DEAL DONE!!
Sky sport mida hii wanasema deal imekubaliwa pande zote mbili kufanya swap ya dybala for Lukaku..kilichobaki ni man U kukubaliana na dyballa tu kwny malipo na mishahara.

Binafsi nahsi Man U tutaumia tena kwny hii deal. Ukiangalia stats(skysport) za DYBALLA,LINGARD na MATA za last season zinakaribia kufanana kbs(ingawa dybala yupo juu kdg lkn wapo kwny range moja) so naona tunaleta aina ya mchezaji ambaye tunae(naogopa stori za Alexis sanchez zisijirudie!!!)

Nahisi hii deal itacompromise moja kati ya deal zetu mbili(eithere bruno au SMS)...Ningependa LUKAKU auzwe kwa Cash then tununue Bruno Fernandez instead.

Lakini; SIJAJUA kama Dybala anaweza kucheza RW VIZURI..narudia VIZURI..kama anaweza basi atatusaidia kupaweka sawa kule.

GGMU GGMU
 
nje ya uwanja wa mpira sheikh dyabala sura yake inatosha kuvunja rekodi ya mauzo ya jezi ukimlinganisha na sheikh lukaku.

kama hizi habari ni za ukweli kwenye hili dili atakayeshinda zaidi ni alhajj sheikh ed woodward bin makinikiyya.
ndio maana si ajabu kukuta united wanakataa fedha ya inter milan kwa hoja ya kuwa ni ndogo.

dyabala akiwa right winger ina maana striker wako wa kila siku ni marcus rashford a.k.a mvua za vuli (leo zinanyesha wiki ijayo zinapumzika)

Breaking news
IMG_2606.JPG
 
Deal nzuri hii performance ya mchezaji inategemeana na kocha dybala anaweza akaja kufanya vizur yu man u
 
nje ya uwanja wa mpira sheikh dyabala sura yake inatosha kuvunja rekodi ya mauzo ya jezi ukimlinganisha na sheikh lukaku.

kama hizi habari ni za ukweli kwenye hili dili atakayeshinda zaidi ni alhajj sheikh ed woodward bin makinikiyya.
ndio maana si ajabu kukuta united wanakataa fedha ya inter milan kwa hoja ya kuwa ni ndogo.

dyabala akiwa right winger ina maana striker wako wa kila siku ni marcus rashford a.k.a mvua za vuli (leo zinanyesha wiki ijayo zinapumzika)

Dybala ni namba 10. Si winger mana speed si kubwa sana. Ila akitokea katikati ni effective sana. Ndio maana juve kipind chote anacheza 10
 
Kauli za kioga na za kijinga sana. Hali mbaya kivip? Man u wameshuka daraja?
Man u hata wafulie vip hawakatwi.. ni marekebisho adogo madogo yanahitajika tu.
Timu inatia huzuni hii! Dah..Man U hali ni mbaya SANA!

Bora tujitoe tu msimu ujao tusishiriki Epl wala mashindano yyt yale!

Lingard na Rashford are disasters
 
DEAL DONE!!
Sky sport mida hii wanasema deal imekubaliwa pande zote mbili kufanya swap ya dybala for Lukaku..kilichobaki ni man U kukubaliana na dyballa tu kwny malipo na mishahara.

Binafsi nahsi Man U tutaumia tena kwny hii deal. Ukiangalia stats(skysport) za DYBALLA,LINGARD na MATA za last season zinakaribia kufanana kbs(ingawa dybala yupo juu kdg lkn wapo kwny range moja) so naona tunaleta aina ya mchezaji ambaye tunae(naogopa stori za Alexis sanchez zisijirudie!!!)

Nahisi hii deal itacompromise moja kati ya deal zetu mbili(eithere bruno au SMS)...Ningependa LUKAKU auzwe kwa Cash then tununue Bruno Fernandez instead.

Lakini; SIJAJUA kama Dybala anaweza kucheza RW VIZURI..narudia VIZURI..kama anaweza basi atatusaidia kupaweka sawa kule.

GGMU GGMU

Dybala hakuwa kwenye eneo lake pendwa baada ya christiano ronaldo kwenda juve ila madhara yake ni makubwa tofauti na lukaku huwezi ukamlinganisha dyballa na lingard + lukaku na mata akicheza eneo lake #10
 
Ila hizi bangi Juve wanavuta sio za dunia hii.
Wapo sahihi ,lukaku kwa namba 9 bora ukiwa winger utamfaidi , nguvu anazo,

Vibanda umiza nilikuwa nikisia lukaku anapondwa ,nilikuwa sielewi ,

Kwa namba 9 zilizobaki duniani ,Lukaku lazima umuweke, kamuangalie Belgium anavyotupia magoli ,kwenye mfumo wa 3-4-3 , ndio maana Conte anamlilia sana.
 
Dybala ni namba 10. Si winger mana speed si kubwa sana. Ila akitokea katikati ni effective sana. Ndio maana juve kipind chote anacheza 10
Exactly mkuu, dyabala ni 10 Ama False 9, na ili ashine inabidi achukue nafasi ya Marcus Rashford, Kama ni 4-3-3 rashford aende kulia, martial kushoto na Dyabala katikati.

Msimu uliopita ana stats mbovu sababu alichezeshwa Kama Winga wa kulia baada ya Ronaldo kuchukua nafasi yake.

Ila swali muhimu kabisa amesajiliwa na Ole au Woodward?
 
Back
Top Bottom