Pole sana chief ila usiwaze tupo pamoja...cha msingi ninachoona hapa ni kukubaliana na uhalisia sahiv hii timu yetu tuna unga unga sana,kusema kweli nilikuwa naamini wachezaji tunao wa atleast kuingia top 4 bila shida ila nimekuja kujifunza wachezaji wengi tulionao wanatatizo mentally,yaani hatuna wachezaji wapambanaji uwezo wa kucheza wanao ila kwa sahv PL unahitaji pia kuwa tough sana mentally,uzuri ni kwamba ss naona Uongozi wa club umeona tatizo kubwa tulilonalo hvyo lazma watajitahidi warekebishe.
Sema hofu yangu ni kwamba kwa miaka ya hivi karibuni hakuna wachezaji wengi ambao kweli ni genuine World class kitu ambacho tunahitaji na hata ukiwapata gharama yake sio ya dunia hii labda ufanye kubahatisha wachezaji waliona thamani ndogo ndo uwakuze kuwa mastar kama walivyofanya Liverpool kwa Mane na Salah au City kwa Sane na Sterling,Hvyo ss tukubali kuwa wapole tu coz hii process naona inaweza kuchukua muda mrefu mpka tuje kukaa sawa na kurudi on top,maana inabdi pia tupate Technical Director anae jielewa na mwenye mtizamo wa mpira unao endana na Kocha.