Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Anasainisha wapuuzi watupu mikataba ya kiwaki....toka afanye vile nilimshusha thamani mpaka leo
√Jamani tunamhitaji Messi ili tuwafunge huddersfield??

√What a shi*t perfomance!!!..these bustard haven't gain any point from their last eight(8) games,yet they did got a point against us

√Rashford naye utasikia anataka £200k..New Welback in Town..hakuna la kutegemea kutoka kwa huyu bwana mdogo..overrated

√Ole ana mipango lakini uwanjani??,,yupoyupo tu kama vile hajui kitu..it's like anasubiri mambo yafanyike yenyewe kwa wachezaji hawa..

√Kama Ole anawapa maagizo na wanashindwa kutimiza basi hao wachezaji wote awatupe nje then apange watoto...kama hawezi ajiuzulu..simple like that
 
Europa we msindikizaji huwezi mfunga chelsea fainali kamwe
Mkuu arsenal ana options 2

Moja bado anaweza kuwafikia Chelsea na tot

Ambao mech za mwisho wana Everton na lei

Pili. Anaweza kupitia Europa

Umeona utofauti sasa ,
 
Mbona mna conclude mapema,

Hivi hamjui alhamis nakata tiketi ya kucheza final ya Europa ,hivo napitia mlango WA unai,
Mpaka kesho mimi nachojua aseno mwakani tupo nae europa
 
Bado ninaimani na Ole Gunnar Solskjaer l, sema ana timu ambayo ina mental paralysis na wachezaji wengi wasio na ndoto za kuwa na mafanikio makubwa kisoka bali mishahara mikubwa.

This is not man united it is men disunited.
DECEMBER 19 / 2018
tusione aibu kutubu dhambi zetu

ewe bwana Mungu si ungelitupa japo kauwezo kidogo wa kujua maisha yetu ya mbeleni sisi binadamu
nilisifia sana ujio wa ole gunnar solskjaer kwa sababu nilikuwa na imani ya kwamba wachezaji walishamchoka jose mourinho ndio maana tulikuwa tunafanya vibaya na nilifikia hatua ya kuandika maneno yafuatayo

kama solkskjaer atafanya vizuri basi klabu impe mkataba wa muda mrefu na isihangaike na makocha wengineo kama zilivyofanya klabu nyenginezo kama barcelona na madrid. hizi si nyakati za kupima ubora wa kocha kwa kutumia hoja ya uzoefu bali mafanikio yake ndio yatazamwe kwa jicho la mwewe, unajua kama kenny daglish ilimshinda liverpool lakini jurgen klopp anaelekea kufanikiwa.

lakini pia nilisisistiza maneno yafutayo ambayo bado yanaendelea kuwa sahihi.​
faida kubwa ya ujio wa ole gunnar solskjaer ni kwamba hatatokea yeyote anayejiita legend ambaye atathubutu kumkejeli mungu mwenye sura ya kitoto, hutomsikia paul scholes, giggs, neville brother,ferdinand na wengineo wakinyanyua mdomo wao kama mambo yatakwenda vibaya, labda awe mzungu asiyependa unafiki kama roy keane.

kama solakjaer atafanya vibaya hao legend wote watamgeuzia kibao ed woodward na watasema ya kwamba yeye ndio tatizo kwa kushindwa kutofautisha soka na biashara, pia watamshambulia paul pogba na wachezaji wengineo ambao watashutumiwa hawaithamini nembo ya klabu bali wanathamini maslahi yao.

mwisho nikamalizia​

kumsubiria ole gunnar solakjaer afanye vibaya ni sawa sawa na kumsubiria kylian mbappe afikishe miaka 20 ya kuzaliwa au kumsubiria romelu lukaku afunge goli mita 30 kama wayne rooney.

radika naomba unisamehe brother, uliona mbali sana pale uliposema tutabadilisha makocha wangapi ikiwa mahitaji ya makocha hayatimiziwi?
 
Hata kama tukimfukuza ole kwa team iliyopo kwa sasa sioni mtu anayestahili kuwa regular starter kikosini
Binafsi naona Ole hana uwezo wa kuijenga hii timu tena,hata ukiangalia sub zake unaelewa ni kama anacheza kamari tu.
Ole aliharibu tangu alipofika na kuanza kupalilia kiburi cha Pogba na kumfanya Rashford ajione Messi.

Pia wachezaji wote ni kama hawana nia ya kuichezea MUFC.

Swala la kuijenga timu ni bora lianze na kutafuta kocha mzoefu.

Hata Conte anataka kuifunza MUFC.
 
