Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nipo sana. Mbona UCL Man United anaenda!! Hilo sina wasiwasi.
Kaka nyinyi na sisi tusahau UCL kwa at least msimu mmoja. Chelsea wataibeba nafasi ya 4. Man utd itawachukuwa misimu miwili kurudi Mourinho alipowapeleka two seasons ago na mnaweza kutafuta kocha mpya katika hiyo miaka miwili. Lingine tusibiri kelele za Liverpool watalibeba
 
Liverpool watatwaa vikombe vya chai vingi sana msimu huu.
 
City overtake United off the pitch View attachment 1087871
Mimi pia nataka nione aliefanya huo utafiti na ninavyojua thamani ya Man U ni zaidi ya dola bilioni 4 ama zaidi ya pound bilioni 3 na hii ipo miaka mingi sana hivyo kuporoka 300m ifike hadi 2b haileti mantiki.

Pia sijasikia man u ikipata hasara kwa miaka mingi sana.

Screenshot_20190505-103856.png

Ukiangalia hio list ya forbes kwa thamani ya Man U unaweza tengeneza hata Man city mbili.

Pia man city anachunguzwa sasa hivi na huo utajiri fake wa kutoa hela mfuko wa kulia na kuziingiza mfuko wa kushoto, huwenda wakapokonywa na kufungiwa Uefa.
 
Mimi pia nataka nione aliefanya huo utafiti na ninavyojua thamani ya Man U ni zaidi ya dola bilioni 4 ama zaidi ya pound bilioni 3 na hii ipo miaka mingi sana hivyo kuporoka 300m ifike hadi 2b haileti mantiki.

Pia sijasikia man u ikipata hasara kwa miaka mingi sana.

View attachment 1088477

City akisema ajiendeshe bila kuchukua hela mkono WA kulia na kuleta kushoto, anakuwa kama Leicester city tu au Burney

Etihad, ina mkono WA mansoor, wadhamin karibu wote WA city nyuma ya pazia ni mansoor mwenyewe, hii tabia hata PSG anaifanya ,IPO siku UEFA wakiwaamulia watazuiliwa kushirik UCL,
 
Email zimevuja wanachunguzwa, sema Uefa wenyewe hawaaaminiki wanaweza wakapigwa fine mambo yakaisha.

https://www.dailymail.co.uk/sport/f...e-CL-ban-new-leaks-reveal-got-UEFA-rules.html
 
Mimi pia nataka nione aliefanya huo utafiti na ninavyojua thamani ya Man U ni zaidi ya dola bilioni 4 ama zaidi ya pound bilioni 3 na hii ipo miaka mingi sana hivyo kuporoka 300m ifike hadi 2b haileti mantiki.

Pia sijasikia man u ikipata hasara kwa miaka mingi sana.

View attachment 1088477

Ukiangalia hio list ya forbes kwa thamani ya Man U unaweza tengeneza hata Man city mbili.

Pia man city anachunguzwa sasa hivi na huo utajiri fake wa kutoa hela mfuko wa kulia na kuziingiza mfuko wa kushoto, huwenda wakapokonywa na kufungiwa Uefa.

Huyo hapo.
 
Source BBC
Screenshot_20190505-125201.jpeg
Screenshot_20190505-125245.jpeg
 
Kukubali kitu usichokipenda ni ngumu mno mkuu
Ukweli unajulikana kuwa MCFC ipo chini kwa MUFC in terms of value.

Halafu sasa, as of March 2019, Forbes listed MUFC kuwa number 1 in Value, sasa kipindi cha Mwezi Mmoja tu City itangazwe kuwa the most valuable in EPL?

Ila kwa upande wangu, MANUTD kila ikidrop in Value ndio heri kwa hii club. Ifikie wakati Glazers waone hii klabu haiwaingizii faida kama wapendavyo na kuwabidi waiuze. The club needs owners ambao ni wapenda mpira sio wafanya biashara!

Napenda anachofanya tajiri wa Man city, Amewekeza pesa kwenye kuhakikisha Man city inakuwa one of the greatest football team in Europe, wakati akina Glazers are focusing on making MUFC one the Biggest money making Club, at the same time they dont invest that money in footbal! F**** Glazers!
 
