Lukaku si tu ni mzuri pale United, timu yoyote yenye mfumo unaotumia namba tisa halisi watamtaka.Watu wanakuambia eti Martial ni lethal kumshinda Lukaku
Huku akiwa na goli 48 kwa misimu mitatu
Lukaku si tu ni mzuri pale United, timu yoyote yenye mfumo unaotumia namba tisa halisi watamtaka.Watu wanakuambia eti Martial ni lethal kumshinda Lukaku
Huku akiwa na goli 48 kwa misimu mitatu
kufananisha wachezaji wawili wanaocheza nafasi tofauti uwanjani ni udhalilishaji wa jinsiaWatu wanakuambia eti Martial ni lethal kumshinda Lukaku
Huku akiwa na goli 48 kwa misimu mitatu
martial anakosa attitutude, attitude, attitude
huu wimbo umeshatolewa remix mara ngapi?
style ya uchezaji ya antony martial ndio ile ile na haitobadilika hata kama atakuja diego simeone.
ndio maana makocha wanaojielewa wanamweka benchi kuanzia timu ya taifa hadi man united
skills bila ya bidii ni sawa sawa na mwanamke mwenye umbile zuri aliyekosa maarifa
Lukaku is better striker than Martial statistics never lie ,kwa misimu 4 iliyopita Lukaku amefunga magoli 93 Martial amefunga magoli 48 timu ya taifa Lukaku amefunga magoli 48 Martial kafunga goli 1
Since lukaku amekuja martial anacheza different number. Mweke martial namba 9 na lukaku namba 9. Then kuwe vipimo sawa.
Kwa nafasi aliyopo sasa ni ngumu sana kufikia idadi ya mabao hiyo. National team ni kitu rahis kwa lukaku.. timu yenye mfumo wa ulishaj mpira mzuri .. yeye hahangaik kukaba.. ni kutupia kwenye nyavu. Ile timu hata wakimuweka boko namba 9. Atatupia sana.
Tofauti na timu ya ufaransa ambayo hata strikers wanakaba na kutafuta mipira. Yes statistics lazima ziwe tofauti.. lakin mazingira yanatoa different story
Again Lukaku is better striker than Martial
1.jiulize why makocha karibia wote wanampanga Martial winger kushoto na sio namba 9?
Kucheza winger/left/right forward sio sababu ya mchezaji kutofunga magoli mengi Salah,Mane,Mahrez,Sane, Sterling,Sanchez, wanacheza na wanafunga magoli mengi
Uliwahi kumuona Lukaku msimu aliochezea WestBrom Kwa mkopo?
martial anakosa attitutude, attitude, attitude
huu wimbo umeshatolewa remix mara ngapi?
style ya uchezaji ya antony martial ndio ile ile na haitobadilika hata kama atakuja diego simeone.
ndio maana makocha wanaojielewa wanamweka benchi kuanzia timu ya taifa hadi man united
skills bila ya bidii ni sawa sawa na mwanamke mwenye umbile zuri aliyekosa maarifa
Kwa nafasi aliyopo sasa ni ngumu sana kufikia idadi ya mabao hiyo. National team ni kitu rahis kwa lukaku.. timu yenye mfumo wa ulishaj mpira mzuri .. yeye hahangaik kukaba.. ni kutupia kwenye nyavu. Ile timu hata wakimuweka boko namba 9. Atatupia sana.
You have a point. But do you remember martial alipokuja man u. He was first choice.. namba tisa matata sana.
The guy he stoped playing baada ya kunyang'anywa jezi. Kupelekwa kwenye wing na nafasi yale akapewa rushford. Shida ikaanzia hapo.
mkuu ukizisoma hizi comment zako kwa umakini utajigundua ya kwamba kwenye huu mjadala wa lukaku na martial upo pande zote mbili za wanaokubali na wanaokataa.Akina salah na mane unawaona wanacheza timu gani? Timu zao zimeimarishwa upande wa kiungo.
Hii united kiungo mbov.. defence mbov..
Mtoa martial mpeleke liverpool.. apate support kwenye timu uone. Lazima afikie magoli yale.
Salah ukimtoa liver mlete united ilivyombov.. upne kama nyota yake itang'ara. It is all down to mifumo ya timu ilivyo.
Wenzetu kila siku Wana improve academy, sisi hela zetu hazijengi uwanja, hazi improve academy Wala kufanya Jambo lolote la maana, Everton wanajenga na wao uwanja
![]()
Arsenal, Spurs, Westham, na Sasa Everton, ukimtoa Arsenal hao wengine walikuwa timu Ndogo ila Sasa hivi Spurs na sisi hatuna Tofauti, Na Hata Hao Everton na Westham atlest kwenye kuspend tupo nao sawa kwa Sasa.
