Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 5,249
- 2,156
hapo Mancini lazima atakuwa anahara! Manu bana siipendi lakini...!
Wewe utakuwa ni Arsenal tu si bure
hapo Mancini lazima atakuwa anahara! Manu bana siipendi lakini...!
....Ok!...........Babu SAF angemchezesha Berbatov leo, ManU wangeibuka na ushindi mkubwa sana wa magoli.......hili ni jambo ambalo SAF inabidi alizingatie sana i.e. kufunga magoli mengi iwezekanavyo.......
Swahiba vipi? Hongereni mkuu mimi nitafurahi hawa jamaa wa citeh pamoja na hela yao na kuivuruga Arsenal bado wakishindwa kutwaa ubingwa.Kwa speed hii hata City tunaenda kumfunga kwao,clean sheet ya 4 mfululizo
Kwa dizaini hii UBINGWA wenu mazee...... hamuwezi kubebwa this much openly