M Z A N Z I B A R I
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 21,495
- 115,997
Mino Raiola hana rafiki kwenye hela, inasemekana jamaa anahitaji euro millioni 14 kama wakalaHii ishu ya De ligt ni kama agent wake anaitumia Man u kuwapa pressure barca.
Nawaza tuu.