Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
12,772
2,000
man u.png

Full name: Manchester United Football Club

Nickname(s): The Red Devils

Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C.

League: Premier League

Website: ManUtd.com

traford.jpg

Ground: Old Trafford, (Capacity: 74,994) - Pitch 105m x 68m

1.jpg

Co-Chairmen: Joel na Avram Glazer

1545569869324.png

Manager: Ole Gunnar Solskjaer

Manchester United Trophies:
League Tittles: 20

First Division/Premier League Champions: 20 (1907/08, 1910/11, 1951/52, 1955/56, 1956/57, 1964/65, 1966/67, 1992/93, 1993/94, 1995/96, 1996–97, 1998/99, 1999/2000, 2000/01, 2002/03, 2006/07, 2007/08, 2008/09, 2010/11, 2012/13)

European Trophies: 6
UEFA Champions League: 3 (1967/68, 1998/99, 2007/08)
UEFA Europa League: 1 (2016/17)
UEFA Super Cup: 1 (1991)
UEFA Cup Winners': 1 (1990/91)

FA Cup Trophies: 12 (1908/09, 1947/48, 1962/63, 1976/77, 1982/83, 1984/85, 1989/90, 1993/94, 1995/96, 1998/99, 2003/04, 2015/16)

League Cup: 5 (1991/92, 2005/06, 2008/09, 2009/10, 2016/17)

Community Shield: 21
FA Charity Cup/FA Community Shield: (1908, 1911, 1952, 1956, 1957, 1965, 1967, 1977, 1983, 1990, 1993, 1994, 1996, 1997, 2003, 2007, 2008, 2010, 2011, 2013, 2016)

Other Trophies
Second Division Championship: 2 (1935/36, 1974/75)
Intercontinental Cup: 1 (1999)
FIFA Club World Cup: 1 (2008)

1.jpg

Manchester United Trophies' Cabinet

Kombe.jpg

Manchester United Football Club celebrate as they Crowned Europa League Winners(2016/17)

IMG_20190613_160926.jpg

Manchester United Premier League fixtures for 2019/20

Follow this thread for team updates!
 
Last edited by a moderator:

mwisho2016

JF-Expert Member
Jun 27, 2016
729
1,000
Haha hiyo game ya red card2 naikumbuka vizuri mlikuwa mmewashika ile mbayaaa oscar alikuwa moto hiyo siku dah hizo red card hata hazielewekagi zilitoka toka vip
Nakumbuka nilikuwa naweka mezani bia mbili mbili. Ubuu Ulikuwa ukisimama kwa shangww
 
mwisho2016

JF-Expert Member
Jun 27, 2016
729
1,000
uvumi wa jana ndio huu hapa:
Bruno Fernandes to Man Utd transfer could be off - because of Ed Woodward
According to Portuguese outlet, O Jogo Woodward is 'hesitant' about the deal and is wary of spending yet another large sum of money on a player who has not yet tested himself at the very highest level.

Tottenham leading Bruno Fernandes race ‘but a move from Liverpool can change everything’
Nikisemaga Edo ametumwa kuimaliza man utd hamuamini
 
Masamila07

JF-Expert Member
Jun 22, 2014
4,928
2,000
Haha hata Ashley Young ana afadhali kidogo
Kazi ya beki kulinda ya pili hasa kwa beki za pembeni ni kulisha washambuliaji kutokea pembeni

Sasa hapo Ktk stats Ashley ana goli mbili halafu dogo ana 0 angalia tofauti hiyo kama ni significant sana

Ukija katika stats za tackles Wan Bissaka kama sio top 5 basi top 10 hakosi

Kitu kingine umri, Wan Bissaka ana miaka 21 wakati Young ameshafikisha umri ambao wastaarabu huwa wanastaafu
 
PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
10,608
2,000
Nafikiri Modern football fullbacks ni mshambuliaji wa pembeni tu.
Hivyo anatakiwa kuwa aggressive sana kwenye attacking.

Wana Bissaka anatoka katika timu ya Crystal palace ambayo game nyingi inacheza kwa kujilinda zaidi hivyo kuona tackles nyingi hivyo kwake siyo jambo la kushangaza kwani all the time team inajilinda.

Wan Bissaka umeangalia mechi ngapi mkuu?

modern football kwamba fullback ajue kushambulia tu? Yule Santiago Solari unadhani alikosea kumpiga benchi Marcelo na kumchagua Reguilon?
 
Masamila07

JF-Expert Member
Jun 22, 2014
4,928
2,000
Nafikiri Modern football fullbacks ni mshambuliaji wa pembeni tu.
Hivyo anatakiwa kuwa aggressive sana kwenye attacking.

Wana Bissaka anatoka katika timu ya Crystal palace ambayo game nyingi inacheza kwa kujilinda zaidi hivyo kuona tackles nyingi hivyo kwake siyo jambo la kushangaza kwani all the time team inajilinda.

Na kitu kingine ni kwamba Fullback akiwa sio defender mzuri tatizo linakuja kwa mabeki wa kati(CB's) watapata mzigo sana. Holding midfielder na fullbacks wakiwa hawajui kukaba ni janga, CB's watakuwa na kazi ya ziada kama sio kupigwa za kutosha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom