Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yan hakuna la maana tulilofanikiwa tangu Mou aondoke..timu imeoza sana. Mou tangu msimu unaanza alisema mapema kua man utd haitakua timu ya ushindani ligi itakapoanza hasa kutokana na kukosa alichohitaji wakat wa usajili. Mwishowe wakamtimua kisa unanga wa wachezaji baadhi. Watu wakaaanza kuongea hela zinaenda nying na hakuna matokeo, vision ya Mou ni kuirudsha timu kweny ubora wake na ilishindikana na sasa imeshindikana. Ole ni bahati tu ilim-beba mwanzoni hlf wachezaji wakawa na Hari sana pale mwanzoni..kwa structure ya united ya saiv..hakuna kocha atakayefanikiwa hata aje nani.

Madrid wanajipanga kiusajili kwa msimu ujao lakin hatutashangaaa united kubaki na wachezaji wale wale na ma-rumours kibao ambay hayan maana. Timu imekata tamaa tayr na wachezaj wengn washachoka kuchezea united...

Pogba...jones...rashford..lingard..sanchez..lukaku..bailly..mata....young..kipereira..smalling...de gea..matic..valencia(confirmed)....kifred..kidalot..waondoke wote

Lindelof...ander (pia atafutiwe m-badala wake)..shaw..tominay wabaki
 
Mkuu acha jazba, hahaaha mie nlishaacha kwenda kuiangalia hii timu,
 
Huwezi kujenga timu na kocha mbahatishaji..unahitaji mwalimu wa soka kwelikweli

Unfortunately,naona pia Ole anauwezo mdogo sana hata nje ya uwanja tu
Inaonekana pale kuna kikund cha united kinampigia chapuo sana...yan saiv hatusikiii majungu kama mwanzo alivyokuwepo Mou...kama kuna kirushwa fuln hiv Ole anatoa kwa pundits....hiki kirushwa au kiposho anachotoa hakina matunda sasa.

Rio juzi kaenda Barcelona kuchawia mech ya Liverpool na akafurah sana lakin hasikiki tena kukandia united kama mwanzo
 
At least Manchester United wata- concentrate kupigia Arsenal denge(kwa Wahenga tu) Europa League mwakani.
 
The worst attacking team in the top 5 European leagues. The second worst team in Premier League history. They’re relegated and have nothing to play for. They still showed more fight than us. This is a really, really bad time to support United. This club is broken.
 
Manchester United ni kikundi cha kupiga hela tu kwa mawakala na wachezaji
 
Huyo hapo.
brand
Brand name pekee imeingizia man U 900m usd mwaka jana, kui exclude haimake sense. Pia commercial deals ambazo ndio strength ya man u hamna hapo man U ina deals kubwa na kampuni kama , Adidas, Chevrolet, Aon Etc hii ni breakdown ya Forbes
Screenshot_20190505-194317.png

Pia kuhesabu mapato ya uwanjani kwa proportion of seat sold ni kichekesho. Chukulia mfano huu.

Spurs uwanja wao ni wembley mwaka mzima uliopita unaingiza watu laki 1, then wao wakaingiza average watu 70,000 inamaana hii ni sawa na proportion ya 7/10

Then katimu kadogo kenye uwanja kama shamba la bibi mfano wa stoke city ikiwa na uwanja unaoingiza watu 10,000 halafu wakauza ticket 9,000 hapa itakuwa ni proportion ya 9/10.

Hivyo kwa facts zao stoke itakuwa juu sababu wana propotion kubwa? Hapana hakuna kitu kama hiki.

Mi nahisi ni wanafunzi tu wa kizungu walipewa assignment na mwalimu wao wakaja na hiko kitu, tusubirie list ya forbes ama Deloitte au kampuni nyengine kubwa ambao wanajua nini wanafanya.
 
Duh hii mechi ya Arsenal na Brighton Have and Albion ina kasi sana sio mchezo
 
Bado angepewa timu mwisho Wa msimu kwa sababu kilichofanyika hapa ni unafiki Wa wachezaji,so angekuwa hajapewa mkataba naamini hivi vichezaji vingeendelea kujikaza kama vilivyofanya awali
Acha kufunga hana akili ya mpira japo umri upo upande wake lakini usitegemee atakuja badilika ! Sehemu yakutoa pasi anapiga na sehemu yakupiga anatoa pasi hana akili ya mpira kuna wangese km gary neville ndo wanampigia debe yani huyu dogo ole asimpe hata mkataba ila kwa tulivyo atabaki na atalewa nafasi ya kuendelea kuwa striker tegemezi wan manchester united
 
Back
Top Bottom