Kwa biashara ,dyabala mtafanya , ila kazi kazi aliwafaa bruno
4-3-3 wote dyabala na Bruno wanafit, Bruno aliwahi kuchezeshwa 10 Hakuwa akifunga na ku assist Sana. Ila Akicheza kama Deep lying playmaker ama central midfielder ndio ana contribute Sana. Dyabala atacheza kwenye mafoward watatu wa mbele na Bruno atacheza kwenye midfield wa tatu wa kati, yeye, Pogba na kiungo mkabaji.
 
Giggs mpya huyo
DEAL DONE!!
Sky sport mida hii wanasema deal imekubaliwa pande zote mbili kufanya swap ya dybala for Lukaku..kilichobaki ni man U kukubaliana na dyballa tu kwny malipo na mishahara.

Binafsi nahsi Man U tutaumia tena kwny hii deal. Ukiangalia stats(skysport) za DYBALLA,LINGARD na MATA za last season zinakaribia kufanana kbs(ingawa dybala yupo juu kdg lkn wapo kwny range moja) so naona tunaleta aina ya mchezaji ambaye tunae(naogopa stori za Alexis sanchez zisijirudie!!!)

Nahisi hii deal itacompromise moja kati ya deal zetu mbili(eithere bruno au SMS)...Ningependa LUKAKU auzwe kwa Cash then tununue Bruno Fernandez instead.

Lakini; SIJAJUA kama Dybala anaweza kucheza RW VIZURI..narudia VIZURI..kama anaweza basi atatusaidia kupaweka sawa kule.

GGMU GGMU
 
Binafsi wanaosema timu mbaya siwaelewi wanasema hivyo kwa kuangalia nini.....kama umefanikiwa kuangalia mechi ya Madrid na tothenham utajua Manchester tunacheza vizuri sana kuliko baadhi ya watu wanavyodhania......

This team inaccreate nafasi sio chini ya 25 kama kwa mechi ya jana ukiacha issue ya Uchoyo basi timu itafanya vizuri sana......nimeangalia Mechi ya inter, tothenham,leeds, na jana dhidi ya kristiansund tumecheza vzuri game zote hizo na tumeonesha uhai mkubwa sana.....

Kwa wale wanaoangalia mechi nzima watajua Manchester tumeimprove in the ball na off the ball, je unajua Manchester with the ball wanacheza 2-1-4-3 yan beki za Kati zinabaki 2 fullbacks zinaenda kwenye nafasi ya midfield yani pale 4,......ukiachana na hiyo bila mpira man united tunacheza vizuri zaidi maana tukipoteza mpira tunacheza 4-1-1-4 hiyo midfield moja matic huwa anastick na midfield mmoja huwa anapanda juu kupress akiwa na washambuliaji watatu 3......je msimu uliopita tulicheza hivyo? na je hiyo sio improvement kwenye kikosi? au kwa kuwa tu hatujaangaliana full game..... Yam Manchester United ya sasa ngumu sana kuifikia Backline yake maana tunakaba njia na press yetu imeimprove.......

Narudia tena Manchester United tumeimprove na namatumaini makubwa kuelekea msimu ujao....
 
Mkuu hatukatai hilo ila kuna nafasi za muhimu zaidi ilibidi tuimprove..maana kinachoisumbua hii timu ni kuwa na wachezaji wengi wasiokuwa na consistency..

Tuna beki wa kati wa kuaminika wa kumpair na Lindelof??

Tuna straiker wakueleweka,maana lukaku anasepa??..Rashford anaweza kutupa goli 25+??

We all know kuwa tunaweza hata kumaliza top four kwa kikosi hiki lakini tunaitaji improvement kwenye kikosi chetu..We are United and not Fvcking Stoke City
 
Kwanini?
Bruno Fernandez, Juan Mata, Paul Dyabala, Jesse Lingard, Sanchez na Gomes
Hawa wote wanacheza position Moja huoni kuwa haya ni matumizi mabaya ya fedha?