Mpaka tunavyoongea Sasa Aston Villa wameshaspend 99m pounds kununua watu, sisi Bf anatushinda tetesi tuna 100m tu na 67M zimeshatumika haji mtu mpaka tuuze.
Capacity sio issue Kama uwanja sio mzuri, japo tunajaza uwanja wetu ila kimapato ya uwanja Arsenal tupo sawa ama wanatupita kidogo, nitaangalia vizuri madesa.Kinachonishangaza hapo epl hakuna timu itakayokuja kuivuka united kwa capacity....
Capacity sio issue Kama uwanja sio mzuri, japo tunajaza uwanja wetu ila kimapato ya uwanja Arsenal tupo sawa ama wanatupita kidogo, nitaangalia vizuri madesa.
Na mkuu hizo ni projects, ni vitu vya long term, Kama miaka 4 ama 5 ijayo tungekuwa na project kubwa yoyote tungeshaona kwenye vyombo vya habari, Ina maana tutabaki "Old" Trafford hivyo hivyo.
Sasa hivi familia ya Glazzer wanachota tu hela ya Man U, last time naangalia wameshachota 1.3 billion kulipa madeni yao, hela ambayo kiasi kikubwa inatokana na mashabiki, wanatumia Hela za timu ku improve Maisha yao badala ya Timu.
Kwa mahesabu ya haraka haraka Toka redio kijiweni
Pogba 150+ Lukaku 70 + 100m ya usajili ni 320m
AWB 50, James 15, Maguire 70, bf 70 sms 65,
Kuna Kama 50M hivi wataibakisha kumfurahisha Glazzer.
Kweli kabisa unachosema king, wamerekan sio wakuwapa timu kabisa, ndio wanachokifanya hata hapo Arsenal ,Sijawahi kuona Mmarekani kuendesha timu kwa hasara, FSG wa Liverpool walimuuza Suarez £75m wakala hela, Wakamuuza Sterling £50m wakala hela, Wakauza kina Alonso, Mascherano, wakala hela.
Wakamuuza Benteke kwa £32m na takataka nyengine wakapata kama £130m ndiyo Wakamnunua VVD £75m.
Huku na huku wakaona Haya baada ya kumuuza Coutinho kwa £145m ndiyo wakasajili Alisson, Keita na Fabinho.
Lakini ukija Overall ya mapato Wanaingiza faida zaidi ya Mara 10 kuliko wanachotoa.
Ni muarabu pekee ndiye anayeweza kuendesha timu kwa kubalance Kinachoingia na kinachotoka.
Muarabu anauza wachezaji (Magarasa) kwa £50m then anasajili wapya kwa £250m. (Angalia Man City na PSG)
Lakini Matajiri wa kimarekani wanauza Wachezaji kwa £150m, then wanasajili wapya kwa £60m.
mkuu ukizisoma hizi comment zako kwa umakini utajigundua ya kwamba kwenye huu mjadala wa lukaku na martial upo pande zote mbili za wanaokubali na wanaokataa.
Kinachofurahisha mnazidi kuongeza siku mbele mkisubiri tuanguke. Msimu uliopita mlisema hatutaweza tukawashangaza sasa hivi mnasema kwa timu yenu hiyo eti subiri tuone.Kwa timu yako hiyo ,subiri tuone ,mimi.siongei sana


. Muwe deadline basiSMS ni nani ?Kwa mahesabu ya haraka haraka Toka redio kijiweni
Pogba 150+ Lukaku 70 + 100m ya usajili ni 320m
AWB 50, James 15, Maguire 70, bf 70 sms 65,
Kuna Kama 50M hivi wataibakisha kumfurahisha Glazzer.
Mkuu haya ni matusi. Hivi mchezaji anayekupa magoli 20 au zaidi kwa msimu mmoja unasemaje kashindwa? Dybala Italy hakujamshinda ni basi tu kawa chini ya Ronaldo na kupata playing time finyu. Msimu uliopta tu japo alikua anatokea benchi mara kwa mara kafunga magoli 12.Kumuuza lukaku, utakuwa upuuzi wa karne. Huyo dybala italia tu kumemshinda, EPL ataiweza kweli.![]()
Safi
'UNITED AGREE FERNANDES FEE'
Manchester United have agreed a fee of close to £70m for Sporting Lisbon midfielder Bruno Fernandes, according to Sport.
Apparently the Portugal international’s move to Old Trafford could be confirmed in the next 48 hours.