hata Ben Yedder wa sevila.

At the same time tumlete BRUNO then tutulie mpk january tumnunue SMS(bei yake itakuwa imepungua..sshv jamaa wanataka £90mill)
 
Zama za mou tulikuwa na tatizo la beki mbovu,kiasi fulani ujio wa Maguire a wan bissaka unatia imani kuwa tatizo litapungua kama si kuisha kabisa.
Kuondoka kwa ander herrera versatile maestro pamoja na big fellain,kutokuimarika kwa Fred the red, uchanga wa kuendelea wa Pereira na suala la uchakavu wa the walking matic kumetibua sana eneo letu la kiungo matokeo yake tatizo limetoka nyuma limehamia katikati hasa ulishaji/utengenezaji nafasi za kutosha.
Kwa mtizamo wangu mimi Bruno au savic,au wote walistahili kuja kuokoa jahazi eneo hili bila kujali mazingira ya ujio wa dyabala au striker yeyote yule maana hilo ni eneo linalojitegemea kutokana na matatizo yaliyokuwepo msimu ulioisha.
Hebu pata picha hii rashford+martial+lingard+James+ greenwood kuongoza attack ya Manchester united. Halafu rudi nyuma kama miaka 11 iliyopita ulinganishe Rooney+ Ronaldo+ berbatov+ tevez na giggs.
Hakika tunarudi nyuma kwa kasi sana.
 
Paulo Dybala update [@MaxNerozzi]

• Player wanted to stay at Juve
• Player wants UCL
• No personal terms with United yet
• Not enthusiastic about EPL
• First choice away from Juve always been Barcelona/Real Madrid

Dybala to meet with Sarri tomorrow . https://t.co/48hvRiZPjJ
 
Daily Mail Wana Article mbili moja anataka 150K na nyengine anataka 350K.

Subiri interview ya kesho tutajua zaidi, hizo speculation nyingi ni kuuza Makala za magazeti tu.
 
Daily Mail Wana Article mbili moja anataka 150K na nyengine anataka 350K.

Subiri interview ya kesho tutajua zaidi, hizo speculation nyingi ni kuuza Makala za magazeti tu.
Taarifa kutoka kwa Di marzio

The dialogues between Paulo Dybala's agent and Manchester United continue, in search of a definitive agreement that would then give the decisive impulse to the exchange with Romelu Lukaku. The Joya representative is still in England, while the Argentine has just started to Italy, where from tomorrow he will start training with Juventus again. Looking forward to reaching an agreement with the club that wants it.
 
Sijui united tunaelekea wapi ..

Unamuondoa Lukaku namba 9 unatuletea "Takataka" Dybala ambae kwa ufuatiliaji wangu wa ligi ya Italy ni mchezaji Mwenye uchezaji sawa sawa kama si kuzidiwa na JUAN MATA "GARCIA"

Tena kibaya zaidi ni Mara 100 mata ambae ameweza kubreak even katika EPL kuliko Huyo dybala ambae ni Gamble...

Sijui kama Manchester united wanajua nini kinahitajika katika transfer zao .. Huwezi kuondoa namba 9 halafu hatusikii hata tetesi za kusajili striker namba 9 mwingine , perhaps Mwenye uwezo Mkubwa kuliko lukaku.. Sioni kama kuna hizo dalili .. Ipo siku tutajutia haya maamuzi ya "Kibunuwasi " kumuuza lukaku ... Ukiangalia Strikers namba 9 halisia ni wachache Sana ...

Anyway Ngoja nikae kimya tu
 
Ole anachotaka ni kumtoa tu Lukaku..na sisi tulishahoji hivi anavyoondoka Lukaku tutasajili straiker mwingine au tutaendelea na Rashford??..ameonyesha kutokumkubali tokea alipopewa kazi..

Kwa hali yetu sasa sioni tukisajili straiker wa kuweza kumreplace Lukaku..
 
Mwenye link ya group la mpira au manchester united naomba anitumie kwenye namba 0762201714
 
Kitu ambacho paulo dybala anaweza kuoffer kwa united ni kwamba yeye ni natural side 10 ambacho united tokea ameondoka rooney walikuwa wanakikosa
Sijui united tunaelekea wapi ..

Unamuondoa Lukaku namba 9 unatuletea "Takataka" Dybala ambae kwa ufuatiliaji wangu wa ligi ya Italy ni mchezaji Mwenye uchezaji sawa sawa kama si kuzidiwa na JUAN MATA "GARCIA"

Tena kibaya zaidi ni Mara 100 mata ambae ameweza kubreak even katika EPL kuliko Huyo dybala ambae ni Gamble...

Sijui kama Manchester united wanajua nini kinahitajika katika transfer zao .. Huwezi kuondoa namba 9 halafu hatusikii hata tetesi za kusajili striker namba 9 mwingine , perhaps Mwenye uwezo Mkubwa kuliko lukaku.. Sioni kama kuna hizo dalili .. Ipo siku tutajutia haya maamuzi ya "Kibunuwasi " kumuuza lukaku ... Ukiangalia Strikers namba 9 halisia ni wachache Sana ...

Anyway Ngoja nikae kimya tu
 
Kitu ambacho paulo dybala anaweza kuoffer kwa united ni kwamba yeye ni natural side 10 ambacho united tokea ameondoka rooney walikuwa wanakikosa
Juan Mata Garcia hiyo inside 10 anaweza kuicheza kwa kiwango cha Standard Gauge.. Tunasajili mchezaji Mwenye uwezo takriban sawa na baadhi ya wachezaji tulionao..

Ngoja niishie hapa , nakuomba urudie kusoma na kuelewa nilichopost
 
Ole anachotaka ni kumtoa tu Lukaku..na sisi tulishahoji hivi anavyoondoka Lukaku tutasajili straiker mwingine au tutaendelea na Rashford??..ameonyesha kutokumkubali tokea alipopewa kazi..

Kwa hali yetu sasa sioni tukisajili straiker wa kuweza kumreplace Lukaku..
Kweli kabisa
 
Back
Top Bottom