Mkuu, timu yetu ina tatizo kubwa kuliko tunavyofikiria wengi, tumetoka sana nje ya mstari wa mpira wa miguuu na soka la ushindani kwa kulinganisha na viwango vya wapinzani wetu,
Tatizo letu ni kutokuwa na watu wa mpira katika nyadhifa muhimu za timu yetu,
Kutokuwa na watu wenye kujua tunataka nini kesho, wala kuwa na falsafa ya mpira ya kudumu,
Nakupa mifano ifuatayo,
Barcelona, ina la masia, ambayo kwa miaka mingi imekua tegemeo lao kwenye tikitaka, kila raisi wa klabu anakuja kuhakikisha tikitaka inafanta kazi, la masia inazalisha, na wanasajili wachezaji wazuri wa kuja kufiti tikitaka, sio timu ifate mchezo wa mchezaji tuliemsajili,
Suarez huyu wa barca sio yule wa liver, huyu anaachia pasi ata akiwa golini, yule mchoyo hatoi pasi, ila sisi tunataka tubadilishe mchezo tucheze kama anavyotaka pogba,
Tunatoka hapo tunakuja city, Kabla pep guardiola hajaja city, kwanza alitangulizwa kusajiliwa mkurugenzi wa michezo kutoka barca Txiki Bergistrian,
Waarabu wa city walitaka tikitaka ya barca ya pep ije city, na ili kufikia hapo, kwanza walileta watu wawili kutoka barca mmoja wao ndo uyo txiki, kuna mwingine, alafu baadae wakaja na pep, city wana falsafa, wana watu wa kuihudumia falsafa yao mpya, na wana maana kumuweka arteta pale benchi, sio wajinga, hata recruitment zao wanaleta watu kuja kucheza ile tikitaka ya city pale, sio citu icheze kama hao wachezaji wanavyotaka,
Iangalie bayern, jopo zima la uongozi wa bayern kuanzia raisi adi wakurugenzi, ni former bayern players, watu wa mpira, wana style yao ya bayern, pasi, kaunta, mashuti, mipira mirefu, pep alifundisha pale, ila wajerumani wakasema hawataki too much passing, sio style yao, wakamuondoa pep japo kawapa ligi, wameheshimu utamaduni wao, hata wachezaji wanaenda kucheza bayern style, huwezi sikia lewandowski style, au goetze style bayern,
Kukosa kwetu watu wenye vision ya mpira, kumepelekea kutupeleka kwenye majanga zaidi na zaidi, kila kukicha,
Hata tusajili wachezaji wazuri kiasi gani, ikiwa timu haina falsafa, basi kila mchezaji mzuri atatufaa, wakati kimpira sio kweli, sio kila mchezaji mzuri anaweza cheza timu fulani, haiko hivyo....falsafa ziko tofauti,
Wazungu wanasema *"if you don't know where you are going, any road will take you there"*,
Na sisi hatujui tunakotaka kwenda, mchezaji mzuri yoyote ni sahihi kwetu, kocha yoyote mzuri ni sahihi kwetu,
Ndio maana alitoka Fergie, tukaleta moyes, watu wawili wenye falsafa tofauti, tukaleta lvg, falsafa tofauti kabisa, tukaleta mou, napo tofautiiii, sasa tuna OGS ambae huyu sasa anajaribu falsafa za fergie na kujaribu kuishi kwa uzoefu wa zamani,
Hii ni dalili ya timu isiyojielewa inataka nini,
Huwezi ona barca wamemchukua mtu kama mou, never,
Waangalie hata city, walitoka kwa pellegrin ambae alikua anaucheza mpira, wakaja kwa pep anaeuchezea mpira kabisa,
Tuangalie umri wa watu wengi tuliosajili, tumesajili 29+ yrs, unajengaje timu na watu wa namna hii??
Halafu kutokuwa na watu wa mpira kwenye uongozi, angalia mishahara tunayolipa, tunalipa hovyo sana,
RVP alikuja kwetu akiwa kashacheza Epl misimu zaidi ya tisa akiwa arsenal, akapewa 200,000 kwa wiki akiwa tayari anawaka pale arsenal, akatupa epl tittle,
Sisi hiyo 200,000 ni mshahara wa luke shaw wa sasa, fernandinho na kazi anayopiga pale city, anakula 80, sisi pogba anakula mara tatu ya fernandinho, lukakua anakula 270 uko, zaidi ya rvp, aguero, sitaki kumtaja sanchez,
Kwahiyo wachezaji wanakuja OT sio kwa sababu sisi ni timu ya ushindani, bali ni timu inayotoa mihela tuu,

Leo hii mchezaji akiskia anaenda liverpool moyoni kabisa anajua anaenda kucheza mpira,
Akisikia anaenda barca, anajua kabisa anaenda kushinda makombe,
Akienda madrid anajua kabisa anaenda kuwa katika historia kubwa ya mpira duniani,
Akisikia anaenda man utd, anajua anaenda kulipwa hela nyingi,
Ndiyo legacy inayoletwa na viongozi wetu,
We need a major rebuild, ishu sio kocha sana sana, ishu ni timu ijue falsafa yetu ni ipi?? kwanza, alafu ndo tuje, je huyu kocha anaijua falsafa yetu, au ataiendeleza??? au falsafa yake inatupendeza ili tuiache yetu tunayoipenda tuifate yake??
Halafu, baada ya hapo, inahitajika kurudisha wachezaji katika mishahara ambayo watawaza mpira na sio kutalii, pale barca na madrd wanaolipwa pesa nyingi messi na ronaldo tu walikua, labda na ramos, wengine walikua kawaida tuu, sisi kwetu kila mtu kambale, baba ndevu, mama ndevu, watoto ndevu, kuanzia de gea hadi wa kumi na moja wote walipwe 200+, sasa unategemea kutakuwa na mpira hapo???
 
Mkuu umetiririka vizuri sana. Naweza kopi hili bango

Back
Top Bottom