Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sijui united tunaelekea wapi ..


Unamuondoa Lukaku namba 9 unatuletea "Takataka" Dybala ambae kwa ufuatiliaji wangu wa ligi ya Italy ni mchezaji Mwenye uchezaji sawa sawa kama si kuzidiwa na JUAN MATA "GARCIA"

Tena kibaya zaidi ni Mara 100 mata ambae ameweza kubreak even katika EPL kuliko Huyo dybala ambae ni Gamble...


Sijui kama Manchester united wanajua nini kinahitajika katika transfer zao .. Huwezi kuondoa namba 9 halafu hatusikii hata tetesi za kusajili striker namba 9 mwingine , perhaps Mwenye uwezo Mkubwa kuliko lukaku.. Sioni kama kuna hizo dalili .. Ipo siku tutajutia haya maamuzi ya "Kibunuwasi " kumuuza lukaku ... Ukiangalia Strikers namba 9 halisia ni wachache Sana ...



Anyway Ngoja nikae kimya tu
Inawezekana umeongea point..ila kumuita dybala ni TAKATAKA unakosea kbs..binafsi sitaki aje ila hiyo dogo ni creative..sio TAKATAKA.
 
UPDATE!!!!!!
From skysport news ya Saa tatu usiku huu;

Kuna UNCONFIRMED news kwamba MAN U wameongeza dau la kumchukua MAGUIRE mpk £80Mill.

My take;Maguire will be our player in few days(probably by next week)
 
UPDATE!!!!!!
From skysport news ya Saa tatu usiku huu;

Kuna UNCONFIRMED news kwamba MAN U wameongeza dau la kumchukua MAGUIRE mpk £80Mill.

My take;Maguire will be our player in few days(probably by next week)
Hahahahahahahahah.....Mdogo mdogo mtafika mpaka £90 ml tu wanaoitaka Leicester.
 
mkuu hilo nalifahamu lakini tokea ateuliwe OGS kuwa meneja mkuu wa timu tumekuwa na utamaduni wa kutumia viungo watatu wa asili kwa mechi nyingi tulizocheza (herrera + matic + pogba).

baada ya kutokea sintofahamu juu ya mustakabali wa ander herreara pamoja na majeruhi ya nemanja matic mabwana wawili hao nafasi zao zilikuwa zinazibwa na scott mctominay , andreas perreira pamoja na fred ambao walikuwa wanabadilishana kutokana na mechi husika.

sijafuatilia mechi zetu za kirafiki msimu huu hivyo basi sifahamu chochote juu ya style yetu ya uchezaji lakini nikitumia reference za msimu uliopita sioni dalili yoyote ya kumtumia paul dyabala eneo la namba 10 kama tutafanikiwa kumsajili.

  • ili paul dyabala atumike kiungo wa juu italazimika paul pogba acheze namba 8 huku tukirudisha mfumo wa kutumia viungo wawili jambo ambalo sidhani kama litawezekana.
  • ili paul dyabala acheze eneo la ushambuliaji italazimika marcus rashford atokee upande wa kulia na hilo jambo haliwezekani kwa sababu anayemuondoa romelu lukaku ni bwana rashford na si first touch zake mbovu.
  • wakati huo huo usisahau kuna basha wa mjukuu wa malikia anaitwa jesse lingard naye pia ni kivutio cha utalii kwenye eneo la namba 10, mzee wa mechi 100 assist 5
Huo mfumo wa 4-3-3, hautumiki tena , pre- season yote, OLE katumia 4-2-3-1. Nategemea ndio mfumo utakao tumika msimu huu. Haiwezekani tufanyie majaribio mfumo mwingi , ligi ianze tuuache.

Kwahyo kama akisajiriwa Paulo Dybala au Bruno atacheza katikati hapo nyuma ya striker.

Halafu kusema kwamba Rashford ndio kamuondoa Lukaku, sio sahihi.

kuondoka Lukaku, ni kwa sababu OLE anataka attackers wawe dynamic/fluid, sio striker anasubili mpira umfikie mguuni, ndio aonekane.
 
Haijawahi kutokea Kombe lolote kubebwa na youngsters.

Ferguson si mjinga aliyemsajili Barbatov akiwa na Miaka 29.
Alan Hansen beki wa zamani wa Liverpool na mchambuzi wa soka aliwahi kusema, You can't win anything with kids. Hiyo ilikuwa Baada ya United kulambwa na Aston Villa

Kilichomkuta jamaa ni kuvuruga credibility yake ya uchambuzi...... United ya akina Neville brothers, Gigs, But et AL. ikatwaa ndoo
 
Namba hazidanganyi
IMG_20190731_230908.jpeg
 
Alan Hansen beki wa zamani wa Liverpool na mchambuzi wa soka aliwahi kusema, You can't win anything with kids. Hiyo ilikuwa Baada ya United kulambwa na Aston Villa

Kilichomkuta jamaa ni kuvuruga credibility yake ya uchambuzi...... United ya akina Neville brothers, Gigs, But et AL. ikatwaa ndoo
hao wote walikuwa over 24, unasema ni watoto??
 
Lakini ukweli ni kwamba we need beki wa kati na midfield (hata umri ukiwa wa akina Legt)
 
Throwback Thursday:


'You can't win anything with kids'


In August 1995, Match of the Day pundit Alan Hansen criticised then-Manchester United manager Sir Alex Ferguson with a comment that went down in football folklore.

Hansen was speaking after Ferguson's young side lost 3-1 to Aston Villa on the opening day of the 1995-96 season.

United went on to win the Premier League and FA Cup that season with a team whose average age was 26 years and 137 days (including only players who played 10 games or more).

Since Hansen's statement, only Chelsea have won the title with a younger squad.

In 2004-05, former England internationals Joe Cole, Frank Lampard and John Terry were in a team with an average age 25 years and 312 days that finished 12 points above runners-up Arsenal.

The oldest team to win the Premier League is also Chelsea at 29 years and 94 days in 2009-10.
 
Back
Top Bottom