Mkuu tofautisha Man u na timu kama tottenham, Man u ni bussness club....hauwez kuwait kwa miaka mitatu au minne, timu itakula hasara ya kufa mtu.....kiufupi tu swala la namna hiyo halipo na wala hutaliona popote kwa timu kama man u, Real madrid, Barcelona au Bayern...timu hzi zina uwekezaji mkubwa sana na znatumia hela nying....kwa vyovyote vile lazma wakinbizane na matokeo ya uwanjani every minute.....Tusiharakishe sana kuamini hivyo.
Kwani pochetino five years ago angeweza kufikiriwa hata kuwa kocha wa kuleta ushindani EPL ?
Nashangaa sana wanaoamin ole atatoboa, ole na moyes hawana tofaut, kiufupi walioweka tumaini kwa ole wana mtindio wa ubongoHuyu kocha wa zamani wa cardiff city hamalizi msimu atafukuzwa...
hili bandiko lako lipo kihisia zaidi kuliko uhalisia, kwa nikuulize kwanini unasema hivyo sidhani hata kama una sababu ya msingiNashangaa sana wanaoamin ole atatoboa, ole na moyes hawana tofaut, kiufupi walioweka tumaini kwa ole wana mtindio wa ubongo
Jamaa ana mbio, chenga, anajua kufunga kiasi chake, sio mbaya kwa 15m hasa ukiangalia uhaba wa winga tulionao, naukaribisha huu usajili.One of low profile names signings? View attachment 1093212
Pia umri wake unaruhusu improvement, just 21 years of ageJamaa ana mbio, chenga, anajua kufunga kiasi chake, sio mbaya kwa 15m hasa ukiangalia uhaba wa winga tulionao, naukaribisha huu usajili.
amenyimwa skillsPia umri wake unaruhusu improvement, just 21 years of age
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Unajua Man Utd before SAF ilikuwa ni timu yenye mafanikio ya kawaida? Ninaposema before SAF ninamaanisha kabla ya mwaka 1986Mkuu tofautisha Man u na timu kama tottenham, Man u ni bussness club....hauwez kuwait kwa miaka mitatu au minne, timu itakula hasara ya kufa mtu.....kiufupi tu swala la namna hiyo halipo na wala hutaliona popote kwa timu kama man u, Real madrid, Barcelona au Bayern...timu hzi zina uwekezaji mkubwa sana na znatumia hela nying....kwa vyovyote vile lazma wakinbizane na matokeo ya uwanjani every minute.....
Ndo Cha muhimi...........ni kweli, muhimu wazingatie vipaji
M
+ kuziba madhaifu machache na kuleta uzoefu........Anafikiri wachezaji wapo tu sokoni Kama vochaNew signing 6????
Mkuu umewahi kulitembelea soko la wachezaji la Siku hizi lakini?
Kamchezaji kama Di Ligte aliyekuwa mwisho kuchezea ligi ya Wachunga Farasi kule uholanzi unajuwa kasimama na £ ngapi?
Kwa Market ya sasa OGS kupewa £300m usidhani kama anaweza kupata hao wachezaji 6.
Mchezaji wa Kushindania Makombe kwasasa anaanza na £75m.
Au afanye kama Klopp kunuwa cheap option za kina Mane, Salah na Robertson then aboreshe.
Lakini hapo atahitaji misimu miwili au mitatu kuwaboresha jambo ambalo Man U hamuwezi kulivumilia.



Mkuu ana skills za kutosha, japo mbio ni silaa yake kubwaamenyimwa skills
anafaa kuwa mlinzi wetu wa kushoto 🙂🙂🙂
+presha ambayo angekuja kuipata OT, labda alikataaa offer ya utd, maana Poch kasema Madrid walimcheki akakataa very professionally (kakawambia binafsi hawezi vunja kandarasi na Spurs, labda wao waongee na Chairman wa Spurs Kama atakubali)Maybe Ed contacted him before appointing OLE.
1 year into a new 5 year contract
New stadium finally finished
Great squad of players
Team improving year on year
There’s no way he would leave all this for another English club .
Naskia huyu muhuni kapigwa ban na FIFA kuhusu mambo ya uagent wa wachezajiKwa anayefahamu issue ya Raiola naomba atueleze kwann kafungiwa?
Hizi timu zinawavuruga sana makocha. Viongozi, mashabiki na media wana demand kuliko uhalisia. Hata mimi ningekataa hizo ofa+presha ambayo angekuja kuipata OT, labda alikataaa offer ya utd, maana Poch kasema Madrid walimcheki akakataa very professionally (kakawambia binafsi hawezi vunja kandarasi na Spurs, labda wao waongee na Chairman wa Spurs Kama atakubali)
Kabla ya city walicheza na reading kama sikosei aiseee mtoto anateleza balaa vyenga kama vyote mipasi ya uhakika na goli la kideo alifunga siku ile.....huyo mtoto ni fundi haswa.....waliwapiga reading 4 kwa 1Mkuu ana skills za kutosha, japo mbio ni silaa yake kubwa
Mechi ya City amemtesa sana Otamendi na Walker
Kuna sehemu nimesoma, kapigwa ban na FA ya ItalyNaskia huyu muhuni kapigwa ban na FIFA kuhusu mambo ya uagent wa wachezaji
Kwahiyo mzee tutakuwa tumelamba dume sio??Kabla ya city walicheza na reading kama sikosei aiseee mtoto anateleza balaa vyenga kama vyote mipasi ya uhakika na goli la kideo alifunga siku ile.....huyo mtoto ni fundi haswa.....waliwapiga reading 4 kwa 1