"Huddersfield hawana kabisa sababu ya kuwafunga"Kwa mtazamo wa kujipendelea, top four bado tumo. Wapinzani wanapossibility kubwa ya kupigwa mechi zote mbili zilizobaki. Huddersfield na Cardiff hawana sababu ya kutufunga. Cardiff atakatishwa tamaa na ushindi wa Briton Jumapili.
Hivyo tunaweza kumaliza nafasi ya Tatu (second runners up)
Kajinga kweli kajamaaHivi Rashford anamechi ngapi ajafunga goli
Hata Cardiff wanaweza wakatufunga Old TraffordUwezo tunao, Huddersfield wameshashuka daraja, watacheza kukamilisha ratiba. Cardiff city watakuwa wameshashuka daraja pia kwa ushindi wa Brighton Jumapili ya wiki hii, nao watacheza kukamilisha ratiba.
Na haijaingia.Kauli za Mou zinaishi mpaka leo.....kwamba top four hatutaweza ingia kamwe
Huyu kocha ni kama mchawi ,aiseeKauli za Mou zinaishi mpaka leo.....kwamba top four hatutaweza ingia kamwe
Hao nao hakuna kitu. So unamwona Chong alivyo nyoronyoroMechi na Cardiff city OGS ajaribu kuingiza timu ya chipukizi tupu. Aachane na Hawa wachezaji wote. Amuache MC Tominay tu na ndiyo awe captain.
Dah wewe jamaa leta msimamo tena