Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ataendelea, maana yeye katika kufafanua ndio alisema kwamba after all hiyo ban (3 months) ni ndani ya Italy tu. Lakini pia anaikatia rufaa.
Hapana FIFA wame expand ban to global scale
Screenshot_20190511-114722.jpeg
 
Mkuu ana skills za kutosha, japo mbio ni silaa yake kubwa

Mechi ya City amemtesa sana Otamendi na Walker
anahitaji kusimamiwa na mwalimu mwenye CV nzuri ya kutengeneza young players mfano guardiola, klopp.

namuona ana kasoro nyingi zinazopaswa kurekebishwa kama guardiola na sterling kwa mfano ana papara au haraka haraka ya kufanya maamuzi .

tutafanya makosa makubwa sana kama ndiye atakayekuwa usajili wetu wa pekee eneo la winger.

anaonekana ni kijana mwenye bidii na asiyekata tamaa kama gareth bale.
harry redknapp alimtengeneza gareth bale na kuwa tishio, wacha tumsubirie OGS tumuone atawaibuaje wachezaji vijana.

sura nyengine ya damushin
 
Ni Muingereza huyu?
 
Back
Top Bottom