lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,199
- 28,080
Mshumbuliaji mwenyewe Rashid Ufudu kila mpira analikimbia goli
Huyu ampishe Sanchez,na imani naye.
Mshumbuliaji mwenyewe Rashid Ufudu kila mpira analikimbia goli
Huyu dogo jinga sana.. hiyo namba 10 Mgongoni ni uingereza tu hafai kuivaaDogo ameshavimba wakati hata level ya delle ali hajaifikia
Aondoke tu,hana heshima tenaDegea anajua msimu ujao hatakuwepo United, hivyo hata tusipocheza UCL hana hasara
Eti kwa kiwango hicho anataka £350,000/=
Gea uwezo anao.. tusimbeze kwa mechi 3 wakati katuokoa misimu 3+Degea anajua msimu ujao hatakuwepo United, hivyo hata tusipocheza UCL hana hasara
Eti kwa kiwango hicho anataka £350,000/=
Degea anajua msimu ujao hatakuwepo United, hivyo hata tusipocheza UCL hana hasara
Eti kwa kiwango hicho anataka £350,000/=
Hazard sio wa kumkaba kichwa kichwa ukienda vibaya akikugeuza anapa nafasi ya kuleta madharaLeo Hazard anaonekana mzuri sababu anacheza na wakabia macho
De gea bana!!wamwache aende zake akafie mbali huko
De GeaHii timu aijui ata umuhimu wa mechi wanacheza tu ilimradi dakika ziishe matokeo sio muhimu