Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
nafasi bado ipo lakini si kwa wepesi huoKwa mtazamo wa kujipendelea, top four bado tumo. Wapinzani wanapossibility kubwa ya kupigwa mechi zote mbili zilizobaki. Huddersfield na Cardiff hawana sababu ya kutufunga. Cardiff atakatishwa tamaa na ushindi wa Briton Jumapili.
Hivyo tunaweza kumaliza nafasi ya Tatu (second runners up)
"