Je performance ya klabu uwanjani inasaidia performance kwenye kuongeza pato la klabu na hatimaye kukuza brand ya klabu husika?
 
Ndio inaongeza mapato kwa Klabu. Umaarufu wa Klabu hakuisaidii klabu kupata better deals na kutengeza more money kuliko hio better performing team?
Naona hapa kuna question of egg and chicken, which was the first

Mtazamo wangu, performance nzuri uwanjani ndio inakuza umaarufu wa timu na kipato cha timu. Hivyo hivyo ndivyo performance mbaya inavyoweza kuvuruga umaarufu wa timu na uchumi wake

Kwa maoni yangu, Man Utd haipendwi kwa sababu Mungu aliishusha paaa, na akasema ipendwe na watu na hatimaye watu wakaanza kuipenda...... No performance yake uwanjani ndio iliyofanya tuipende

Tyson alipendwa sababu ya umahiri wake kwenye masumbwi, Jordan alipendwa sababu ya umahiri wake kwenye mchezo wa kikapu, Mr. Nice alipendwa sababu ya uimbaji wake, vipi baada ya kushuka kwenye uimbaji wake? Aliendelea kupendwa?

Man City is sniffing around, they are coming..... And sooner or later if we don't change somethings at our club, they will be on top of us, not just financially but on everything
 
Yai na kuku Nani kaanza,...

Ila kwenye mpira Ni strait, Bila Mafanikio mazuri/makubwa uwanjani, huwezi kupata Mashabiki wengi, Bila Mashabiki huwezi pata deal nzuri.OVER
 
Mtazamo wangu, performance nzuri uwanjani ndio inakuza umaarufu wa timu na kipato cha timu. Hivyo hivyo ndivyo performance mbaya inavyoweza kuvuruga umaarufu wa timu na uchumi wake
That is your view. In six years now, MUFC imekuwa vururu, kimpira haina plans imo imo tu, yet, the club remained the most valuable club and became the richest in club in the world than Real Madrid despite being 3 times UCL winners, than Man city who played way much better kuliko us. Why is that? The answer is simple; Ed Woodward. Huyu akienda City leo, kesho city inapanda thamani. So far, pamoja na yote, uchumi wa Man Utd kwa miaka sita ya sintofahamu umesimama kidete. Na yote hio ni Umaarufu wa Klabu na Brand yake na has nothing to do with performance.

Kwa maoni yangu, Man Utd haipendwi kwa sababu Mungu aliishusha paaa, na akasema ipendwe na watu na hatimaye watu wakaanza kuipenda...... No performance yake uwanjani ndio iliyofanya tuipende
Ni kweli timu zinapendwa kutokana na perfomance yake uwanjani, lakini Man utd inapendwa hata ikiwa perfomance yake mbovu. tangu Ole apewe mkataba ameshinda mechi ngapi? Lakini mashabiki wanaendelea kujitokeza uwanjani despite the poor perfomance. Meanwhile, majirani zetu walioko Happy, they dont even fill their 30000 seater stadium! There is a difference between Loyal fans na Plastic fans, Manutd fans are loyal and City fans are not, just glory hunters.

Unatakiwa ujue kuwa Manutd already Built an empire na hii ndio Advantage. Ukilinganisha City na Chelsea, nitakubaliana na mtazamo wako kwa asilimia nyingi tu, but MUFC kwa MCFC, sikubaliani na wewe.

Man City is sniffing around, they are coming..... And sooner or later if we don't change somethings at our club, they will be on top of us, not just financially but on everything
Vitu vitabadilika tu katika Klabu. na one way to do this ni kuhakikisha klabu inaanguka kimapato. Hapa tunahitaji msaada wa Medias, kuacha kufocus na MUFC. British Media zina big influence, na sasa they have to shift to City, ili City apate better deals (Za halali sio za kupindisha pindisha). Once MUFC has fallen financially, Glazers wataona wakati umefika wa kuiuza and hopefully it is sold to someone with football passion na sio business passion.

Hili Genge la kina Glazers ndio linaiumiza Klabu. They dont give a F**** with Club perfomance on the pitch, they are just checking financial sheets zinasemaje
 
Back
Top Bottom