View attachment 1108442
Dogo kazingua...
Yaani hadi mitoto Kama hii inaitosa Manchester
Maisha yanaenda kasi sana
Sasa apo nani kakwambia kaitosa au ukifahamu kiingereza msukuma ww
The ginger princeView attachment 1108751
Sina muda wakubshana na mpumbavu baki na ujinga wako
Insane
Nazani ushajiuliza vzuri upumbavu ulio uandika
HahahahahahahahahhahahahahahahahahAcha kuni koti sitaki mazoea na wajinga
Umemuona Jaap Stam na Paul Scholes wanavyoingia uvunguni(tackles) japo wazee.Nikumuona paul duuuu natamani arudi
Gazeti la udakuMkufunzi wa zamani wa klabu ya Manchester United Sir Alex Ferguson ameshangazwa ni kwa nini klabu hiyo haitafuti ushauri wake na anaamini kwamba klabu hyo ingemsajili mkufunzi wa Tottenham manager Mauricio Pochettino badala ya Ole Gunnar Solskjaer. (Mail on Sunday)
Pep sio kwamba hakutaka kuja. wakati wanakutana, Pep hakuelewa kuwa Fergie alimpa hint ya kujiunga na MUFC, hii ni kutokana na accent ya Fergie na Pep anasema jamaa anaongea kwa haraka. Scottish accent hata kidog kidogo lazima ikupige chenga ikiwa English is your second language.Ni sahihi ila alikuwa na mkono wake hapo. Ma meneja wengi walikuwa bado wapo vibaruani so ilikuwa ni ngumu kuwapata na pep hakutaka kuja, nshawahi msikia yeye mwenyewe tena anasema ascent ya feigie ilikuwa ni ngumu sana kumuelewa hata anachoongea.
Becks kaupiga mwingi sana jana.
Hahahaha ningekuwa sosha ningesajili becks, Stam na polBora tumsajili Beckham ana uhai kuliko huyu Young.