Pili Woodward hawezi kununua wachezaji wengi hivyo dirisha Moja.

Tatu Ole mwenyewe kila anapohojiwa anasema wazi wazi kuwa bado wanaweza kuongeza mchezaji mmoja au wawili, sana atakayenunuliwa ni beki kama wataongeza mmoja na ikitokea swap deal hii ikakamilika ujue hao ujue Bruno hatakuja United.
 
Binafsi wanaosema timu mbaya siwaelewi wanasema hivyo kwa kuangalia nini.....kama umefanikiwa kuangalia mechi ya Madrid na tothenham utajua Manchester tunacheza vizuri sana kuliko baadhi ya watu wanavyodhania......

This team inaccreate nafasi sio chini ya 25 kama kwa mechi ya jana ukiacha issue ya Uchoyo basi timu itafanya vizuri sana......nimeangalia Mechi ya inter, tothenham,leeds, na jana dhidi ya kristiansund tumecheza vzuri game zote hizo na tumeonesha uhai mkubwa sana.....

Kwa wale wanaoangalia mechi nzima watajua Manchester tumeimprove in the ball na off the ball, je unajua Manchester with the ball wanacheza 2-1-4-3 yan beki za Kati zinabaki 2 fullbacks zinaenda kwenye nafasi ya midfield yani pale 4,......ukiachana na hiyo bila mpira man united tunacheza vizuri zaidi maana tukipoteza mpira tunacheza 4-1-1-4 hiyo midfield moja matic huwa anastick na midfield mmoja huwa anapanda juu kupress akiwa na washambuliaji watatu 3......je msimu uliopita tulicheza hivyo? na je hiyo sio improvement kwenye kikosi? au kwa kuwa tu hatujaangaliana full game..... Yam Manchester United ya sasa ngumu sana kuifikia Backline yake maana tunakaba njia na press yetu imeimprove.......

Narudia tena Manchester United tumeimprove na namatumaini makubwa kuelekea msimu ujao....

Kwa upande wa timu sina shida nayo tulikuwa na upungufu mdogo sana hata mwisho wa ligi tumeangushwa na foward ambapo soon wataenda kurekebisha kama wakiamua unajua timu ikiwa na ushambuliaji mkali hata mabek huwa imara hawachok sasa muda wote mpira upo kwetu mbele hakutish timu itakuwa mbovu tu hiv barcelona tunaamini wana bek bora pale? Mbele barcelona kunatisha

Hao wakina smalling na jones wamecheza chini ya sir alex lakin kuanzia namba 6 tulikuwa vizur had ushambuliz kiasi kwamba muunganiko wa timu unakuwepo pogba anajitahidi sana kutengeneza nafasi japo ana shida yake lakin umaliaziaji upoje?
 
Bruno Fernandez, Juan Mata, Paul Dyabala, Jesse Lingard, Sanchez na Gomes
Hawa wote wanacheza position Moja huoni kuwa haya ni matumizi mabaya ya fedha?

Pili Woodward hawezi kununua wachezaji wengi hivyo dirisha Moja.

Tatu Ole mwenyewe kila anapohojiwa anasema wazi wazi kuwa bado wanaweza kuongeza mchezaji mmoja au wawili, sana atakayenunuliwa ni beki kama wataongeza mmoja na ikitokea swap deal hii ikakamilika ujue hao ujue Bruno hatakuja United.

Toa sanchez hapo maana anaweza kutokea pembeni gomes ana vitu vya kujifunza sio wa leo yule mata umr umekwenda hawez kucheza mech 10 mfululizo lingard ana mech zaidi ya 160 ana assist 10 hamna kwamba hizo takwimu hawazioni?
 
Binafsi wanaosema timu mbaya siwaelewi wanasema hivyo kwa kuangalia nini.....kama umefanikiwa kuangalia mechi ya Madrid na tothenham utajua Manchester tunacheza vizuri sana kuliko baadhi ya watu wanavyodhania......

