Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Smalling na Jones hata wakiitwa timu ya taifa ni wachezaji wa benchi hawajawahi kuanza kikosi cha kwanza na wako kwenye timu karibia miaka 10 ,Smalling aliwahi kucheza vizuri msimu mmoja wakati wa LVG

Rojo & Jones ni wachezaji ambao hawawezi kucheza mechi 5 mfululizo bila kuumia na ni mabeki wanaofanya many individual mistakes.Makocha wataendelea kufukuzwa until the management watakapogundua tatizo ni nini kwa sasa bado hawajagundua
Kuwa na beki imara hiyo ni hoja nzuri sana.

Ila kuwa na beki nzuri zaidi kunaanza na viungo bora wa kukaa na mpira na kuhakikisha mnashambulia muda wote.

Mpaka leo naamini barca wana beki mbovu ila kuwa na viungo imara kunawafanya waonekane bora.
 
You can't buy Mbappe with funds obtained by selling Rash and Ling combined together! They will not sell him with less than £160m. I swear
Utamuuza Rashford + Lingard hukosi £100M unaongeza £60M unamleta Mbappe.
 
I think atatimuliwa before December
Waliharakisha sana kumsainisha permanent deal
Saa hizi Allegri angekuwa ametua Old Trafford
Tatizo la Man Utd halijawahi kuwa kocha.

Hata kina Moyes au LVG wangefanya vyema.

Tatizo la Man Utd ni top Management.

Ambapo kumemfanya SAF astaafu mapema kuliko muda wake.
 
Rashford + Lingard + Martial tunampata Mbappe. Mbappe akikaa mbele pale na Lukaku itakuwa safi.
Kumbuka hao wanafanya vizuri endapo una winger wazuri na midfield iliyosimama.

Kama huna hao basi hesabu umefanya kazi ya kanisa tu hapo.
 
Rashford + Lingard + Martial tunampata Mbappe. Mbappe akikaa mbele pale na Lukaku itakuwa safi.

Sasa unadhani Kocha gani atakayeuza wachezaji hao wote 3?

Mimi huwa si intervene mawazo yenu lakini ukweli ni Kwamba hao madogo (Rash, Ling na Mart) ni natural talented players ambao wanahitaji good coaching tu!
Bali kwasasa wanaonekana ni useless kwasababu system ya uchezaji wa timu hijawa suitable kwa wao.

Na vile vile timu nzima imekosa Morali jambo ambalo wenye vipaji na uwezo wanacheza kama Mrisho Ngassa.

Kiukweli hata kama Top Management (Ed na genge lake) lina matatizo kocha anatakiwa angolee kama kama Kila kitu kipo sawa na hakuna lolote linaloendelea.

Unay Emery anapewa Limited Budget ambayo haitozidi £100m lakini anaongea kwenye Media na Wachezaji kama Everything is alright.
Sasa hivyo ndiyo Kocha anavyotakiwa awe ili apandishe Moral ya Wachezaji.

Sasa Ole hana talent of Wisdom ya kupandisha psychology na Moral ya Wachezaji kwenye kupambana.

Hapo patafutwe kocha ambaye atacheza na Psychology za wachezaji ili afichue vipaji vilivyojificha vya kina Rash, Ling na Mart.
 
Hao wote kwa pamoja hawamfikii Mbappe. Kwa ajili ya kumpata Mbappe unauza wote. Mbappe ni Messi wa kesho.
 
Nicolas Pepe
Zaha
Daniel Hames
Hakeem Ziyech

Tukiwapata hawa vijana itafaa sana

Nimewaangalia sana, wana kitu kikubwa sana miguuni mwao!
 
Hao wote kwa pamoja hawamfikii Mbappe. Kwa ajili ya kumpata Mbappe unauza wote. Mbappe ni Messi wa kesho.
Naheshimu Mawazo yako ila nakuomba siku nyingine acha Kumlinganisha Lionel Messi "La Pulga" na vitu vya kijinga jinga ...

Umenikwa sana kama si kunihuzunisha kumlinganisha Messi na huyo mbape. Mbape ana uwezo wa kawaida sana... Tena akija EPL atapotea mapema mno.

Mimi ukiniwekea mezani Eden Hazard na mbape namchukua Eden Hazard ..

Samahani kama nimekukwaza Mkuu ...
 
Zlatan is the most succesfully player signed by Mourinho despite his age,Sio kila mchezaji anasajiliwa aje acheze timu miaka 5/10
Kuna wachezaji huwa wanasajiliwa kwa ajili ya muda mfupi Henrik Larsson huyu hakucheza hata mechi 20 but ni mmoja ya wachezaji waliokuwa na msaada sana ule msimu.Rodgers alimsajili Milner akiwa mchezaji mzee lakini ni mmoja ya wachezaji muhimu sana kwenye kikosi chao kwa sasa

Ed Woodward ndio anayenegotiate mishahara ya wachezaji,yeye ndio alikuwa ana uwezo wa kukataa kumsajili Sanchez kama alivyogoma kusajili defender last season but alikuwa mchezaji mzuri pia alikuwa anauza jezi
Usajili wa pogba na Sanchez ulichangiwa zaidi na ambition ya Management kwa sababu ya kibiashara na sio target ya kocha kwa 100% ....wakat mwingine ni ngumu kumbishia boss wako, japo mambo yakiharibika ww ndo unakuwa responsible....
Ni kama ya Perez kumng'ang'ania James Rdriguez huku Anceloti hana mpango nae, mwisho wa siku mambo yakaenda vibaya Anceloti akafukuzwa kazi
 
Pogba sio ambition ya Mourinho?? Are you serious?
 
Nicolas Pepe
Zaha
Daniel Hames
Hakeem Ziyech
Tukiwapata hawa vijana itafaa sana
Nimewaangalia sana, wana kitu kikubwa sana miguuni mwao!
Arsenal wako mbele kumhitaji Zaha.. kuna tetesi wako tayari kutoa wachezaji wawili + pesa ili wamchukue.
Hakim Ziyech pia amesema anapenda kucheza Arsenal na yuko tayari kuondoka pale ajax.
 
Back
Top Bottom