eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Bado zamu yako wote futuhiHiyo ni futuhiiiiii
Bado zamu yako wote futuhiHiyo ni futuhiiiiii
Jidanganye ,subir mech ya 38 ndio uongee hivoBado zamu yako wote futuhi
Watu mnajua mpira kweli kweliKama ni Chelsea ya mchangani uko sawa kabisa lkn kama ni ya Sari Masigara sahau kabisa, Arsenal wanatinga top 4 kivyovyote vile.
Inachekeshaaa hahaha
Uyu arsenal ansjisumbua tu na yy apo hehehe
Mou alitaka ela afumue timu wakambania sasa kwa Ole itatumika ela mpaka watashangaana huko ofisiniHuyu kocha ni kama mchawi ,aisee
Huddersfield 1 vs Man u 1.Uwezo tunao, Huddersfield wameshashuka daraja, watacheza kukamilisha ratiba. Cardiff city watakuwa wameshashuka daraja pia kwa ushindi wa Brighton Jumapili ya wiki hii, nao watacheza kukamilisha ratiba.
Mkuu naomba utume hako kapic nione hao wazenge wanaolia.Eti wachezaji wanalia, foolish
Sasa unafikiri mtashindaHata Cardiff wanaweza wakatufunga Old Trafford
Amesha fail tayari.... Huddersfield wajaambulia hata point 1 kwenye gemu 8 zilizopita,ankuja kuipatia kwa man u![]()