Huyo mtoto amebadilika sana kimwenendo uwanjani. Rashford wa juzi alikuwa mtumwa huyu wa Leo ni mtwana. Dogo ashaota mapembeDah.... Nilimsifu OGS kwamba ameona Rashford amepwaya ndio maana kamtoa,
Kumbe mtoto pendwa wake aliumia bega ndio maana akamtoa
Mkuu unaunderate sana wachezaji wa Chelsea. Chelsea wengi wazuri kuliko Man U na Arsenal labda hawafit mfumo wa kocha. Mfano wachezaji kama Kante, Barkley, Willian, Alonso hawafit kwenye mfumo.Dah mkuu unamkosoa sana Sarri, unadhan yeye apend chelsea ifanye vzuri? Anapenda. Kweny top six teams me naona Pep, Klopp may be na Pochettinho hao wengine hawatifautiana sana. Kwang Sarri kuja EPL nà kuingia top four tena bila kuwa na players wazuri ni achievement kubwa sana ...
Huyo mtoto amebadilika sana kimwenendo uwanjani. Rashford wa juzi alikuwa mtumwa huyu wa Leo ni mtwana. Dogo ashaota mapembe
LISEMWALO ni kwamba Manchester United itawapiga bei mastaa wake Paul Pogba na Romelu Lukaku kwenye dirisha lijalo la usajili ili kupata Pauni 200 milioni za kufanya usajili wa mastaa wapya wa kutoa Old Trafford.
Wakala wa Pogba, Mino Raiola amesikika akiwaambia watu kwamba mchezaji wake anakwenda kuichezea Real Madrid msimu ujao.
Wakati kocha Ole Gunnar Solskjaer akidai kwamba anaamini Pogba ataendelea kubaki Old Trafford mabosi wa timu hiyo hawataki kumpa pesa nyingi zaidi kiungo huyo mwenye mambo mengi yenye utata na hivyo kuchochea uwezekano wa kuondoka.
Taarifa za kutoka Old Trafford zinadai mabosi hao hawatamzuia pia Lukaku asiondoka kama vigogo wa Italia, Juventus au Inter Milan wataleta ofa za kuhitaji huduma ya mshambuliaji huyo wa Kibelgiji.
Zinedine Zidane baada ya kurejea Madrid amekuwa na mipango ya kumnasa Pogba huku wakiandaa ofa ya Pauni 120 milioni kumnasa staa huyo wa Ufaransa.
Wakala Raiola anaamini dili hilo litakwenda kukamilika hasa baada ya mazungumzo ya mkataba mpya Man United kutofanyika na mchezaji huyo amebakiza miaka miwili tu katika mkataba wake wa huko Old Trafford.Maneno ya Solskjaer ya siku za karibuni yameonyesha dhahiri kwamba Pogba anaweza kuondoka kwenye timu hiyo baada ya kudai huwezi kuwa na uhakika wa asilimia zote kwa kile kinachoweza kutokea kwenye soka.
Man United wanaamini mauzo ya Lukaku na Pogba yatawasaidia kuingiza kama Pauni 200 milioni hivi ambazo zitawapa nguvu zaidi kwenye kufanya usajili huku ikidaiwa kuna mastaa wengine kibao watafunguliwa mlango wa kutokea akiwamo Alexis Sanchez.
Kuna uwezekano mkubwa pia wa kipa David De Gea naye kupigwa bei baada ya Paris Saint-Germain kudaiwa kuweka mezani mzigo wa Pauni 60 milioni kunasa huduma yake mwishoni mwa msimu huu.
Kama hadi magazeti ya udaku yanaongelea hilo basi yawezekana sana. Mimi huwa nampenda sana yule dogo na niliamini ana DNA za CR7 endapo atakuwa hard worker kama CR. Siku ya kwanza nilivyoona kanyoa zile reli pale kwenye ubavu wa kichwa nikasema ohooooo!!Kuna magazeti uchwara flani yaliandika, kuna baadhi ya wachezaji dressing room wanalalamika dogo amebadilika sana
Lisemwalo lipo
Mumebakoza au sioTumebakoza mechi mbili, tukishinda zote tunafikisha 71 points. Arsenal akipoteza mechi moja ataishia 69. Chelsea akipoteza mechi moja ataishia 71 na Spurs akipoteza mechi zote mbili atabaki na 70. Je, nafasi ya top four kwetu IPO?

And a Herrera ameondoka msimu ujao hatokuwepo. Wakati uo uo Smalling, Rashford na jones na Young wataendela kuitumikia man united..LISEMWALO ni kwamba Manchester United itawapiga bei mastaa wake Paul Pogba na Romelu Lukaku kwenye dirisha lijalo la usajili ili kupata Pauni 200 milioni za kufanya usajili wa mastaa wapya wa kutoa Old Trafford.
