Image may contain: 1 person, outdoor

#USAJILI: Man United imetuma dau la £70m kumsajili kinda wa Ajax, Matthijs de Ligt na itatekeleza hitaji lake la mshahara wa £350,000 kwa wiki. Mchezaji wa zamani wa Man United, Daley Blind amethibitisha kuwa de Ligt amechagua kujiungan na Man Uited kuliko Barcelona.

Mirror
 
Mkufunzi wa zamani wa klabu ya Manchester United Sir Alex Ferguson ameshangazwa ni kwa nini klabu hiyo haitafuti ushauri wake na anaamini kwamba klabu hyo ingemsajili mkufunzi wa Tottenham manager Mauricio Pochettino badala ya Ole Gunnar Solskjaer. (Mail on Sunday)
Hata yeye hana jipya,alitupatia the chosen one Moyes
 
mbona mnamsingizia sana fergie? Alishasema moyes alikuwa choice ya 6, choice 5 aliwapa man u juu yake ambao ni
1. PEP Guardiola ( Fergie mwenyewe alimpigia simu)
2. Jose Mourinho
3. Jurgen Klop
4. LVG
5.

Source kitabu chake mwenyewe kupitia Sky sport
https://www.skysports.com/football/...s-david-moyes-was-sixth-choice-to-replace-him

Mlaumu alioshindwa kuwapata hao wa 4 na kumchagua wa 5.
Ni sahihi ila alikuwa na mkono wake hapo. Ma meneja wengi walikuwa bado wapo vibaruani so ilikuwa ni ngumu kuwapata na pep hakutaka kuja, nshawahi msikia yeye mwenyewe tena anasema ascent ya feigie ilikuwa ni ngumu sana kumuelewa hata anachoongea.
 
Ni sahihi ila alikuwa na mkono wake hapo. Ma meneja wengi walikuwa bado wapo vibaruani so ilikuwa ni ngumu kuwapata na pep hakutaka kuja, nshawahi msikia yeye mwenyewe tena anasema ascent ya feigie ilikuwa ni ngumu sana kumuelewa hata anachoongea.
kazi ya Fergie ni kutoa ushauri, Mtendaji ni woodward, makocha watatu kati ya hao walienda timu pinzani, Mou, pep na Klop. Utamlaumu vipi Fergie?
 
Jamaa hajui kama hii ni mechi ya kirafiki. Akina Smalling wanatakiwa wachukue notes hapo kwa stam. Beki hutakiwi uwe na roho nzuri
IMG_20190526_211313.jpg
 
Back
Top Bottom