ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,428
- 24,145
Aozee benchi huko atacheza carabao cup
Rashford anyang'anywe #No.10 apewe Bruno.
Rashford anyang'anywe #No.10 apewe Bruno.
Acha unafiki wewe arsenal fanArsenal wapo vzr ndugu tofauti na Utd, sema hawa arsenal hawajui wapateje point hata kama game wameikamata.. lkn timu yao iko poa kuliko yetu.
Wakuu ni full time ss..NinaComment moja tu;
1.Man utd bado ni timu mbovu..timu yetu bado sana..tunahitaji kufanya usajiri wa maana kabla dirisha halijafungwa..
TUNA HALI MBAYA.
Dyabala akija ni add-ons, Juve wanataka watupe dyabala na hela kwa Lukaku.
Hamna kitu wapi mkuu?Hamna k2 pale
Nampenda sana huyu jamaa dahMc Tominay kala Shavu pes
View attachment 1167161
Haya ndio mambo Woodward anayoyapenda, Sasa hivi ataongezwa mshahara.
Mimi nimeshajiandaa kisaikolojia kwa lolote msimu ujao.Tuzidishe maombi tu kila mmoja kwa imani yake .. Hali ni mbaya , hali ni tete mno ...
Yajayo hayafurahishi kabisa ..
Tuzidishe maombi tu kila mmoja kwa imani yake .. Hali ni mbaya , hali ni tete mno ...
Yajayo hayafurahishi kabisa ..
Nimekuwa nikisema wazi wazi kuwa hii timu yetu ni mbovu sana inaweza kutushangaza sana kwa vipigo itakavyovipokea.Timu inatia huzuni hii! Dah..Man U hali ni mbaya SANA!
Bora tujitoe tu msimu ujao tusishiriki Epl wala mashindano yyt yale!
Lingard na Rashford are disasters
Tayari umeshabadili msimamo ?Wakuu ni full time ss..NinaComment moja tu;
1.Man utd bado ni timu mbovu..timu yetu bado sana..tunahitaji kufanya usajiri wa maana kabla dirisha halijafungwa..
TUNA HALI MBAYA.
Ila mkuu timu hii hii ilipata ushindi mfululizo msimu uliopita, msiwe negative Sana, Kama Ole amewalisha sumu vijana na wote wapo fit, tutafanya vizuri.Nimekuwa nikisema wazi wazi kuwa hii timu yetu ni mbovu sana inaweza kutushangaza sana kwa vipigo itakavyovipokea.
Tujiandae kisaikolojia
Nimeeleza hali halisi niliyoiona..Tayari umeshabadili msimamo ?
Olichokiongea hakimake sense..unazidisha chumvi.Timu inatia huzuni hii! Dah..Man U hali ni mbaya SANA!
Bora tujitoe tu msimu ujao tusishiriki Epl wala mashindano yyt yale!
Lingard na Rashford are disasters