Zamani wachezaji waliihitaji Man U kwa mapenzi na moyo wote ikapelekea wachezaji wazuri tuwapate kwa bei ya kawaida, siku hizi Man U inalazimisha wachezaji kujiunga nayo kwa kuwanunua kwa mihela mingi na mamishahara yasiyo ya kawaida. Duuu ama kweli dunia inakimbia sana
 
Team yenu haina usitawi wa jamii
 
Zamani wachezaji waliihitaji Man U kwa mapenzi na moyo wote ikapelekea wachezaji wazuri tuwapate kwa bei ya kawaida, siku hizi Man U inalazimisha wachezaji kujiunga nayo kwa kuwanunua kwa mihela mingi na mamishahara yasiyo ya kawaida. Duuu ama kweli dunia inakimbia sana
Ila nimetembelea sky sports sioni deal ya de kujoin Manchester United hizo habari mnazitoa wapi
Sky hawanaga ukanjanja
 
Hizi ndo nafasi ambazo man utd imezisishika tokea Ed Woodward awe CEO wake

2014 - 7th
2015 - 4th
2016 - 5th
2017 - 6th
2018 - 2nd
2019 - 6th
FB_IMG_1558795396740.jpeg
 
Kwa mshahara huu sioni namna ambavyo man united itajengwa na wachezaji wenye kuipigania timu
Kiukweli Mkuu kama huyu dogo atakuja na atakuwa anavuta mpunga huo naamini tutakuwa tumetengeneza tatizo jingine, tutegemee wote tutakao wasajili mbeleni wademand high salaries.

Bado naamini tunahaja ya kuwa na skauti ya maana watakao tusaidia kupata wachezaji ambao ni cheap at least tunaweza kurudi tena kwenye ushindan kuliko hawa ready made ambao timu kubwa pia wanawatolea macho.
 
View attachment 823085
Full name: Manchester United Football Club

Nickname(s): The Red Devils

Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C.

League: Premier League

Website: ManUtd.com

View attachment 823091
Ground: Old Trafford, (Capacity: 74,994) - Pitch 105m x 68m

View attachment 827629
Co-Chairmen: Joel na Avram Glazer

View attachment 975419
Manager: Ole Gunnar Solskjaer

Manchester United Trophies:
League Tittles: 20

First Division/Premier League Champions: 20 (1907/08, 1910/11, 1951/52, 1955/56, 1956/57, 1964/65, 1966/67, 1992/93, 1993/94, 1995/96, 1996–97, 1998/99, 1999/2000, 2000/01, 2002/03, 2006/07, 2007/08, 2008/09, 2010/11, 2012/13)

European Trophies: 6
UEFA Champions League: 3 (1967/68, 1998/99, 2007/08)
UEFA Europa League: 1 (2016/17)
UEFA Super Cup: 1 (1991)
UEFA Cup Winners': 1 (1990/91)

FA Cup Trophies: 12 (1908/09, 1947/48, 1962/63, 1976/77, 1982/83, 1984/85, 1989/90, 1993/94, 1995/96, 1998/99, 2003/04, 2015/16)

League Cup: 5 (1991/92, 2005/06, 2008/09, 2009/10, 2016/17)

Community Shield: 21
FA Charity Cup/FA Community Shield: (1908, 1911, 1952, 1956, 1957, 1965, 1967, 1977, 1983, 1990, 1993, 1994, 1996, 1997, 2003, 2007, 2008, 2010, 2011, 2013, 2016)

Other Trophies
Second Division Championship: 2 (1935/36, 1974/75)
Intercontinental Cup: 1 (1999)
FIFA Club World Cup: 1 (2008)

View attachment 827615
Manchester United Trophies' Cabinet

View attachment 514134
Manchester United Football Club celebrate as they Crowned Europa League Winners(2016/17)

Follow this thread for team updates!
Mkufunzi wa zamani wa klabu ya Manchester United Sir Alex Ferguson ameshangazwa ni kwa nini klabu hiyo haitafuti ushauri wake na anaamini kwamba klabu hyo ingemsajili mkufunzi wa Tottenham manager Mauricio Pochettino badala ya Ole Gunnar Solskjaer. (Mail on Sunday)
 
Yamekuwa hayo tena
 
Tushaaanza kutafuta mchawi nani!! Hiz habar hua zinasambaaa sana kama donda ndugu...yy mwenyew ni kama tulisikia alimpigia kifua Ole awepo
 
Back
Top Bottom