Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Luke Shaw ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa wachezaji wa Man United kwa kumzidi Lindelof kura Moja tu
83f95c7eb20589fe086900821c22e387.jpeg
 
Herrera kama Sanchez mjanja sana na hii kitu wachezaji wengi hufanya sahv esp waliojijengea majina yaani ukishaona umri wako umeenda yaan kuanzia 30 au karibia hapo na mkataba wako unakaribia kuisha unachofanya ni kudemand mshahara mkubwa iwezekanavyo coz unafahamu huo ndo unaweza kuwa mkataba wako wa mwisho top level, timu uliyopo wakikataa unaondoka bure timu itakayokuchukua lazma either itakupa signing on bonus ya maana au utapewa mkataba mnono kwasababu hawajatumia hela yoyote kukununua!

Ni kweli Woordward alipaswa kuanza hizo process za mkataba mpya mapema sema hata Herrera kwa mtizamo wangu mm hana tofauti yoyote na wapenda hela wengine tu na kuondoka kwake kwangu mm wala hakujanikosesha usingizi wacha asepe! kwa mtu ambae alikuwa anadai anaipenda timu kweli huwezi ondoka kwa sababu za ajabu ajabu kama alivyofanya!
Maslahi kwanza hata ungekuwa wewe ungeondoka lakini isiwe suala la kulazimisha kwamba kwakuwa anapenda timu ndo akubali hela anayoona haina maslahi kwake.
 
Manchester United haina tofauti yoyote na FC Kunduchi Mchambawima ya Yombo Makangarawe.
 
Maslahi kwanza hata ungekuwa wewe ungeondoka lakini isiwe suala la kulazimisha kwamba kwakuwa anapenda timu ndo akubali hela anayoona haina maslahi kwake.

Mkuu hyo hela anayoenda kulipwa kule haina tofauti kubwa sana na hela aliyokuwa offered na Utd sema tu aliingiwa na tamaa na kwamba alikuwa anajua kuna chance kubwa kushinda makombe akiwa PSG kuliko hali ivyo pale UTD kwa sahv! mimi si mlaumu coz yale ni maisha yke sema namuona kama mnafki tu na hana tofauti na wengine,wapenda timu walikuwa kina scholes,giggs etc sio hawa wapitanjia wa siku hizi..
 
ManchesterUnited ni kikundi cha matapeli kilichoshindikana kinachopatikana katika kambi za wakimbizi huko Ngara..........Hiki kikundi hawana chochote kile wanachojua zaidi ya Utaoeli na kupika gongo.
 
Enrique alichemsha Roma,alifanikiwa Barca sababu alikuwa na Xavi,Iniesta ,Messi,Pique,Suarez,Alba,Neymar,Alves

Poch tangu Southampton then Spurs unaona improvement kubwa na advantage tayari kafundisha EPL miaka zaidi ya 5
Nimekubaliana nawe.
Ila hofu yangu Poch asije akawa kama David Moyes alifanikiwa sana akiwa na Everton,alipofika kwenye klabu kubwa,Manchester United,ambao wao wanahitaji makombe,alichemsha.
 
Back
Top Bottom