Wakala wa Pogba, Mino Raiola amesikika akiwaambia watu kwamba mchezaji wake anakwenda kuichezea Real Madrid msimu ujao.
Wakati kocha Ole Gunnar Solskjaer akidai kwamba anaamini Pogba ataendelea kubaki Old Trafford mabosi wa timu hiyo hawataki kumpa pesa nyingi zaidi kiungo huyo mwenye mambo mengi yenye utata na hivyo kuchochea uwezekano wa kuondoka.
Taarifa za kutoka Old Trafford zinadai mabosi hao hawatamzuia pia Lukaku asiondoka kama vigogo wa Italia, Juventus au Inter Milan wataleta ofa za kuhitaji huduma ya mshambuliaji huyo wa Kibelgiji.
Zinedine Zidane baada ya kurejea Madrid amekuwa na mipango ya kumnasa Pogba huku wakiandaa ofa ya Pauni 120 milioni kumnasa staa huyo wa Ufaransa.
Wakala Raiola anaamini dili hilo litakwenda kukamilika hasa baada ya mazungumzo ya mkataba mpya Man United kutofanyika na mchezaji huyo amebakiza miaka miwili tu katika mkataba wake wa huko Old Trafford.Maneno ya Solskjaer ya siku za karibuni yameonyesha dhahiri kwamba Pogba anaweza kuondoka kwenye timu hiyo baada ya kudai huwezi kuwa na uhakika wa asilimia zote kwa kile kinachoweza kutokea kwenye soka.
Man United wanaamini mauzo ya Lukaku na Pogba yatawasaidia kuingiza kama Pauni 200 milioni hivi ambazo zitawapa nguvu zaidi kwenye kufanya usajili huku ikidaiwa kuna mastaa wengine kibao watafunguliwa mlango wa kutokea akiwamo Alexis Sanchez.
Kuna uwezekano mkubwa pia wa kipa David De Gea naye kupigwa bei baada ya Paris Saint-Germain kudaiwa kuweka mezani mzigo wa Pauni 60 milioni kunasa huduma yake mwishoni mwa msimu huu.
We jamaa unamahaba na lukaku,Wondoke hao wengine abaki Lukaku
Japo Lukaku ameona Ole haeleweki, anataka aende Itally
PointlessIrrelevant
Fist touch ipi hiyo? Angalia yeye na Rashford au yeye na Martial nani anaongoza kupoteza mipiraWe jamaa unamahaba na lukaku,
Striker gani first touch hana.
Mimi naona Lukaku sio mbaya ila yeye sio standard ambazo inabidi tuwe nazo kule mbele..Akitokea sub maybeFist touch ipi hiyo? Angalia yeye na Rashford au yeye na Martial nani anaongoza kupoteza mipira
And a Herrera siyo!?And a Herrera ameondoka msimu ujao hatokuwepo. Wakati uo uo Smalling, Rashford na jones na Young wataendela kuitumikia man united..
Mkuu unaongelea kujenga 1st eleven kwa msimu ujao,au misimu 3 ijayo? Kama ni kwa msimu ujao, definitely Lukaku ataongoza mashambulizi.Mimi naona Lukaku sio mbaya ila yeye sio standard ambazo inabidi tuwe nazo kule mbele..Akitokea sub maybe
Hivi wewe ukipewa kazi ya kujenga first eleven,Lukaku atakuwa kwenye mipango yako??
Ume-make senseMkuu unaongelea kujenga 1st eleven kwa msimu ujao,au misimu 3 ijayo? Kama ni kwa msimu ujao, definitely Lukaku ataongoza mashambulizi.
Nitamtafutia Hazard na De Bryune (naongelea quality, sio hao watu personally) uone atakavyofunga magoli kama hana akili nzuri
Nitafanya hivyo kwa kuwa kwa pangua pangua inayohitajika pale United, Lukaku anapaswa kuwa kati ya watu wa mwisho mwisho kuondoka pale. Niliwahi kusema ma striker waliopo sokoni ambao ni upgrade ya Lukaku ni wachache sana.
Kwa maoni yangu, msimu huu United inapaswa kuwaza kumuacha Lukaku kama inaweza kumsajili, Griezeman, Kane na wachezaji wa kiwango hicho. Sio Icard, au tumtegemee Rashford na Martial.
Ndani ya miaka 3 ijayo ninaweza kumuacha Lukaku kukiwa na mbadala zaidi. Greenwood atakuwa amefika japo hata kwa sasa dogo ni bora kuliko Rashford
Lukaku ni striker mzuri ila anapewa role ambayo sio yake.Mkuu unaongelea kujenga 1st eleven kwa msimu ujao,au misimu 3 ijayo? Kama ni kwa msimu ujao, definitely Lukaku ataongoza mashambulizi.