Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa nilichokiona leo manchester united inahitaji miaka minne au mitatu kufanya usajili wa utulivu sana naona bisaka sina ugomvi nae ila lingard tatizo lipo

Greenwood yupo sawa ajitume tu

Rashford naona bado nae

Mkuu huyu Wan Bisaka ni stopper anacheza vyema sana kama ulivyoandika Rashford sijui anashida gani
 
Kwa nilichokiona leo manchester united inahitaji miaka minne au mitatu kufanya usajili wa utulivu sana naona bisaka sina ugomvi nae ila lingard tatizo lipo

Greenwood yupo sawa ajitume tu

Rashford naona bado nae
Greenwood yuko vyema lakin si wa kumtegemea. Umri bado mdogo.
Bissaka mtu wa kazi..naweza sema ndio usajili mzuri mapaka sasa ambao tumefanya.
Laki hawa lingard.. young jones.. wanatakiwa waondoke kwenye ile team. Hawako sierious kabisa.

Bado usajili wa namba 10 unahitajika.
 
Kama Bruno Atakuja Either Pogba ama Bruno mmoja anaweza kumreplace Lingard kwenye 4-2-3-1

Lingard tatizo na mdogo wake rashford matatizo ya hii timu yapo hapo kukiwa na watu makini mbele hata bek ziwe mzigo uwanja lazima uiname wakina jones kuna muda tunawalaum bure tu sasa mbele mpira haukai hamna hata bek anaemwogopa rashford na lingard kwa nini bek na kipa wasipate tabu

Ukiangalia timu kali za wenzetu mbele kuzito kiasi kwamba timu pinzan kupanda kushambulia mnajishaur sisi wakikaba pogba kwisha habar
 
Kila nikimuangalia scott mctominay naona kabisa kuna bonge moja la kiungo cha maana siku za baade huyu dogo nna imani nae kubwa sana pamoja na greenwood na bissaka tayar nina wachezaj watatu kamili hapo kwa upande wangu hiyo ndo manchester united inaanza sasa tuendelee taratibu
 
Man u bado sana labda kama tunajifariji tu.
Ligi ikianza ndiyo tutajua kuwa hatuna timu pale
 
Kila nikimuangalia scott mctominay naona kabisa kuna bonge moja la kiungo cha maana siku za baade huyu dogo nna imani nae kubwa sana pamoja na greenwood na bissaka tayar nina wachezaj watatu kamili hapo kwa upande wangu hiyo ndo manchester united inaanza sasa tuendelee taratibu
Namkubali sana McTomminay hana mambo ya kitoto kama akina Paulo na Sila(Lingard)
 
Back
Top Bottom