severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Habari za pogba ni nyingi sana,na kama kuna habari sipendi kuziona kama takataka ni hizi zenye jina la huyu mchezaji
YahKipindi hicho hakuwa beki
Ngoja aondoke hazard. Sali yasikukutePoleni sana najua mnavyojisikia
timu tatu zinaweza kutuma offer kwa mchezaji mmoja hapo sasa inabaki kazi ya timu na mchezaji kusikiliza offer nzuri.Hivi si nilisikia tunamtafuta kwa udi na uvumba yule dogo Wa benfica joao Felix na scouts na maafisa Wa man U washamfatilia sana,sasa mbona naona kama City ndio wanaongoza kwenye mbio za kumpata?
Hivi si nilisikia tunamtafuta kwa udi na uvumba yule dogo Wa benfica joao Felix na scouts na maafisa Wa man U washamfatilia sana,sasa mbona naona kama City ndio wanaongoza kwenye mbio za kumpata?
Kwani hazard ndio star pekee pale Chelsea!?Ngoja aondoke hazard. Sali yasikukute
Daaa hatari sana kaka. Ila wanapaswa kuelewa kuwa kwa sasa kwa kiasi kikubwa mafanikio yanaletwa na management nzuri na uwekezaji Mkubwa. Ha ha ha ha nimecheka sana ulivyosema jamaa anataka kumaliza shughuli mapema kabla ya round ya kwanza kuisha. Hongera sana asee kwa ile international comeback wazee!UAE Royal oil money inazidiwa na Barcelona, Real and PSG tu linapokuja suala la Kutumia hela kwa ajili ya usajili!!
Usishangae kusikia wanaongoza mbio za usajili.
Nadhani pepe mwakani anataka Achukue EPL kabla ya hata Round ya kwanza kumalizika.
Yani dah! Jinsi kikosi chake kilivyo ndiyokwanza anaingia sokoni kuongeza wachezaji!!!!!!!
Braza hazadi ndiye anayeifanya chelsii kuwa timu tofauti na agresivu kwenye kushambulia. Akiondoka mtalimia meno. Hazadi pale chesii ni kama Messi pale Baselona,akiondoka tu hata swansii wataomba wahamie Hispania ili wakainyanyase BaselonaKwani hazard ndio star pekee pale Chelsea!?
Sisi mastaa tunao wengi tofauti na nyie mna pogba, De gea, na mata pekee
PEP ndivyo alivyo,jamaa yupo serious sana.UAE Royal oil money inazidiwa na Barcelona, Real and PSG tu linapokuja suala la Kutumia hela kwa ajili ya usajili!!
Usishangae kusikia wanaongoza mbio za usajili.
Nadhani pepe mwakani anataka Achukue EPL kabla ya hata Round ya kwanza kumalizika.
Yani dah! Jinsi kikosi chake kilivyo ndiyokwanza anaingia sokoni kuongeza wachezaji!!!!!!!
Nimeumia sana moyo sana Sana tangu niifaham Manchester United Herrera ndio my best player of all time.
Ni bora kuwapoteza kina Pogba wa 5 kuliko Herrera mmoja.
Dah Tutamkumbuka View attachment 1093984
Your best player of all time ni herrera??!!!..what so special about him??Nimeumia sana moyo sana Sana tangu niifaham Manchester United Herrera ndio my best player of all time.
Ni bora kuwapoteza kina Pogba wa 5 kuliko Herrera mmoja.
Dah Tutamkumbuka View attachment 1093984
Ukiacha Hazard, mastaa wenu ni Rudiger, Azpilicuata, Odoi na nani vile?Kwani hazard ndio star pekee pale Chelsea!?
Sisi mastaa tunao wengi tofauti na nyie mna pogba, De gea, na mata pekee
Hata kwa miaka mi5 nyuma hawezi kuwa yeye kuna akina DE GEA... ila ANDER anaondoka kipindi tunamhitaji mno wanabaki wala posho wasio na umuhimu wowote.Nimeumia sana moyo sana Sana tangu niifaham Manchester United Herrera ndio my best player of all time.
Ni bora kuwapoteza kina Pogba wa 5 kuliko Herrera mmoja.
Dah Tutamkumbuka View attachment 1093984
Mbn unapinga ukweli unaoujua kabsa! Aondoke hazard tu na wachezaji wengine wabaki, uone mtakavyopukutika naKwani hazard ndio star pekee pale Chelsea!?
Sisi mastaa tunao wengi tofauti na nyie mna pogba, De gea, na mata pekee
Anasign new contract?DE GEA loading ....................................
Atafanya kilichofanywa na hereraAnasign new contract?