Hata hao Man city wameshakimbiwa Sana Tu na wapenda Beach. Sasa hivi wachezaji wanacheza kwa ajili ya Pep ila kabla ya Hapo kina robinho, Jo, Santa Cruz, tevez etc mtu anakuja msimu huu msimu ujao anasepa hawakai Sana.
Silva na Aguero vp?
 
Silva na Aguero vp?
Silva ni mtu wa ulaya/Japan hivyo usimuhesabu na Aguero ni kweli japo Ametoka America kusini lakini amekaa.

Ila uangalie list ya wanao ondoka na wanaokaa, Hata sisi man U kuna mtu kama Rafael japo Ametoka kule alikaa Sana, lakini wanaoondoka hi wengi zaidi. Case ni Tofauti tukichukua wachezaji wa ulaya wengi wanabaki kwa muda mrefu Hata Kama wakiwa Bora na timu zinawataka.
 
BBC wanasema ni 200k

Daaa kama BBC wamesema hivo basi ni kweli ila kiukweli hakustahili kupewa hela kubwa hivo kwa kulinganusha kiwango na mchango wake kwa timu hadi sasa. Kwa namna hiyo kwa nini akija mchezaji Mkubwa asidai mia nne,tano au sita? Hopeless kabisa!!
 
Habari zimezagaa hivyo. BBC,sky sport Mara nyingi wanachosema ni kweli,ila udhaifu wao ni kwamba huwa wanatoa habari kamili kila mtu akiwa ameshajua kuhusu jambo flani. Di Marzio nae akisema kitu kuhusu Man U Mara zote ni kweli,na yeye huwa anaanza na uvumi ulio na uhakika,ila ktk hili sijaona akisema chochote
 
Silva ni mtu wa ulaya/Japan hivyo usimuhesabu na Aguero ni kweli japo Ametoka America kusini lakini amekaa.

Ila uangalie list ya wanao ondoka na wanaokaa, Hata sisi man U kuna mtu kama Rafael japo Ametoka kule alikaa Sana, lakini wanaoondoka hi wengi zaidi. Case ni Tofauti tukichukua wachezaji wa ulaya wengi wanabaki kwa muda mrefu Hata Kama wakiwa Bora na timu zinawataka.
Anyway,
Mi kwa upande wangu naona hiyo sio approach(to buy homegrown british players) nzuri kabisa.

Wachezaji wa kiingereza top class ni wachache, wengi ni average.

Halafu pia bei zao ni kubwa ,angalia bei ya Maguire au hata huyu AWB.

Mwisho wa siku tunajenga timu kuzunguka wachezaji avarage ,tuliowanunua kwa bei kubwa.

Sijui mkuu we unaionaje hiyo approach?
 
Pumbavu kabisa,Sky sports wanadai Man U wameongeza ofa hadi £70 mil kwa Leicester ili wawauzie Maguire japo Leicester wanasema thamani yake ni 80. Hivi huyu beki thamani yake inafikia huko? Mchezaji aling'aa WC tu juzi hapa kwenye European Nations League amestruggle balaa,ila kwa sababu ni muingereza basi thamani yake kuuubwaaa!
 
Silva ni mtu wa ulaya/Japan hivyo usimuhesabu na Aguero ni kweli japo Ametoka America kusini lakini amekaa.

Ila uangalie list ya wanao ondoka na wanaokaa, Hata sisi man U kuna mtu kama Rafael japo Ametoka kule alikaa Sana, lakini wanaoondoka hi wengi zaidi. Case ni Tofauti tukichukua wachezaji wa ulaya wengi wanabaki kwa muda mrefu Hata Kama wakiwa Bora na timu zinawataka.
Wachezaji wavumilivu ni Wa Spain
 
Anyway,
Mi kwa upande wangu naona hiyo sio approach(to buy homegrown british players) nzuri kabisa.

Wachezaji wa kiingereza top class ni wachache, wengi ni average.

Halafu pia bei zao ni kubwa ,angalia bei ya Maguire au hata huyu AWB.

Mwisho wa siku tunajenga timu kuzunguka wachezaji avarage ,tuliowanunua kwa bei kubwa.

Sijui mkuu we unaionaje hiyo approach?
Mkuu sidhani Kama lazima awe muingereza tupo linked na Bruno, Ben Yedder, diop etc timu Sasa hivi inataka tu wachezaji wadogo wenye potentials kubwa ambao watakaa pamoja kwa muda mrefu wakue pamoja.
 
