£75 ml ..........Harry Maguire inaweza kana jamaa ni the same level na Van Djik......MANCHESTER UNITED wakeup hahahahahahahahah wazee wa kupigwa.
Man UTD Hata asajili jiwe ama kibakuli kinaingiza hela zaidi ya iliotumika kusajili, kwenye financial point of view Woodward yupo vizuri Sana, anajua afanye nini timu ipate faida ndio maana Kila mwaka timu inavunja rekodi za mapato japo uwanjani haipo vizuri.

Hayo ya kupigwa mnatakiwa mu discuss nyie.
 
Wwholanzi kidogo wana vinasaba vya usumbufu, Rvp dakika za mwisho aligombana na LVG, RVN aligombana na Ferg, Depay akazinguana na lvg japo wapo pia walokaa vizuri tu kama ulowataja hapo. N way wachezaji wwtafutwe popote pale ila wawe tu na tija kwa timu. Nimeona baadhi ya maoni ya washabiki Wa man u wa ulaya wakishauri badala ya kununua Maguire kwa hela zinazotakiwa bora wamtumie Tuanzebe ambaye alikuwa sehemu kubwa ya A. Villa kupanda daraja na Timothy Fosu Mensa arudishwe ili waje wacheze na Lindelof pamoja na Bailly
sisi ndiyo mashabiki wa Manchester kama hatutasajili beki tutalialia hapa tukisajili tutalialia pia, tukisajili cheap options bado tutalialia hata tukisajili kwa mihela mingi tutaendelea na vilio

hatujui tunachotaka pathetic
 
Sisi muda mwingine tunazingua sana..

Maguire kwa hiyo hela watu hawamtaki na tukileta option nyingine labda ya Alderwield kwa bei chee bado tutapinga tena..

What do we actually need??
 
IMG_5802.JPG
 
sisi ndiyo mashabiki wa Manchester kama hatutasajili beki tutalialia hapa tukisajili tutalialia pia, tukisajili cheap options bado tutalialia hata tukisajili kwa mihela mingi tutaendelea na vilio

hatujui tunachotaka pathetic
Ed Woodward ndio amesababisha hata hamjui tatizo la Manchester United ni nini,situation haikuwa hivi 8/10 years ago
 
Mkuu sidhani Kama lazima awe muingereza tupo linked na Bruno, Ben Yedder, diop etc timu Sasa hivi inataka tu wachezaji wadogo wenye potentials kubwa ambao watakaa pamoja kwa muda mrefu wakue pamoja.

Kwa hiyo mmeamua kufuata playbook ya projects za Poch na Klopp?
The question is: Mna patience ya rebuilding process ambayo normally takes 3-5 years hadi muwe true contenders?
Ama mtaamua kufuata Projects za Mourinho na Guardiola ambazo ni kumwaga mapesa ili kupata instant success in 1-2 years?
 
Wakala wa Maguire huenda akawa ni mwanafunzi wa Raiola.
Yani Beki wa kawaida ambaye hata husikii kung'ang'aniwa na timu kubwa kama ilivyokuwa kwa De Ligt lakini still anamuongeza thamani kila Siku.
 
Kwa hiyo mmeamua kufuata playbook ya projects za Poch na Klopp?
The question is: Mna patience ya rebuilding process ambayo normally takes 3-5 years hadi muwe true contenders?
Ama mtaamua kufuata Projects za Mourinho na Guardiola ambazo ni kumwaga mapesa ili kupata instant success in 1-2 years?
Hio ni Manchester way, haijaanza kwa poch na klopp ipo miaka na miaka kuanzia kwa Busby Hadi Fergie. Na Fergie mwenyewe pia ashaifanya zaidi ya mara 1, miaka ya around 2003 timu ilipokuwa haifanyi vizuri alianza upya Tena wakasajiliwa Rooney, Ronaldo, kleberson, Anderson, Djemba Djemba, Nani, kilichotokea unafahamu.

OLE anacopy tu falsafa za Man U.
 
Kwa hiyo unatuaminisha kabisa kuwa Ole white maasai ana uwezo was sir Fergie tena kwa mtaji wa wachezaji mediocre waliopo kwa sasa?
 
Man UTD Hata asajili jiwe ama kibakuli kinaingiza hela zaidi ya iliotumika kusajili, kwenye financial point of view Woodward yupo vizuri Sana, anajua afanye nini timu ipate faida ndio maana Kila mwaka timu inavunja rekodi za mapato japo uwanjani haipo vizuri.

Hayo ya kupigwa mnatakiwa mu discuss nyie.
Sisi mashabiki tunataka mabadiliko uwanjani.

Hayo ya faida tuwaachie wamiliki.
 
kwa ninavyoiona hii timu hata ED akiondoka bado tatizo litakuwepo.
Tatizo litatuliwa kwa install mfumo unaotakiwa kuendesha soka kisasa.

Ed anazuia mabadiliko muhimu.

Tungekuwa na DoF mwenye mamlaka kamili, na hela inatolewa kwa target sahihi, tungeona mabadiliko.

Ed amezuia hayo.
 
Back
Top Bottom