This team inaccreate nafasi sio chini ya 25 kama kwa mechi ya jana ukiacha issue ya Uchoyo basi timu itafanya vizuri sana......nimeangalia Mechi ya inter, tothenham,leeds, na jana dhidi ya kristiansund tumecheza vzuri game zote hizo na tumeonesha uhai mkubwa sana.....

Kwa wale wanaoangalia mechi nzima watajua Manchester tumeimprove in the ball na off the ball, je unajua Manchester with the ball wanacheza 2-1-4-3 yan beki za Kati zinabaki 2 fullbacks zinaenda kwenye nafasi ya midfield yani pale 4,......ukiachana na hiyo bila mpira man united tunacheza vizuri zaidi maana tukipoteza mpira tunacheza 4-1-1-4 hiyo midfield moja matic huwa anastick na midfield mmoja huwa anapanda juu kupress akiwa na washambuliaji watatu 3......je msimu uliopita tulicheza hivyo? na je hiyo sio improvement kwenye kikosi? au kwa kuwa tu hatujaangaliana full game..... Yam Manchester United ya sasa ngumu sana kuifikia Backline yake maana tunakaba njia na press yetu imeimprove.......

Narudia tena Manchester United tumeimprove na namatumaini makubwa kuelekea msimu ujao....
Timu inayotengeneza 25 chnaces halafu ikashindwa kutumia hata Moja ni timu mbovu kiushambuliaji.

Kama tutaenda na trend hiyo basi tutapata goalless draw nyingi of which ni mbaya pia. Heri upoteze mechi Moja halafu ushindi mbili kuliko kutoka sare mechi tatu.

Tunaweza kuwa tumeimprove kiuchezaji kwa namna Fulani lakini je tutakuwa competitive kwenye ligi ?
 
Toa sanchez hapo maana anaweza kutokea pembeni gomes ana vitu vya kujifunza sio wa leo yule mata umr umekwenda hawez kucheza mech 10 mfululizo lingard ana mech zaidi ya 160 ana assist 10 hamna kwamba hizo takwimu hawazioni?
Wewe wasema kama ni wabovu mbona wanatumika kila mechi ?

Hiyo calculation unafanya wewe Woodward anafanya kwa kuangalia idadi yao unless Lingard auzwe na Sanchez out of that Bruno plus Dyabala sioni wakija united wote kwa pamoja.
 
Angali hizo starts za jessey sio mm angalia pia hizo goli 17 za toka 2016 kishapitwa na rashford ujue
IMG_1336.JPG

Angalia dyballa akicheza center foward na second striker

IMG_1337.JPG
 
Wewe wasema kama ni wabovu mbona wanatumika kila mechi ?

Hiyo calculation unafanya wewe Woodward anafanya kwa kuangalia idadi yao unless Lingard auzwe na Sanchez out of that Bruno plus Dyabala sioni wakija united wote kwa pamoja.
Mkuu Bruno sio no 10, ni central midfield, katika career yake aliwahi kidogo tu kucheza 10 na hakufit, majority ya mechi zake anacheza Kati, sometime pia anacheza kiungo mkabaji.
 
Timu inayotengeneza 25 chnaces halafu ikashindwa kutumia hata Moja ni timu mbovu kiushambuliaji.

Kama tutaenda na trend hiyo basi tutapata goalless draw nyingi of which ni mbaya pia. Heri upoteze mechi Moja halafu ushindi mbili kuliko kutoka sare mechi tatu.

Tunaweza kuwa tumeimprove kiuchezaji kwa namna Fulani lakini je tutakuwa competitive kwenye ligi ?

Timu mbovu haiwezi kutengeneza nafasi 25 hilo utambue mkuu ndio nimekupa mfano unapokuwa na striker mzur walau hapo kuna goli hata mbili zinakuwa zishafungwa
 
Back
Top Bottom