Daaa kama BBC wamesema hivo basi ni kweli ila kiukweli hakustahili kupewa hela kubwa hivo kwa kulinganusha kiwango na mchango wake kwa timu hadi sasa. Kwa namna hiyo kwa nini akija mchezaji Mkubwa asidai mia nne,tano au sita? Hopeless kabisa!!
Yote haya sababu ya Sanchez, alivyoondoka Ibra na Rooney wachezaji wote walikuwa na mishahara midogo midogo, ila Sanchez alivyoanza kupewa 400k Kila mchezaji na yeye anataka kuongezewa.
 
BBC wanasema ni 200k

Hata 200k bado ni parefu mno kwa dogo ambaye hana consistency mechi hadi mechi.
Unamnyima Herrera 200k unamlipa rashford 200k halafu nafasi yake unaiziba na lingstaff?
 
IMG_5799.JPG
 
£75 ml ..........Harry Maguire inaweza kana jamaa ni the same level na Van Djik......MANCHESTER UNITED wakeup hahahahahahahahah wazee wa kupigwa.
 
Sporting Lisbon has admitted that they have not received any official offers for midfielder Bruno Fernandes this summe r. This counteracts all the reports that have come out of the Portuguese media this summer so far. The clubs president Federico Varandas spoke to Radio Observador, reported by A Bola on Monday confirming the player was not on the verge of leaving the club. Varandas, when asked about interest in Fernandes, said:
“Only talks. I still haven’t thought about a minimum price but I can say that he will be the biggest sale of Sporting, looking at the €40 million of João Mário.”
Portuguese newspaper, Correio da Manhã , has also reported on the situation today suggesting that the lack of an official offer for the 24-year-old means that negotiations are to continue. Which there has been contact from Manchester United for Fernandes, via emissaries, the numbers are well short of the €70 million that Sporting expect for the player this summer.
It is stated that the potential offers, despite an official offer not being made, would be €50 million, clearly short of what the Portuguese club expected. Reports coming from Italian journalist, Nicoló Schira on Twitter , stating that United has agreed to personal terms with Fernandes ahead of a prospective move to the Old Trafford club this summer. These reports have made it in to the British media with The Sun putting an article together.
It is possible that United has agreed on personal terms with the 24-year-old as the selling club can give the buying club permission to talk with the player, albeit through their agent, which in this case is Miguel Pinho who has been in London recently and was reported to be travelling back and forward between the city and Portugal.
Fernandes apparently has a €35 million release clause which is also something that Sporting’s president, Varandas has talked about in the past few days. He told Sporting TV, via O Jogo and Sport Witness that the player would be sold for much more than the €35 million release clause. It is also reported that is Sporting reject an offer of more than €35 million, the club will have to pay Fernandes €5 million as part of the clause, which seems a silly thing to offer a player – meaning they might have been in a tough position to keep him at the time. Varandas said:
“It’s obvious that he will be wanted by big clubs. It doesn’t imply that he leaves. It’s also not a drama if he leaves.
“If he stays, Sporting have plan A; if he leaves, we have plan B. If in the market they want Bruno Fernandes, it must be a heavy amount.
“Sell for the €35m clause? (Laughs) He will not leave for €35 million. The club president must know how to understand the dressing room and realise and recognise the value of these players.”
United’s executive vice-chairman, Ed Woodward, could be playing a game, according to Sport Witness. He could have predicted that Sporting would become desperate to strike a deal to sell Fernandes this summer, which seems to be the case with Tottenham Hotspur, Manchester City and Liverpool all ending their interest in the player. It is hard to believe that Woodward could be this knowledgeable about these situations though. If that is the case, he’s done something right. However, this saga seems destined to rumble on for a bit longer.
 
Man u Hata wafaransa na waholanzi wanakaa Sana. Blind alikuwa Hata umpige benchi halalamiki ovyo ovyo Wala kuharibu dressing room, tumekuwa na RVP, RVN, burtner Etc. Same kwa Evra, Silvester, cantona, Saha na wafaransa wengine.
Wwholanzi kidogo wana vinasaba vya usumbufu, Rvp dakika za mwisho aligombana na LVG, RVN aligombana na Ferg, Depay akazinguana na lvg japo wapo pia walokaa vizuri tu kama ulowataja hapo. N way wachezaji wwtafutwe popote pale ila wawe tu na tija kwa timu. Nimeona baadhi ya maoni ya washabiki Wa man u wa ulaya wakishauri badala ya kununua Maguire kwa hela zinazotakiwa bora wamtumie Tuanzebe ambaye alikuwa sehemu kubwa ya A. Villa kupanda daraja na Timothy Fosu Mensa arudishwe ili waje wacheze na Lindelof pamoja na Bailly
 
Back
Top Bottom