Sana tu na hayo mapenzi anayoyaonyesha kwa kina Rashford mhhSijui Ole atafanya nini na hii timu, maana naona akifukuzwa mapemaa😂😂😂
Amesha fail tayari.... Huddersfield wajaambulia hata point 1 kwenye gemu 8 zilizopita,ankuja kuipatia kwa man u[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijui Ole atafanya nini na hii timu, maana naona akifukuzwa mapemaa[emoji23][emoji23][emoji23]
One of the most overated players at MUFC and needs to go. Including Lingard!Trashford
Ata ziongezwe 90 amna kituKweli FA wanawapenda, dk 8 mshindwe tena
Yeh ipo Mana spur atakuwa na 70.ThoTumebakoza mechi mbili, tukishinda zote tunafikisha 71 points. Arsenal akipoteza mechi moja ataishia 69. Chelsea akipoteza mechi moja ataishia 71 na Spurs akipoteza mechi zote mbili atabaki na 70. Je, nafasi ya top four kwetu IPO?