Khalifavinnie
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 2,840
- 2,423
Ww una uchungu sana wa kubwabwaja humu huku umetambaliza mikanyagio yako kama ya bata huko uliko sio??De Gea
Rashfold
Pogba
Marshal
Smalling
Sanchez
etc
Waondolewe,hawana uchungu na timu
Ww una uchungu sana wa kubwabwaja humu huku umetambaliza mikanyagio yako kama ya bata huko uliko sio??De Gea
Rashfold
Pogba
Marshal
Smalling
Sanchez
etc
Waondolewe,hawana uchungu na timu
Sasa nifanye action gn?me natoa mawazo yng humu Kwa Wana Man u wenzangu.Kilichokuuma wewe dada ni nn?Ww una uchungu sana wa kubwabwaja humu huku umetambaliza mikanyagio yako kama ya bata huko uliko sio??
Tumebakoza mechi mbili, tukishinda zote tunafikisha 71 points. Arsenal akipoteza mechi moja ataishia 69. Chelsea akipoteza mechi moja ataishia 71 na Spurs akipoteza mechi zote mbili atabaki na 70. Je, nafasi ya top four kwetu IPO?
MC Tominay amecheza dakika chance vizuri, huyu tunamhitaji.Hii timu mchezaji wa kubaki ni Shaw, Herrera, lindelof Na De gea japo De gea kachoma leo
Pasuka tuu hakuna kilichoniuma ila ww kimkuumaa top4 mtaisikia kwenye milio ya madebe.Sasa nifanye action gn?me natoa mawazo yng humu Kwa Wana Man u wenzangu.Kilichokuuma wewe dada ni nn?
Haipo maans chelsea anatuzidi magoli...Tumebakoza mechi mbili, tukishinda zote tunafikisha 71 points. Arsenal akipoteza mechi moja ataishia 69. Chelsea akipoteza mechi moja ataishia 71 na Spurs akipoteza mechi zote mbili atabaki na 70. Je, nafasi ya top four kwetu IPO?
Hapa top 4 itaamuliwa na Chelsea na Arsenal Manchester United ataenda Europa leagueTumebakoza mechi mbili, tukishinda zote tunafikisha 71 points. Arsenal akipoteza mechi moja ataishia 69. Chelsea akipoteza mechi moja ataishia 71 na Spurs akipoteza mechi zote mbili atabaki na 70. Je, nafasi ya top four kwetu IPO?
Degea hajaanza kuchoma leoHii timu mchezaji wa kubaki ni Shaw, Herrera, lindelof Na De gea japo De gea kachoma leo
hizi hesabu za kujipendelea. Mpira hauko hivyoTumebakoza mechi mbili, tukishinda zote tunafikisha 71 points. Arsenal akipoteza mechi moja ataishia 69. Chelsea akipoteza mechi moja ataishia 71 na Spurs akipoteza mechi zote mbili atabaki na 70. Je, nafasi ya top four kwetu IPO?
Dah mkuu unapiga hesabu za kimama sana..Tumebakoza mechi mbili, tukishinda zote tunafikisha 71 points. Arsenal akipoteza mechi moja ataishia 69. Chelsea akipoteza mechi moja ataishia 71 na Spurs akipoteza mechi zote mbili atabaki na 70. Je, nafasi ya top four kwetu IPO?
OGS should rest himSijui ana shida gani huyu,kapunguza umakini.