Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pamoja na mfumo, mm bado naamini Lukaku ni zaidi ya Rashfold au Martial. Km anauzwa itakuwa si uamuzi sahihi
Sasa hivi pale mmebakiwa na center-forward mmoja tu mwenye nguvu ambae ni Lukaku

Rashford hana nguvu ila Martial ana uafadhali kidogo. Martial ana quality ya kistriker ya kupiga mashuti ya kweli ya kistriker ndani ya 18 ila tatizo dogo huyu ni mvivu

Maoni yangu bora Lukaku akabaki na akapewa kabisa U 'Starter ' wa namba tisa , litapatikana Pengo lake akiondoka

Mtu kama Rashford ndani ya 18 hana madhara labda atengenezewe Cross za kumalizia na tena zimfikie akiwa ndani ya 18 au uzuri wake wakati wa counters tatizo linakuja jingine ni timing zake mbovu na uchoyo na kutumia vibaya chances katika hizo counters zenyewe
 
Ukimsikiliza mtu yoyote anayemkosoa Lukaku, atakwambia tatizo la jamaa ni first touch

Sijui bora uwe na first touch mbaya au last touch mbovu

Lukaku ana last touch nzuri kuliko mshambuliaji yoyote wa United kwa sasa

By the way, anawezaji kufunga magoli mengi vile (ukikinganisha na wenzake United) kama first touch zake ni mbovu?

Na vipi kwa hao wenye wonderful first touch wana magoli ishirini na ngapi msimu huu ulioisha?
 
Football is entertainment bwana
 
Mkuu Kama unataka kuona mafanikio ya kocha Fulani na mahala anapoweza kutupeleka Jambo la kwanza ni kuheshimu mawazo yake na kum support anachotaka kufanya. Ili Hata akizingua awe anafukuzwa kwa haki,

Hilo la Lukaku kufunga Magoli mengi si Hoja, Aliondoka Van Nistelroy sababu ya Ronaldo Japo kipindi hicho 2005/06 RVN alikuwa Bonge la Super star na ana average ya Magoli 30 kila msimu, Ronaldo ilikuwa Hata huwezi kumuweka level moja na RVN.

Timu yetu mpaka Sasa hakuna Hata tetesi ya Right wing, left wing yenyewe ukimtoa Daniel James hakuna Hata mmoja anayeweza kumlisha Lukaku, kwa the way Timu yetu ilivyo Sasa hivi ni Jambo la busara kumuuza Lukaku, and I hope watanunua striker Hata wa sub kuja kujaza nafasi yake, hasa tetesi za Ben Yedder.

Mfumo wetu msimu ujao Kama unavyoonekana utakuwa hauna Tena mtu wa kusimama mbele, Cross zitakuwa Nadra, watu watatumia zaidi dribling skills na pace, sioni Lukaku akishine kwenye huu mfumo Sana Sana tutampotezea tu muda wake.
 
Duh Azp ni beki bora misimu yote, ni Bissaka saba, VVD watatu, uyo Maguire kama wote..
Eti VVD watatu na Bissaka 7 Hahahahahaha mkuu unaandika kwa mihemko siangekuwa yupo Madrid huko au Barcelona Kama angekuwa bora kiasi hicho.... Sasa Azp amemzidi nini VVD
 
Mzee baba kama kawaida beki 3
IMG-20190720-WA0024.jpeg
IMG-20190720-WA0026.jpeg
 
Mkuu Kama unataka kuona mafanikio ya kocha Fulani na mahala anapoweza kutupeleka Jambo la kwanza ni kuheshimu mawazo yake na kum support anachotaka kufanya. Ili Hata akizingua awe anafukuzwa kwa haki,

Hilo la Lukaku kufunga Magoli mengi si Hoja, Aliondoka Van Nistelroy sababu ya Ronaldo Japo kipindi hicho 2005/06 RVN alikuwa Bonge la Super star na ana average ya Magoli 30 kila msimu, Ronaldo ilikuwa Hata huwezi kumuweka level moja na RVN.

Timu yetu mpaka Sasa hakuna Hata tetesi ya Right wing, left wing yenyewe ukimtoa Daniel James hakuna Hata mmoja anayeweza kumlisha Lukaku, kwa the way Timu yetu ilivyo Sasa hivi ni Jambo la busara kumuuza Lukaku, and I hope watanunua striker Hata wa sub kuja kujaza nafasi yake, hasa tetesi za Ben Yedder.

Mfumo wetu msimu ujao Kama unavyoonekana utakuwa hauna Tena mtu wa kusimama mbele, Cross zitakuwa Nadra, watu watatumia zaidi dribling skills na pace, sioni Lukaku akishine kwenye huu mfumo Sana Sana tutampotezea tu muda wake.
Danny amenunuliwa kwa makusudi yepi sasa
 
Back
Top Bottom