ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,635
Hata maurinho hakuzomewa na mashabiki lakini aliondoka!!Mkuu pengine kwako ndo hana heshima?
"Despite his mistake, the Man Utd faithful chanted David De Gea’s name as he left the pitch!"
Hata maurinho hakuzomewa na mashabiki lakini aliondoka!!Mkuu pengine kwako ndo hana heshima?
"Despite his mistake, the Man Utd faithful chanted David De Gea’s name as he left the pitch!"
wapo wengi tuTatizo tutapata wachezaji wazuri wakati hatushiriki UCL?
Wee ujiulizi kwanin walikubal kuja man united?Wakati tunacheza Uropa tuliweza kuwasajili Pogba,Zlatan,Bailly na tukiwa tunacheza Champions league tukawasajili Grant,Fred na Dalot
David kaanza kublunder toka WC 2018Lionel messi has opened de gea hotspot anybody can connect now🤣🤣🤣🤣
daa mashabiki wanaumiaDaaa jamaa wanaumia aseeView attachment 1083565











. Michezaji yote mafala yale yauzwe yote...rashford aondoke..pogba aondoke..de gea aondoke..sanchez aondoke..lukaku aondoke..lingard aondoke..jones aondoke..young aondoke..smalling aondoke..mata aondoke nice guy..Bailly aondoke..darmian aondoke..rojo aondoke..perreira aondoke...matic aondoke...waondoke hao.Wee ujiulizi kwanin walikubal kuja man united?
Basi tujipange na yuropa msimu ujao...chelsea kapita tayar
Dah mkuu unamkosoa sana Sarri, unadhan yeye apend chelsea ifanye vzuri? Anapenda. Kweny top six teams me naona Pep, Klopp may be na Pochettinho hao wengine hawatifautiana sana. Kwang Sarri kuja EPL nà kuingia top four tena bila kuwa na players wazuri ni achievement kubwa sana ...Kama ni Chelsea ya mchangani uko sawa kabisa lkn kama ni ya Sari Masigara sahau kabisa, Arsenal wanatinga top 4 kivyovyote vile.
Uwezo tunao, Huddersfield wameshashuka daraja, watacheza kukamilisha ratiba. Cardiff city watakuwa wameshashuka daraja pia kwa ushindi wa Brighton Jumapili ya wiki hii, nao watacheza kukamilisha ratiba.Je tuna uwezo wa kushinda hizo mechi mbili?



Fulham kashuka daraja na alimfunga Everton ambaye katufunga 4-0 (wameshinda mechi tatu zilizopita)Uwezo tunao, Huddersfield wameshashuka daraja, watacheza kukamilisha ratiba. Cardiff city watakuwa wameshashuka daraja pia kwa ushindi wa Brighton Jumapili ya wiki hii, nao watacheza kukamilisha ratiba.
Unamaanisha sio mzuri 'in general?Leo Hazard anaonekana mzuri sababu anacheza na wakabia macho
mzuri ila jana alionekana yule Harzad tuliyemzoea sababu ya wakabia machoUnamaanisha sio mzuri 'in general?
IrrelevantHata maurinho hakuzomewa na mashabiki lakini aliondoka!!