Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Beckham jana alikuwa ananimwagia majalo ile kiroho mbaya..Stam hajui hata kama ni friendly..yaani kazi kazi hawa watoto wana la kujifunza kutoka kwa hawa wakongwe
Naona watu mna hasira sana na OLE! Kafunga goal zuri sana na la kwanza lakini sio story yani 😬 😬

Watu wanamzungumzia Becks tu😕
 
Huyu nae uzee sijui
Mkufunzi wa zamani wa klabu ya Manchester United Sir Alex Ferguson ameshangazwa ni kwa nini klabu hiyo haitafuti ushauri wake na anaamini kwamba klabu hyo ingemsajili mkufunzi wa Tottenham manager Mauricio Pochettino badala ya Ole Gunnar Solskjaer. (Mail on Sunday)
 
mbona mnamsingizia sana fergie? Alishasema moyes alikuwa choice ya 6, choice 5 aliwapa man u juu yake ambao ni
1. PEP Guardiola ( Fergie mwenyewe alimpigia simu)
2. Jose Mourinho
3. Jurgen Klop
4. LVG
5.

Source kitabu chake mwenyewe kupitia Sky sport
https://www.skysports.com/football/...s-david-moyes-was-sixth-choice-to-replace-him

Mlaumu alioshindwa kuwapata hao wa 5 na kumchagua wa 6.
Pimbi huyu hapa
FB_IMG_1558795396740.jpeg
 
Hawakumbatiwi, Mashabiki wa man U hata hawawapendi sema jamaa wabishi kuuza timu. Mashabiki wa Man U walijichanga wakapeleka 1B hao kina Glazzer wakakataa. Kundi lilikuwa linaitwa Red Knight.
Tugomee kuingia uwanjani mpaka pale timu itakapuzwa
 
Tumeshachoka...fikiria new castle ishanunuliwa ..waache waendelee kulala..eti usajili unasajili kutoka swansea city..halafu unategemea utaenda champions league
Robertson alisajiliwa kutokea Hull City leo hii anacheza Champions league tena fainal mbili mfululizo, unataka nikuambie kitu kuhusu Gini wa Liverpool??
Man United ilishasajili Di Maria kutoka Madrid, Pogba kutoka Juve, Ibrahimovic kutoka PSG, Schwensteiger kutoka Bayern, je wameifanyia nini United??
 
Hahaah acha kunichekesha...di maria aliondoka kaenda kua lulu huko psg, ibra unasema hajafanya kitu au kuiletea kitu man u,

Back
Top Bottom